Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Samahani, jaribu kutumia akili hata ya kuvukia barabara na usipende kubishana hata kama ukweli upo wazi.Sifahamu kama unalipwa hata kwa kuandika pumba.

Ukweli ni huu: Huko kwenye battle field Ukraine ana hali mbaya sana na ndiye anayeomba vita visimame na siyo Urusi. Nafikiri Trump siyo mjinga wa kumuita Putin kwanza coz yeye ndiye mwenye kete kubwa hapo mezani kwa sasa.

​

Russian troops advance in Ukraine ahead of Trump-Putin peace summit​


August 12, 2025

​

Russian breach sparks alarm on Ukraine’s eastern front​

​

​

Russian troops make sudden gains in 'gift to Putin' before Trump summit​

​

Tuesday 12 August 2025 ​

​

​

Ukraine's military says it engaged in 'difficult combat' around Pokrovsk​


Tuesday 12 August 2025

​

Ukraine may abandon Pokrovsk if Russian forces close 15km gap​



Swali: Kwa kuufuatilia huu mgogoro unahisi ni kwa nini nchi za kimagharibi zinataka vita visimame kwa sasa na siyo Urusi??

Unaikumbuka counter offensive ya Ukraine ya mwaka 2022, Urusi aliomba vita visimame coz alizidiwa, Ukraine plus Magharibi walikataa coz waliona ushindi upo.

​

Ukraine counter-offensive: Russian forces retreat as Ukraine takes key towns​






Hoja ya kufa: Vita yoyote, wanajeshi lazima wafe plus kuharibika kwa vifaa.Iwe taifa dogo ama kubwa madhara ni lazima.Hakuna maajabu wala muujiza.

Nb: Nimejaribu kukuelimisha plus kulekezana na siyo kubishana. Ila hii ID ni kama ya kp kipanya44
Acha kujipa moyo na Kujifariji kwa kisingizio cha ID
 
Acha kujipa moyo na Kujifariji kwa kisingizio cha ID
What is amygdala hijack?

The amygdala is the part of the brain responsible for this reaction.

When a person feels stressed or afraid, the amygdala releases stress hormones that prepare the body to fight the threat or flee from the danger.

Common emotions that trigger this response include fear, anger, anxiety, and aggression.

 
Tulikuwepo tokea febuari 2022
1755196855049.jpeg


1755196884039.jpeg
 
Bodyguards wa Putin sio poa, ni umeme mkali...
Hio speed na hizo shabaha anapiga si kawaida....


View attachment 3441673

Huyo jamaa kwenye video ndiye huyo amevaa tai rangi ya maroon...
putin-bodyguards.jpg
Unahangaika na maigizo ambayo hayasaidii chochote unashindwa kujiuliza kwa nini Russsia the so-called Super Power ameshindwa kuiteka Ukraine ??? na hata alipofika Kiev alifurushwa kama Mbwa-koko!!

Hata kwenye maeneo anayoyakalia anapigwa kama Ngoma na askari wake kuuwawa kama kumbikumbi na sasa mwaka wa 4 bado anahangaika na Ukraine tu ni aibu kwa Russia!!
 
Usiku kucha, ndege zisizo na rubani zilipiga shabaha nchini Urusi.

Idhaa za Telegram za Urusi zinaripoti kwamba huko Syzran, mkoa wa Samara, moto ulizuka karibu na kiwanda cha kusafisha mafuta kufuatia shambulio hilo.

Huko Kursk, makazi ya juu yalipigwa. Mamlaka ya eneo hilo inasema watu kumi walijeruhiwa na mtu mmoja aliuawa.

🪐 SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!
 

Attachments

  • IMG_3885.jpeg
    IMG_3885.jpeg
    214.6 KB · Views: 21
  • Курськ 15 серпня.mp4
    3.5 MB
  • Сизрань 15.08.mp4
    6.2 MB
Yenakiieve, eneo la Donetsk linalokaliwa na Russia vituo vya kijeshi vya Russia kwenye eneo hilo vimeshambuliwa kwanguvu kubwa sana na Russia kupoteza askari na vifaa-vita vingi

🪐 SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!
 

Attachments

  • IMG_6482.mp4
    7 MB
  • IMG_6481.mp4
    938.9 KB
Unahangaika na maigizo ambayo hayasaidii chochote unashindwa kujiuliza kwa nini Russsia the so-called Super Power ameshindwa kuiteka Ukraine ??? na hata alipofika Kiev alifurushwa kama Mbwa-koko!!

Hata kwenye maeneo anayoyakalia anapigwa kama Ngoma na askari wake kuuwawa kama kumbikumbi na sasa mwaka wa 4 bado anahangaika na Ukraine tu ni aibu kwa Russia!!
NATO lazima itashinda hii vita maana wamekamata maeneo mengi sana ya Russia...
 
NATO lazima itashinda hii vita maana wamekamata maeneo mengi sana ya Russia...
Endelea kujitoa ufahamu wakati askari wa Russia wanapukutika mwaka wa 4 sasa So-Called superpower anahangaika tu na maeneo yake kushambuliwa kila siku.
 
Huko Alaska watu wameandamana kuonesha mshikamano na Ukraine huku mikutano Kati ya wababe wawili ikiendelea
IMG_20250815_162017.jpg
 
Unajisumbua bure na updates zako uchwara, masuala ya Israel yamekushinda umehamia huku, Israel amepigwa kipigo cha mbwa koko sasa upo huku kujifariji..
Sasa huku anajifariji Nini wakati ndio mateso zaidi... ProNato wenzake wote weficha vichwa mchangani... Ni aibu sana ...nyie muacheni tu atapotea kama wenzake wengi....
 
Back
Top Bottom