Russia wanatengeneza drones zao wenyewe...Ulivyo mjinga wewe unajua hata zile Drone aina ya Shaheed ni za Russia kwa kuwa yeye ni Supapawa!!!
Kwa hiyo kwa akili yako kiduchu Russia hana Drones za Iran aina ya Shaheed?Russia wanatengeneza drones zao wenyewe...
Makampuni private ya drone Russia mengi wanatengeneza drones zao, wana drones zinafanana na shaheed 136 lakini sio shaheed...
Russia sio mchezo, hivyo vifaa na misaada waliyopewa Ukraine wangepewa Hamas Israel isingekuwepo leo, Netanyahu angeshakimbilia Poland kwao..
Russia drones zao sio shaheed, zinafanana.. kuwa muelewa...Kwa hiyo kwa akili yako kiduchu Russia hana Drones za Iran aina ya Shaheed?
Dah aisee,umetisha sana.Baadhi ya misaada tu hio, bado kampuni zilizotoa misaada na ku support Ukraine....
Bila kusahau vikwazo vinayowekwa Kila siku.Ukisoma misaada Ukraine iliyopokea na ambayo inaendelea kupokea, nashindwa kuelewa Russia wana utaalamu gani na uwezo gani kijeshi kuweza kukabiliana kiasi hiko... hapo kiuhalisia Russia inapigana na west yote lakini ngoma bado ni ngumu....
Sishangai unavyoshupaza fuvu na kuwafanya wengine hawajui tofauti ya Shaheed na German-2. Angalia hapo chini ndipo ujue Russia ana Shaheed za Iran pamoja na kuwa Supapawa wa MICHONGO!!!Russia drones zao sio shaheed, zinafanana.. kuwa muelewa...
Wengi wanazifananisha na kuziita shaheed lakini sio shaheed, zinaitwa geran-2...
Hio list mi mwenyewe nimeshangaa...Dah aisee,umetisha sana.
Haihitaji Elimu hata ya darasa la sababu TU kujua ukubwa wa Urusi.
utakuta Kuna IQ zero wanakuambia Urusi inahenyeshwa na Ukraine mwaka wa Tatu Sasa.
Ila hawasemi Urusi inapambana Ukraine inayosaidiwa na all collective west.
Sishangai unavyoshupaza fuvu na kuwafanya wengine hawajui tofauti ya Shaheed na German-2. Angalia hapo chini ndipo ujue Russia ana Shaheed za Iran pamoja na kuwa Supapawa wa MICHONGO!!!
View: https://x.com/visegrad24/status/1865012587231850976?s=61
View: https://x.com/iranobserver0/status/1825101194420740586?s=61
Endelea kushupaza fuvu lakini ukweli uko palepale Russia pia anapata kutoka nchi mbalimbali kama tu Ukraine anavyopata!!! Cha ajabu Supapawa wa MICHONGO leo ni mwaka wa 4 anahangaika na Ukraine tu!!x situmii sijawasha vpn hivyo sioni chochote...
Iran iliwapa Russia drones ambazo Russia imezi reverse engineer na kutengeneza drones zake za aina yake, ameziboresha zaidi... kuwa muelewa...
Usiseme nchi mbalimbali ni nchi mbili vs nchi zaidi ya 30, ukiondoa wahusika Ukraine na Russia.Ulivyo mjinga
Ulivyo mjinga umesahau kutuwekea misaada anayopata Russia kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Iran na Korea Kaskazini!!!!
Hahahaha wahuni sio watuMzigo mpya wa air defense (Patriot) system kutoka German, ambao uliingia leo, umelipuliwa air port hata kabla ya kuwa deployed.
Inasemekana na cargo plane iliyoleta huo mzigo (Airbus A400M) na yenyewe imeteketezwa