Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

JUST IN: 🇺🇸🇷🇺 President Trump orders two US nuclear submarines to be positioned in regions near Russia, citing threats from former Russian President Dmitry Medvedev.
Kashindwa ugomvi wa maneno na Dmitry, maana ana kauli za kukera.
Ila pia inawezekana anataka kuhamisha magori kwenye Ultimutum yake.
 
Hii vita ya maneno alianza yeye,
Huyu mzee anafurahisha
1754072464159.jpeg
 
Hii vita ya maneno alianza yeye,
Huyu mzee anafurahisha
View attachment 3427420
Maskiniii! Bwana Trump amesahau kwamba Russia ni moja ya nchi za kutisha zaidi kijeshi na hasa linapokuja swala la vita ya kiNyuklia hakutakuwa na mshindi zaidi ya angamizo completely la Western world na Russia yenyewe!
Ni ajabu kwamba bwana Trump Rais wa taifa kubwa zaidi duniani anaact kama mvaa Madera wa Buza!
 
Kiukweli warusi wamejitahidi sana, huwezi kupigana na jumuia ya ulaya na umoja wa NATO ukabaki salama, lakini urusi mpaka Leo amesimama licha ya vikwazo vya kiuchumi. Sikatai kuwa Urusi imetumia muda mrefu lakini pia NATO na ulaya wanatumia muda mrefu kupambana na urusi. West ndo wangeonesha uwezo wao Kwa kumwondoa urusi Ukren

Kitu nimejifunza ni kuwa madege na mavifalu ya wamarekani ni kwaajili ya kuwapigia waarabu na wairani, ndo maana wanaipa Israel iwapige waarabu huko ndo kunakofaa.
 
🇺🇸🇷🇺❗️Trump stated that US nuclear submarines have become "closer to Russia"

All this followed Medvedev's statements about nuclear war.

Trump also said — "Putin wants to take over all of Ukraine, I think it will be very difficult for him. After the deadline, we will impose sanctions, but Putin handles them quite well. He knows how to avoid them".
 
Mkuu myahudi wa uswahilini nadhani hizi taarifa ni za kubumba. Askari wa Urusi hawapukutiki kwa scale hiyo unayoiongeleq hapa. Ingekuwa kweli tungelishuhudia pale Urusi na Ukraine wanapobadilishana miili ya askari waliofia vitani. Kila wakibadilishana utakuta namba kubwa sana ni ya miili ya wa Ukraine. Huwa kunakipindi unakuta mpaka miili ya wa Ukraine 1000 kwa mwili 0 wa Urusi. Hii inawezekanaje kama Warusi wanakufa kama kumbikumbi kwenye vita hii?
Never argue with an idiot. He will drag you down to his level -- and then beat you with "experience." Mark Twain
 
🇺🇸🇷🇺❗️The USA is ready for a nuclear conflict with Russia

"Medvedev spoke about nuclear weapons, and when such a conversation arises, we must be ready. And we are fully ready." — Trump stated
Putin mjanja sana,.. anampa Medvedev ujumbe wa kuwakera NATO alafu yeye anaongea kwa upole huku akipelekea moto tu ili NATO waongee yote mpaka ya sirini 😄😄
 
Back
Top Bottom