Sawa sawa myahudi wa uswahiliniUlivyo mjinga hata Neno Mjinga hujui maana yake wewe ulivyo mjinga unajua nimetukana!!! Kiswahili ni lugha ya taifa jifunze!!!
Unatoa majibu vizuri sema tatizo moja unamjibu mgonjwa wa akili... Hapo utakeshaKwa silaha gani nyingi wakati Ukraine inapata kila aina ya msaada... Ukraine imechangiwa na nchi 54 kwa misaada ya pesa, wataalamu, vifaa, silaha, huduma n.k...
Kwa hio misaada Ukraine ilipaswa irudishe maeneo yake... Russia ni superpower na hio ndio maana halisi ya superpower...
Orodhesha na wewe misaada anayopata kutoka nchi zingine harafu orodhesha na vikwazo alivyowekewaEndelea kushupaza fuvu lakini ukweli uko palepale Russia pia anapata kutoka nchi mbalimbali kama tu Ukraine anavyopata!!! Cha ajabu Supapawa wa MICHONGO leo ni mwaka wa 4 anahangaika na Ukraine tu!!
Siko hapa kuorodhesha misaada ambayo haisaidii kushinda vita!!!Orodhesha na wewe misaada anayopata kutoka nchi zingine harafu orodhesha na vikwazo alivyowekewa
Mpira bila magoli ni sawa na kujaza maji kwenye ndoo iliyotoboka.wewe unapiga kelele humu wenzako washachukua mji wa Chasiv yahSiko hapa kuorodhesha misaada ambayo haisaidii kushinda vita!!!
Endelea kujidanganya mwenyewe huku askari wa Russia wakipukutika kama Kumbikumbi !!Mpira bila magoli ni sawa na kujaza maji kwenye ndoo iliyotoboka.wewe unapiga kelele humu wenzako washachukua mji wa Chasiv yah
Endelea kujidanganya mwenyewe huku askari wa Russia wakipukutika kama Kumbikumbi !!
View: https://x.com/nstrike1231/status/1950940917214429338?s=61
Jiulize sasa kwa nini Russia hashindi hii vita maana sasa ni miaka 4 anateseka tu!!Ukraine ni waongo mno. Nilishaacha kuwaamini tokea kipindi Kp alipokuwa analeta taarifa kutoka Gazeti la Kiev Independent kuwa kila siku Russia wanalambishwa mchanga Wapiganaji 1,000.
We ni mgeni unabishana na kushangaa maneno ya huyo!Mkuu Echolima1 mbona unatumia sana lugha ya matusi kushinda vita inayoendelea?
Toka lini wewe Mwehu akatoa mawazo ya maana?We ni mgeni unabishana na kushangaa maneno ya huyo!
Endelea kujidanganya mwenyewe huku askari wa Russia wakipukutika kama Kumbikumbi !!
View: https://x.com/nstrike1231/status/1950940917214429338?s=61