Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇺🇦Ukraine may cease to exist as a state, if Ukrainian society does not decide what it wants and what needs to be done for this — head of the GUR Kyrylo Budanov
 
Vikwazo vinaumiza nchi ndogo sio nchi kubwa kama urusi, wanarasilimali za kutosha, chakula kimejaa gesi mafuta bidhaa za mbao nguvu za umeme za nyuklia viwanda wanasayansi na watu wazalendo wenye akili. Sasa wewe utawakamata wapi?
 
🚨⚡️OFFICIALLY AND FOR THE FIRST TIME — THE RUSSIAN ARMED FORCES BEGIN RECEIVING THE ADVANCED PANTSIR-SMD AIR DEFENSE SYSTEM 🇷🇺

Colonel General Alexander Maksimtsev, First Deputy Commander of the Russian Aerospace Forces, announced in an interview with the official newspaper Red Star that Russia’s armed forces have begun actively receiving the new *Pantsir-SMD systems — marking the first official confirmation of their deployment.

Maksimtsev stated:

“To strengthen air defense capabilities for administrative, political, and critical areas — as well as to protect force groups and rear facilities from intensive air strikes — our forces are now actively receiving the modern Pantsir-SMD systems.”

🔹 The export version is known as Pantsir-SMD-E, with technical details recently revealed by HPW Holding, a subsidiary of Russia’s state-owned Rostec

Key features of the Pantsir-SMD system:

  • Up to 48 small missiles per launcher.
  • Integration of standard guided missiles and smaller missiles in the same launcher.
  • Advanced fire control system with:

* Surveillance radar,
* Multifunctional radar,
* Electro-optical system.
* Automatic launch effectiveness assessment.

Back in June, Rostec began delivering new small missiles for the Pantsir system, designed specifically to counter drones. These are installed in quad containers on standard launchers without altering reload times.

Industrial Director Bekhan Ozdoev of Rostec's Armament Cluster commented:

“The new small missiles significantly enhance the system’s ability to counter air threats, making it harder for the enemy to deplete Pantsir's ammunition during attempts to breach air defenses.”

📌 The Pantsir-SMD is among the most advanced Russian systems in its class and strengthens Russia’s global standing in short-to-medium range air defense, especially in countering modern threats like drones.

---

Sources:

– Red Star (Russian Ministry of Defense)
– HPW Holding
– Rostec State Corporation
 
Kiukweli warusi wamejitahidi sana, huwezi kupigana na jumuia ya ulaya na umoja wa NATO ukabaki salama, lakini urusi mpaka Leo amesimama licha ya vikwazo vya kiuchumi. Sikatai kuwa Urusi imetumia muda mrefu lakini pia NATO na ulaya wanatumia muda mrefu kupambana na urusi. West ndo wangeonesha uwezo wao Kwa kumwondoa urusi Ukren

Kitu nimejifunza ni kuwa madege na mavifalu ya wamarekani ni kwaajili ya kuwapigia waarabu na wairani, ndo maana wanaipa Israel iwapige waarabu huko ndo kunakofaa.
Hata huko Iran hawafui dafu.
Hizo ndege za kuonea waarabu tu wa Syria na Lebanon.
 
Kiukweli warusi wamejitahidi sana, huwezi kupigana na jumuia ya ulaya na umoja wa NATO ukabaki salama, lakini urusi mpaka Leo amesimama licha ya vikwazo vya kiuchumi. Sikatai kuwa Urusi imetumia muda mrefu lakini pia NATO na ulaya wanatumia muda mrefu kupambana na urusi. West ndo wangeonesha uwezo wao Kwa kumwondoa urusi Ukren

Kitu nimejifunza ni kuwa madege na mavifalu ya wamarekani ni kwaajili ya kuwapigia waarabu na wairani, ndo maana wanaipa Israel iwapige waarabu huko ndo kunakofaa.
Mkuu Mzee Ngonyani heshima kwako.
Kuongezea maneno Yako uko sahihi 100 kwa 100.

Kwa miaka mingi ama Kwa miaka yote nimekua nikijua na pengine wengi wetu tumekua tukijua kua Teknolojia zote kubwa zinatoka nchi za Magharibi.

Na ninaamini kua vifaa vya kijeshi ndio vifaa vilivyoyengenezwa kwa Teknolojia ya Hali ya juu sana kuliko vifaa vingi,mfano Satellites za kijeshi ziko juu sana lkn zinaweza kuona picha na mienendo ya vifaa vya kijeshi vilivyopo ardhini na hata vinavyotembea.

Rada zinaweza kuona vitu vinavyokuja uelekeo wa ilipo rada kutokea mbali sana.
Mfano Satellites na lada zinaweza kuona ndege ikiruka kutoa nchi moja kwenda nchi nyingine,
Kuna Teknolojia kubwa sana kwenye vyombo vya kijeshi vipitavyo kwenye maji,baharini,ziwani au mitoni,lakini Kuna vyombo pia vya kuviona vyombo hivyo vya majini vikiwa mbali.

Kuna silaha zikirushwa au kupiga hazionekani kwenye rada mfano ndege za USA kama B2 na makombora kama ya hypersonic ya Urusi n.k.
Kuna vifaa vya mawasiliano vya hali ya juu sana, na pia kuna ndege za upelelezi ambazo zikipita TU juu ya anga lako zinapiga picha chochote watakachotaka kupiga,mfano kupiga picha sehemu mlizoficha silaha n.k.
Kuna vifaa vya ujasusi vilivyotengenzwa kwa Teknolojia ya Hali ya juu sana Kwa ajili ya kupelelezana kijeshi.

Nimeandika haya kwa ufipi sana ili kuonesha TU Kuna Teknolojia kubwa sana kwenye zana za kijeshi,lakini yapo makubwa zaidi ya haya.

Kwa Nini nimeanza kuandika juu ya Teknolojia?
Nimeandika hivyo ili kukuonesha nilivyokua naelewa zamani na jinsi Urusi ilivyonishangaza.

Kwa miaka yote nilikua naamini Magharibi yaani USA, UK, German,France, Italy, Norway, Denmark,Sweden, Holland, Spain, Portugal,Greece, Turkey,Japan ukiondoa wale waliokua upande wa USSR akina Poland,Romania, Bulgaria, na wenzako,niiiamini na ninajua hao west wa zamani ndio waliokua wana Teknolojia ya Hali ya juu sana,hivyo kupeleka kua na majeshi yenye uwezo mkubwa sana hapa duniani.
Kama nilivyokua najua na ninajua Hadi Leo kua west ndio nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani,hivyo kwa advantage hizo Tatu za Teknolojia,Majeshi ya Hali ya juu na uchumi mkubwa,Urusi alipoanzisha SMO hakika nilijua huo ndio utakua mwisho wa taifa liitwalo Russian Federation,kwa sababu USA na NATO waliionya Urusi isijaribu kuivamia Ukraine.

Ukweli ni kwamba hii ni ajabu ambayo Mimi bado nashangaa,

Kumbuka Hao west wala hawatanii,wala hawaionei huruma Urusi,wao ukifatilia kauli zao utaona walijipanga kuiharibu kabisa Urusi ikiwezekana isambaratike tena, ili kuwe na vi nchi vidogovidogo.

Kumbuka waliipiga vikwazo vya Kila aina na kuianzishia vita ili ichoke haraka ,ikiwezekana Urusi kutokee machafuko,Putin aangushwe,nchi ivunjike vipande.

Waliiandaa na kuijenga Ukraine kisilaha na kijeshi na mbinu za kivita kwa viwango vya juu kabisa vya NATO kwa ajili ya kuja kupigana na Urusi,walijengea miundombinu imara na Bora kabisa ya kijeshi kwa ajili ya kuja kupigana na Urusi.

Walijenga makambi ya kijasusi ambayo yalikua yanaendeshwa na CIA zaidi ya kumi na mbili ndani ya Ukraine huku wakiwafundisha Majasusi wa Ukraine kuichunguza Urusi na kuihujumu,ndani ya hayo makambi kulikua Kuna Majasusi kutoka nchi kadhaa za NATO hususani MI6 wa UK.

Tazama umoja huo wa nchi zenye uwezo mkubwa namna hiyo,zimeunganisha nguvu kwa ajili ya kukabiliana na nchi moja TU ambayo Iko peke yake yaani Urusi.

Kwa kusoma TU alama za nyakati ni kwamba kama majeshi ya Ukraine yangefanikisha kazi waliyopewa bila kujua, ya kuidhoofisha Urusi angalau kwa 60% TU, naamini NATO wangeingia mazima kumsaidia Ukraine Kuipiga Urusi.
Ukitaka kuamini haya angalia idadi ya misaada ya silaha fedha na ushauri wanaompa Ukraine ndo utaona ni jinsi Gani walikua wanatafuta upenyo wa kuingiza majeshi Yao kamili.
Hakuna nchi duniani iliyowahi kupewa misaada ya silaha na fedha kwa ajili ya kupigana na nchi nyingine hapa duniani kama iliyopewa Ukraine,Lkn hebu angalia NATO waliingia kijeshi Yugoslavia,Iraq na hata Libya,je wnashindwa Nini kuingia mazima Urusi?
Mwaka Jana tuliona ndege za USA UK na Fra zikidungua makombora ya Iran yaliyoelekezwa Israel Hadi Zelensky akalalamika mbona hawadungui makombora ya Urusi kuelekea Ukraine?
Juzi hapa tumeona USA imepelekq ndege Kwenda kupiga Iran wakati Iran ikipogana na Israel,mbona hwafanyi hivyo Kwa Ukraine?
Wanachofanya ni kulipa Ukraine silaha na wao kupigana kwa "kificho."

Mkuu Mzee Ngonyani sio kwamba NATO hawako Ukraine,wapo sana na wanauliwa Kila siku wakiwa kwenye mahandaki , command center,wakiendesha vifaa ambavyo Ukraine hawawezi kuviendesha, lakini ki ukweli wanakutana na mkono wa Putin.

Mkuu hii ni vita, na kama ulivyosema nchi moja ikipigana na nchi nyingine, halafu hiyo nchi nyingine ikapata usaidizi na kutoka west,ujue hiyo nchi kutoboa ni miujiza,lakini Urusi imeni prove Wrong.

Kwa vita hii ya Ukraine,Urusi imewamudu west wote kwa pamoja.

Ukweli ni kwamba kama vita hii ingekua ni baina ya Ukraine na Urusi peke Yao, Leo hii Ukraine yote ingekua chini ya Urusi,lakini ni ukweli usiopingika Kwamba, west wote wamefanikiwa kumchelewesha Urusi kumaliza malengo yake haraka.
Lakini pia ni ukweli usiopingika kua, kwa uwezo Urusi ilionao imeweza kuzima kabisa matamanio ya west, kutaka kuidhoofisha au kuishinda Urusi.
Kwa kumalizia na kwa maoni yangu Mimi ni kwamba, Hadi kufikia Leo hii 03 August 2025 Urusi ndio mshindi wa vita hii, kwa sababu ameweza kuchukua sehemu kubwa ya ardhi ya Ukraine, na ameweza kulidhoofsha kabisa jeshi la Ukraine, na Ukraine haitajiunga na NATO asilani.
Leo hii vijana wa Ukraine wamekua wakitekwa na nchi Yao ili kwenda vitani,wakati huko Urusi,vijana wanaomba wenyewe kujiunga na jeshi.
Wakati huohuo Kuna wimbi la wanajeshi wa Ukraine wanajisalimisha Kila siku kwa majeshi ya Russia.
Urusi peke yake imeweza kuwamudu muungano wa nchi zote za Magharibi.
 
Mkuu Mzee Ngonyani heshima kwako.
Kuongezea maneno Yako uko sahihi 100 kwa 100.

Kwa miaka mingi ama Kwa miaka yote nimekua nilijua na pengine wengi wetu tumekua tukijua kua Teknolojia zote kubwa zinatoka nchi za Magharibi.

Na ninaamini kua vifaa vya kijeshi ndio vifaa vilivyoyengenezwa kwa Teknolojia ya Hali ya juu sana kuliko vifaa vingi,mfano Satellites za kijeshi ziko juu sana lkn zinaweza kuona picha na mienendo ya vifaa vya kijeshi vilivyopo ardhini na hata vinavyotembea.

Rada zinaweza kuona vitu vinavyokuja uelekeo wa ilipo rada kutokea mbali sana.
Mfano Satellites na lada zinaweza kuona ndege ikiruka kutoa nchi moja kwenda nchi nyingine,
Kuna Teknolojia kubwa sana kwenye vyombo vya kijeshi vipitavyo kwenye maji,baharini,ziwani au mitoni,lakini Kuna vyombo pia vya kuviona vyombo hivyo vya majini vikiwa mbali.

Kuna silaha zikirushwa au kupiga hazionekani kwenye rada mfano ndege za USA kama B2 na makombora kama ya hypersonic ya Urusi n.k.
Kuna vifaa vya mawasiliano vya hali ya juu sana, na pia kuna ndege za upelelezi ambazo zikipita TU juu ya anga lako zinapiga picha chochote watakachotaka kupiga,mfano kupiga picha sehemu mlizoficha silaha n.k.
Kuna vifaa vya ujasusi vilivyotengenzwa kwa Teknolojia ya Hali ya juu sana Kwa ajili ya kupelelezana kijeshi.

Nimeandika haya kwa ufipi sana ili kuonesha TU Kuna Teknolojia kubwa sana kwenye zana za kijeshi,lakini yapo makubwa zaidi ya haya.

Kwa Nini nimeanza kuandika juu ya Teknolojia?
Nimeandika hivyo ili kukuonesha nilivyokua naelewa zamani na jinsi Urusi ilivyonishangaza.

Kwa miaka yote nilikua naamini Magharibi yaani USA, UK, German,France, Italy, Norway, Denmark,Sweden, Holland, Spain, Portugal,Greece, Turkey,Japan ukiondoa wale waliokua upande wa USSR akina Poland,Romania, Bulgaria, na wenzako,niiiamini na ninajua hao west wa zamani ndio waliokua wana Teknolojia ya Hali ya juu sana,hivyo kupeleka kua na majeshi yenye uwezo mkubwa sana hapa duniani.
Kama nilivyokua najua na ninajua Hadi Leo kua west ndio nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani,hivyo kwa advantage hizo Tatu za Teknolojia,Majeshi ya Hali ya juu na uchumi mkubwa,Urusi alipoanzisha SMO hakika nilijua huo ndio utakua mwisho wa taifa liitwalo Russian Federation,kwa sababu USA na NATO waliionya Urusi isijaribu kuivamia Ukraine.

Ukweli ni kwamba hii ni ajabu ambayo Mimi bado nashangaa,

Kumbuka Hao west wala hawatanii,wala hawaionei huruma Urusi,wao ukifatilia kauli zao utaona walijipanga kuiharibu kabisa Urusi ikiwezekana isambaratike tena, ili kuwe na vi nchi vidogovidogo.

Kumbuka waliipiga vikwazo vya Kila aina na kuianzishia vita ili ichoke haraka ,ikiwezekana Urusi kutokee machafuko,Putin aangushwe,nchi ivunjike vipande.

Waliiandaa na kuijenga Ukraine kisilaha na kijeshi na mbinu za kivita kwa viwango vya juu kabisa vya NATO kwa ajili ya kuja kupigana na Urusi,walijengea miundombinu imara na Bora kabisa ya kijeshi kwa ajili ya kuja kupigana na Urusi.

Walijenge makambi ya kijasusi ambayo yalikua yanaendeshwa na CIA zaidi ya kumi na mbili ndani ya Ukraine huku wakiwafundisha Majasusi wa Ukraine kuichunguza Urusi na kuihujumu,ndani ya hayo makambi kulikua Kuna Majasusi kutoka nchi kadhaa za NATO hususani MI6 wa UK.

Tazama umoja huo wa nchi zenye uwezo mkubwa namna hiyo,zimeunganisha nguvu kwa ajili ya kukabiliana na nchi moja TU ambayo Iko peke yake yaani Urusi.

Kwa kusoma TU alama za nyakati ni kwamba kama majeshi ya Ukraine yangefanikisha kazi waliyopewa bila kujua, ya kuidhoofisha Urusi angalau kwa 60% TU, naamini NATO wangeingia mazima kumsaidia Ukraine Kuipiga Urusi.
Ukitaka kuamini haya angalia idadi ya misaada ya silaha fedha na ushauri wanaompa Ukraine ndo utaona ni jinsi Gani walikua wanatafuta upenyo wa kuingiza majeshi Yao kamili.
Hakuna nchi duniani iliyowahi kupewa misaada ya silaha na fedha kwa ajili ya kupigana na nchi nyingine hapa duniani kama iliyopewa Ukraine,Lkn hebu angalia NATO waliingia kijeshi Yugoslavia,Iraq na hata Libya,je wnashindwa Nini kuingia mazima Urusi?
Mwaka Jana tuliona ndege za USA UK na Fra zikidungua makombora ya Iran yaliyoelekezwa Israel Hadi Zelensky akalalamika mbona hawadungui makombora ya Urusi kuelekea Ukraine?
Juzi hapa tumeona USA imepelekq ndege Kwenda kupiga Iran wakati Iran ikipogana na Israel,mbona hwafanyi hivyo Kwa Ukraine?
Wanachofanya ni kulipa Ukraine silaha na wao kupigana kwa "kificho."

Mkuu Mzee Ngonyani sio kwamba NATO hawako Ukraine,wapo sana na wanquliwa Kila siku wakiwa kwenye mahandaki , command center,wakiendesha vifaa ambavyo Ukraine hawawezi kuviendesha lakininki ukweli wanakutana na mkono wa Putin.

Mkuu hii ni vita, na kama ulivyosema nchi moja ikipigana na nchi nyingine halafu hiyo nchi nyingine ikipata usaidizi na kutoka west ujue hiyo nchi kutoboa ni miujiza,lakini Urusi imeni prove Wrong.

Kwa vita hii ya Ukraine Urusi imewamidu west wote kwa pamoja.

Ukweli ni kwamba kama vita hii ingekua ni baina ya Ukraine na Urusi peke Yao Leo hii Ukraine yote ingekua chini ya Urusi,lakini ni ukweli usiopingika. Kwamba west wote wamefanikiwa kumchelewesha Urusi kumaliza malengo yake haraka.
Lakini pia ni ukweli usiopingika kua kwa uwezo Urusi ilionao imeweza kuzima kabisa matamanio ya west kutaka kuidhoofisha au kuishinda Urusi.
Kwa kumalizia na kwa maoni yangu Mimi ni kwamba Hadi kufikia Leo hii 03 August 2025 Urusi ndio mshindi wa vita hii kwa sababu ameweza kuchukua sehemu kubwa ya ardhi ya Ukraine na ameweza kulidhoofsha kabisa jeshi la Ukraine na Ukraine haitajiunga na NATO asilani.
Leo hii vijana wa Ukraine wamekua walitekwa na nchi Yao kwenda vitani,wakati huko Urusi vijana wanaomba kujiunga na jeshi.
Wakati huohuo Kuna wimbo la wanajeshi wa Ukraine wanajisalimisha Kila siku kwa majeshi ya Russia.
Urusi peke yake imeweza kuwamudu muunganikowa nchi zote za Magharibi.
Vyema kabisa
 
Kuna British special forces 3, Russia kawateka ndani ya huko Ukraine eneo la Ochakav katika operation iliyoitwa SCAT-12.
Maofisa hawa ni,
Edward Blake, huyu kutoka 77 survillance brigade
Richard Horald-Military intelligence
na MI6 mmoja.
Inasadikika walishiriki ku organise operation spiderweb
Uk wanasema walienda kama watalii, na wameomba kufanya prison exchange, ila Urusi wamekataa
 
Nasikia kazi hiyo imefanywa na Spertsnaz
 
Ngoja ni declare interest Mimi ni Military Operations analyst and Security Expert. Sawa nashindwaje kuchangia kwenye mada za Ukraine/Russia war, Mizozo ya Mashariki ya kati? Mimi ndiyo kazi yangu na itashangaza mtu akiniona nachangia kwenye mada za Jukwaa la Mapenzi au Jukwaa la Mapishi!!!.

Ni kweli huwezi kuniona nachangia kwenye majukwaa hayo maana mimi si fani yangu Majukwaa hayo nawaachia wenye fani hizo!! Nawashukuru sana JF kwa kutuwekea majukwaa mengi ili kila mtu aweze kutoa yake ya moyoni kulingana na fani yake!!!

Wala sijifariji kama unavyosema!! Wewe utaendelea kujipa moyo!! Kama nijuavyo mimi Russia ni Supapawa sasa niambie toka Feb 24,2022 mpaka leo hii bado anahangaika na Ukraine tu mwezi March,2022 askari wake walifika mpaka Kiev katika jaribio lililoshindwa la kuiteka Ukraine na walifurushwa huku wakiacha nyuma mizoga ya askari wake.

Hata sasa hivi wako upande wa Mashariki na maeneo hayo yamegeuka shubiri kwao askari wa Russia wanapukutika kama nzige tu. Drones za Ukraine zinawaua mmoja baada ya mwingine!!!

Kama Russia angekuwa na nguvu hii vita angeimaliza kwa mwaka mmoja tu wala si zaidi kama ilivyo sasa hivi. Elewa vita ni gharama ya maliasili watu na vifaa naye anajua lakini kameza ndoano kumeza anashindwa na kuitema anashindwa anabakia kupiga maeneo ya raia wasio na silaha huku akiwaacha wanaume Frontline!!
Sawa. Military Operations analyst and Security Expert.
 
Czar of trolling (Medved), amemwambia Trump, asidhani mafile ya matendo yake ya hovyo wanayo Mossad peke yake.
Kwa maneno ya hovyo na kejeli na kukera, Trump hamuwezi huyu jamaa, ataishia kukasirika na vitisho
😀
Mtumwa wa siri zake
 
Attachments

  • IMG_20250803_230536_836.jpg
    IMG_20250803_230536_836.jpg
    15.9 KB · Views: 18
🇷🇺🇺🇦Today, strikes on the bridge in Kherson continued.
 
Attachments

  • VID_20250803_230619_737.mp4
    575.6 KB
🚨⚡️BREAKING
Media: The West is disappointed over the failure of sanctions to harm the Russian economy

The Washington Post confirmed that the failure of sanctions to cripple the Russian economy has sparked growing disappointment in Western countries.
 
Czar of trolling (Medved), amemwambia Trump, asidhani mafile ya matendo yake ya hovyo wanayo Mossad peke yake.
Kwa maneno ya hovyo na kejeli na kukera, Trump hamuwezi huyu jamaa, ataishia kukasirika na vitisho
Trump atatulia TU,huyo Medvedev sio Rais, hafungwi na diplomasia na Hana Cha kupoteza😆😃😆😃😅😆😆😃😅😅🤣🤣
 
Back
Top Bottom