zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,946
- 6,664
Anawatia presha wananchi wake 🤣🇺🇸🇷🇺 President Trump says "we're totally prepared" for nuclear war with Russia.
@BRICSNews
Anawatia presha wananchi wake 🤣🇺🇸🇷🇺 President Trump says "we're totally prepared" for nuclear war with Russia.
@BRICSNews
Manina anaona Gaza Kuna nguruwe tuh .ila Ukraine ndio Kuna watu
Acha kubwabwaja tu lete ushahidi!!!Ni moja tu iliyoharibika, nyingine zipo vizuri
Kitendo cha kwenda kumpigia Putin magoti ni wazi kuwa Marekani wamesalimu amri kwa UrusiPutin bwana ni mtu wa ajabu sana. Baada ya vitisho vya bwana Trump ikiwemo vitisho vya vita vya kiNyuklia na vikwazo hakujibu chochote chenye mwelekeo wa wazi sana kulingana na kauli za bwana Trump! Ukimya huu ukasababisha Trump aropoke zaidi kwamba bwana Putin( Russia) ni fundi wa kukwepa vikwazo!
Mzee Putin tena kwa Mara nyingine kimya lakini kelele zikawa nyingi huko Ukraine kwamba Drone zimekuwa zikishambulia Ukraine kwa wingi kama tu mvua...
Dah kule Washington kichwa kikamuuma kwelikweli bwana mropokaji kwamba je ikitokea vikwazo kwa Mara nyingine havina nguvu kumuangusha Putin je itakwaje? Wakaona ni vyema wajikurubishe kwa bwana Putin. Bwana Putin bila shaka amewaambia yaleyale ya kila siku .
Tusubiri
Kwa wenye upeo wa kuona wameshatambua Urusi imeshinda hii vita kwa sababu Urusi imeshachagua njia na kuwachagulia NATO njia.Putin bwana ni mtu wa ajabu sana. Baada ya vitisho vya bwana Trump ikiwemo vitisho vya vita vya kiNyuklia na vikwazo hakujibu chochote chenye mwelekeo wa wazi sana kulingana na kauli za bwana Trump! Ukimya huu ukasababisha Trump aropoke zaidi kwamba bwana Putin( Russia) ni fundi wa kukwepa vikwazo!
Mzee Putin tena kwa Mara nyingine kimya lakini kelele zikawa nyingi huko Ukraine kwamba Drone zimekuwa zikishambulia Ukraine kwa wingi kama tu mvua...
Dah kule Washington kichwa kikamuuma kwelikweli bwana mropokaji kwamba je ikitokea vikwazo kwa Mara nyingine havina nguvu kumuangusha Putin je itakwaje? Wakaona ni vyema wajikurubishe kwa bwana Putin. Bwana Putin bila shaka amewaambia yaleyale ya kila siku .
Tusubiri
Kwamba zeleboy anataka kwenda kudanga na EU?Kwa wenye upeo wa kuona wameshatambua Urusi imeshinda hii vita kwa sababu Urusi imeshachagua njia na kuwachagulia NATO njia.
Japo Urusi inaonekana kukaa nao mezani pamoja na kutoonesha jazba, ndani ya vilindi vya moyo wa Urusi jibu ni moja tu! (Kateni mazoea kabisa ya kijeshi na mwanangu Ukraine mrudi kwenu mkafanye yenu na sisi tufanye yetu.)
Tumesikia sana Putin akisema anachotaka ni majimbo ya mashariki ambayo tayari ni kama ameshayachukua. Ila amini nawaambia, hili sekeseke litaisha pale tu NATO watakapokaa mbali na Ukraine! Ni heri vitokee vita vya moja kwa moja kati ya Urusi na NATO lakini sio Urusi kuiacha Ukraine ikadange huko ije imletee ukimwi.... Ilishaleta kisonono kupitia zelensky hivyo Urusi haitokubali kuletewa ngoma bora tukose wote 😄😄😄
Anadangisha nchi yakeKwamba zeleboy anataka kwenda kudanga na EU?
Hamna vita inaisha labda NATO waondoke UkraineBREAKING: USA MADE AN OFFER TO RUSSIA THAT IS ACCEPTABLE!
Ushakov: “They made an offer that is quite acceptable to us”
Ukraine war may end next week!??
-> Unbelievable developments!
What concessions were made?
Huo ndo ukweli badala ya kuwa migodi kinakuwa command control center and reconnaissance unit nani anatakaTrump hataruhusiwa kuchimbq hata dini moja,Bali atauziwa .
Wala huo mgodi hautakaa Urusi kamwe kawa Ukraine.
Ingekua dharau kwa Urusi eti wamarekani wanmiliki mgodi Ukraine.
Endeleeni kujidanganya!!Kitendo cha kwenda kumpigia Putin magoti ni wazi kuwa Marekani wamesalimu amri kwa Urusi
Wee huna hojaEndeleeni kujidanganya!!
Ulipoaanza kujitambulisha, nilivutiwa, kuwa hatimaye naenda soma kutoka kwa mtu mwenye uelewa..lkn.ndani umeandika utopolo tu.Hoja zako yaani za kitoto sana, umenipotezea muda wangu.Ngoja ni declare interest Mimi ni Military Operations analyst and Security Expert. Sawa nashindwaje kuchangia kwenye mada za Ukraine/Russia war, Mizozo ya Mashariki ya kati? Mimi ndiyo kazi yangu na itashangaza mtu akiniona nachangia kwenye mada za Jukwaa la Mapenzi au Jukwaa la Mapishi!!!.
Ni kweli huwezi kuniona nachangia kwenye majukwaa hayo maana mimi si fani yangu Majukwaa hayo nawaachia wenye fani hizo!! Nawashukuru sana JF kwa kutuwekea majukwaa mengi ili kila mtu aweze kutoa yake ya moyoni kulingana na fani yake!!!
Wala sijifariji kama unavyosema!! Wewe utaendelea kujipa moyo!! Kama nijuavyo mimi Russia ni Supapawa sasa niambie toka Feb 24,2022 mpaka leo hii bado anahangaika na Ukraine tu mwezi March,2022 askari wake walifika mpaka Kiev katika jaribio lililoshindwa la kuiteka Ukraine na walifurushwa huku wakiacha nyuma mizoga ya askari wake.
Hata sasa hivi wako upande wa Mashariki na maeneo hayo yamegeuka shubiri kwao askari wa Russia wanapukutika kama nzige tu. Drones za Ukraine zinawaua mmoja baada ya mwingine!!!
Kama Russia angekuwa na nguvu hii vita angeimaliza kwa mwaka mmoja tu wala si zaidi kama ilivyo sasa hivi. Elewa vita ni gharama ya maliasili watu na vifaa naye anajua lakini kameza ndoano kumeza anashindwa na kuitema anashindwa anabakia kupiga maeneo ya raia wasio na silaha huku akiwaacha wanaume Frontline!!