Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ulipoaanza kujitambulisha, nilivutiwa, kuwa hatimaye naenda soma kutoka kwa mtu mwenye uelewa..lkn.ndani umeandika utopolo tu.Hoja zako yaani za kitoto sana, umenipotezea muda wangu.
Unaongozwa na Mihemko hilo ndilo tatizo linalokusumbua kijana!!
 
🇺🇸🇷🇺🇮🇷The Americans presented an almost complete copy of the "Geran" called MQM-172 Arrowhead.
 
Attachments

  • IMG_20250808_135923_952.jpg
    IMG_20250808_135923_952.jpg
    298.3 KB · Views: 21
🇺🇸🇷🇺🇮🇷The Americans presented an almost complete copy of the "Geran" called MQM-172 Arrowhead.
Warusi wanacope sana mazingira ya kivita. Kabla ya mwezi April 2022 warusi walikuwa wakionekana kuwa nyuma katika vita ya drone kwa kila namna. Wakapigwa kwelikweli mpaka walipoamshwa na jambo hili la drone. Wakaamua kuja na mapigano ya kwa drone kuanzia Frontline mpaka Kiev
 
Wanakutana wakubwa tu!

​

Donald Trump reveals when - and where - he will meet Putin for Ukraine talks​

The two presidents are expected to discuss the conflict in Ukraine - but the war-torn country's leader Volodymyr Zelenskyy will not be at the meeting.

Saturday 9 August 2025 04:31, UK

Ataweza kuvimba mpaka mwisho???

​

Zelenskyy says Ukraine will not give up land - as Trump suggests 'swapping of territories' ahead of Putin talks​

Saturday 9 August 2025 08:18, UK

Nadhani baada ya mji wa Pokrovsk, mji utakaofuata kuanguka ni lyman.
Mji 2022/2023, Urusi alichukua lakini Ukraine waliurejesha kwenye counter offensive, this time ukienda hauwezi kurudi sababu ya hali ya Jeshi la Ukraine na kubadili kwa mbinu za kijeshi upande wa Urusi
Pokrovsk ukianguka tu basi slaviansk na kramatorsk ipo mashakani.maana yake Donesk inakuwa inakaribia kuanguka.
 
Wanakutana wakubwa tu!

​

Donald Trump reveals when - and where - he will meet Putin for Ukraine talks​

The two presidents are expected to discuss the conflict in Ukraine - but the war-torn country's leader Volodymyr Zelenskyy will not be at the meeting.

Saturday 9 August 2025 04:31, UK

Mgogoro wa Ukraine na Russia lakini anayesumbuka ni Trump na West, hii inaashiria kuwa aliyekuwa anapigana vita ya Ukraine ni NATO na si Ukraine kama tulivyokuwa tunaambiwa.
 
Kitendo cha kumpeleka kiongozi wa nchi yako Urusi ilikuwa ni udhaifu mkubwa sana.yani unaenda kumpigia magoti Putin
Hakika lazima tuukubali bwana Putin na idara zao za ujasusi na utawala wanafanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha uchumi wa nchi hiyo hauyumbi lakini pia kuhakikisha Mother Russia will never bow down to US.
 
Back
Top Bottom