Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

"Wananchi wa Ukraine hawatatoa ardhi yao" - Zelensky juu ya tangazo la mkutano wa Trump-Putin

"Jibu la swali la eneo la Ukraine tayari liko katika Katiba ya Ukraine. Hakuna mtu atakaye na anaweza kukengeuka kutoka kwa hili. Waukraine hawatatoa ardhi yao kwa mkaaji," rais alisisitiza.

Zelensky alisisitiza kuwa Ukraine iko tayari kwa maamuzi ya kweli yanayoweza kuleta amani.

"Maamuzi yoyote yanayofanywa dhidi yetu, maamuzi yoyote yanayofanywa bila Ukraine ni, wakati huo huo, maamuzi dhidi ya amani. Hayatafanikiwa chochote. Haya ni maamuzi yaliyokufa. Hayatafanya kazi kamwe. Tunachohitaji sote ni amani ya kweli, hai ambayo watu wataheshimu," aliongeza.
Hawatoi ardhi kivipi, Russia kila leo anachukua ardhi anavyotaka...
 
Si kila eneo wanalotaka wanachukua kumbuka sasa hivi ni mwaka wa 4 Russia anahangaika na vita vya Ukraine askari wake wanapukutika kama Kumbikumbi tu. Wameshindwa kuvimaliza vita hivyo!!
 
Vipi kuhusu uwezo wake
Ningesifu uwezo wake endapo Israel ingezitumia kupiga ADs za Iran kwenye 12 day war, kwa sababu ni stealth na zimetengenezwa kwa ajili ya electronics warfare hivyo kuweza kushambulia air defenses za Iran, lakini badala yake waliingiza agents hasa Afghans na kuwapa mafunzo ya ku operate drones, hivyo wakawa wanafanya sabotage kwenye ADs za Iran kabla ndege hazijaaanza kufanya mashambulizi...

Tunachkiona hapo ni biashara...
Hio ndege ikiruka ikirudi inafikia kwenye maintenance, hivyo zinakaa sana ardhini kwa ajili ya maintenance kuliko angani, spare zake ni gharama sana, training ni gharama... ni ndege ya ajabu sana...

Helmet pekee ya rubani ya hio ndege ni $400,000 sawa na bilioni 1 kwa Tshs..
images

Kiukweli sijaona uwezo wake kwenye vita kubwa yeyote hadi sasa...
sanasana wanzificha ficha sana, ujanja ujanja mwingi kuhakikisha hawaharibu biashara yao...
 
Mmejaa visingizio visivyo na kichwa na miguu. Katika vita vya siku 12 Iran aligaragazwa vibaya sana hakuna ADs wala nini hata Afghans mnawasingizia tu wala si sababu ya Iran kugaragazwa. Sababu ya Iran kupata kipondo ni Ubora wa Jeshi la Israel (IDF)
 
Aivamie Ukraine akose mradi wa gas wa Nord Stream 2?..NATO walishamwambia Putin very clear,hawezi pata vyote,achague kimoja,aivamie Ukraine akose Nord Stream 2 au aachane na Ukraine inversion abakize Nord stream 2.

Unafikiri Putin ni mjinga hivyo akose mradi utaofaidisha genereations sababu ya vita Ukraine.

Kila kitu ni leverage boss sio ubabe wa kijinga mnaoupigania huku usio na kichwa wala miguu.

Leo Sergei Lavrov amesema baadhi ya wanajeshi waliokuwa mpakani Ukraine wameanza safari ya kurudi kambini,Hata satellites za Marekani wame confirm movements za wanajeshi ku withdraw.

Vita sio lelemama aisee
sameleku mchambuzi😁
 
Mmejaa visingizio visivyo na kichwa na miguu. Katika vita vya siku 12 Iran aligaragazwa vibaya sana hakuna ADs wala nini hata Afghans mnawasingizia tu wala si sababu ya Iran kugaragazwa. Sababu ya Iran kupata kipondo ni Ubora wa Jeshi la Israel (IDF)
Naomba tufanye uchambuzi makini na deep mimi na wewe hapa kweye huu uzi, kuhusu vita ya Russia vs Ukraine, Israel vs Iran, 2021 mimi nipo hapa naizungumzia hio F35 kwa hoja makini.. soma hapa kwenye hi comment yangu...
Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

Halafu soma hii comment yangu ambayo niliandika may 31 2025 kabla hata Israel haijaishambulia Iran, nikasema Israel haina bomber au ndege ya kubeba kombora la kuharibu vinu vya nuclear vya Iran, sana sana ndege kama B-2 ndio itatumika na watatumia kombora aina ya GBU-57 wakalibeba na B-2.. na ndicho kimetokea kwenye hio vita ya 12 day war.. ni kama jeshi la US walisoma coment yangu.. soma hapa hi comment..... >>> Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

Sasa kama unajiita mchambuzi tukae hapa mimi na wewe tufanye uchambuzi.... matusi hapana... maana huchelewi kuit wenzako wavaa madera na wafuga midevu ukizidiwa hoja...
 
Si kila eneo wanalotaka wanachukua kumbuka sasa hivi ni mwaka wa 4 Russia anahangaika na vita vya Ukraine askari wake wanapukutika kama Kumbikumbi tu. Wameshindwa kuvimaliza vita

Naomba tufanye uchambuzi makini na deep mimi na wewe hapa kweye huu uzi, kuhusu vita ya Russia vs Ukraine, Israel vs Iran, 2021 mimi nipo hapa naizungumzia hio F35 kwa hoja makini.. soma hapa kwenye hi comment yangu...
Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

Halafu soma hii comment yangu ambayo niliandika may 31 2025 kabla hata Israel haijaishambulia Iran, nikasema Israel haina bomber au ndege ya kubeba kombora la kuharibu vinu vya nuclear vya Iran, sana sana ndege kama B-2 ndio itatumika na watatumia kombora aina ya GBU-57 wakalibeba na B-2.. na ndicho kimetokea kwenye hio vita ya 12 day war.. ni kama jeshi la US walisoma coment yangu.. soma hapa hi comment..... >>> Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

Sasa kama unajiita mchambuzi tukae hapa mimi na wewe tufanye uchambuzi.... matusi hapana... maana huchelewi kuit wenzako wavaa madera na wafuga midevu ukizidiwa hoja...
Huyo hana ubavu wa kujibu hoja zilizo mkini
 
Zelensky juu ya tangazo la mkutano wa Trump-Putin
Samahani, jaribu kutumia akili hata ya kuvukia barabara na usipende kubishana hata kama ukweli upo wazi.Sifahamu kama unalipwa hata kwa kuandika pumba.

Ukweli ni huu: Huko kwenye battle field Ukraine ana hali mbaya sana na ndiye anayeomba vita visimame na siyo Urusi. Nafikiri Trump siyo mjinga wa kumuita Putin kwanza coz yeye ndiye mwenye kete kubwa hapo mezani kwa sasa.

​

Russian troops advance in Ukraine ahead of Trump-Putin peace summit​

August 12, 2025

​

Russian breach sparks alarm on Ukraine’s eastern front​

​

​

Russian troops make sudden gains in 'gift to Putin' before Trump summit​

​

Tuesday 12 August 2025 ​

​

​

Ukraine's military says it engaged in 'difficult combat' around Pokrovsk​

Tuesday 12 August 2025

​

Ukraine may abandon Pokrovsk if Russian forces close 15km gap​

Swali: Kwa kuufuatilia huu mgogoro unahisi ni kwa nini nchi za kimagharibi zinataka vita visimame kwa sasa na siyo Urusi??

Unaikumbuka counter offensive ya Ukraine ya mwaka 2022, Urusi aliomba vita visimame coz alizidiwa, Ukraine plus Magharibi walikataa coz waliona ushindi upo.

​

Ukraine counter-offensive: Russian forces retreat as Ukraine takes key towns​

Hoja ya kufa: Vita yoyote, wanajeshi lazima wafe plus kuharibika kwa vifaa.Iwe taifa dogo ama kubwa madhara ni lazima.Hakuna maajabu wala muujiza.

Nb: Nimejaribu kukuelimisha plus kulekezana na siyo kubishana. Ila hii ID ni kama ya kp kipanya44
 
Naomba tufanye uchambuzi makini na deep mimi na wewe hapa kweye huu uzi, kuhusu vita ya Russia vs Ukraine, Israel vs Iran, 2021 mimi nipo hapa naizungumzia hio F35 kwa hoja makini.. soma hapa kwenye hi comment yangu...
Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

Halafu soma hii comment yangu ambayo niliandika may 31 2025 kabla hata Israel haijaishambulia Iran, nikasema Israel haina bomber au ndege ya kubeba kombora la kuharibu vinu vya nuclear vya Iran, sana sana ndege kama B-2 ndio itatumika na watatumia kombora aina ya GBU-57 wakalibeba na B-2.. na ndicho kimetokea kwenye hio vita ya 12 day war.. ni kama jeshi la US walisoma coment yangu.. soma hapa hi comment..... >>> Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

Sasa kama unajiita mchambuzi tukae hapa mimi na wewe tufanye uchambuzi.... matusi hapana... maana huchelewi kuit wenzako wavaa madera na wafuga midevu ukizidiwa hoja...
Utapoteza muda wako bure kujibizana na huyo
 
Ndio Russia wameziboresha kwa sehemu fulani au niseme ku customize ili kusudi iweze kuendana na hali halisi ya vita anavyopigana na uwezo wa kukabiliana na adui anae deal nae...

Kwa kweli hizi drone zimeleta mapinduzi makubwa sana... Iran kumpa Russia knowlede na engineers kuwasaidia kutengeneza hio drone walifanya jambo la maana sana... Russia wangeanza from scratch ilikuwa si rahisi... ingechukua muda mrefu...

Ndio maana naona hata Russia ameamua kuwapa na yeye s-400... maana hakuna nchi yeyote Middle East imeshapokea s400 ya mrusi zaidi ya Russia kuitumia katika ulinzi wa base zake ME..
Warusi wanazipenda izi kwa sababu ni gharama ndogo sana kuzitengeneza na pia utengenezaji wake hauchukui muda ila kwa sasa drone hatari sana ambazo wanatengeneza Warusi ni Lancet na Fiber optical drone.izi kwa sasa ni balaa jingine
 
"Wananchi wa Ukraine hawatatoa ardhi yao" - Zelensky juu ya tangazo la mkutano wa Trump-Putin

"Jibu la swali la eneo la Ukraine tayari liko katika Katiba ya Ukraine. Hakuna mtu atakaye na anaweza kukengeuka kutoka kwa hili. Waukraine hawatatoa ardhi yao kwa mkaaji," rais alisisitiza.

Zelensky alisisitiza kuwa Ukraine iko tayari kwa maamuzi ya kweli yanayoweza kuleta amani.

"Maamuzi yoyote yanayofanywa dhidi yetu, maamuzi yoyote yanayofanywa bila Ukraine ni, wakati huo huo, maamuzi dhidi ya amani. Hayatafanikiwa chochote. Haya ni maamuzi yaliyokufa. Hayatafanya kazi kamwe. Tunachohitaji sote ni amani ya kweli, hai ambayo watu wataheshimu," aliongeza.
Akili ndogo iyo unaendelea kuuwa watu wako na ardhi inaendelea kuchukuliwa, sasa ungekubali kutoa si ungekuwa umezaidia kubakisha nguvu kazi yako.Trump alimwambia ukweli uwezi shinda hii vita kwa sababu unayeoigana nae sio mtu wa kawaida
 
Si kila eneo wanalotaka wanachukua kumbuka sasa hivi ni mwaka wa 4 Russia anahangaika na vita vya Ukraine askari wake wanapukutika kama Kumbikumbi tu. Wameshindwa kuvimaliza vita hivyo!!
Maeneo ya mashariki ya Ukraine ndo maeneno yenye utajili mkubwa ndo maana Urusi kayachukua maana migodi yote ipo kule, yanashikilia asilimia kubwa ya uchumi wa Ukraine, ikiwa Urusi basi uchumi wa Ukraine utakuwa umepigwa na kitu kizito sana.
 
Kwanza
Ningesifu uwezo wake endapo Israel ingezitumia kupiga ADs za Iran kwenye 12 day war, kwa sababu ni stealth na zimetengenezwa kwa ajili ya electronics warfare hivyo kuweza kushambulia air defenses za Iran, lakini badala yake waliingiza agents hasa Afghans na kuwapa mafunzo ya ku operate drones, hivyo wakawa wanafanya sabotage kwenye ADs za Iran kabla ndege hazijaaanza kufanya mashambulizi...

Tunachkiona hapo ni biashara...
Hio ndege ikiruka ikirudi inafikia kwenye maintenance, hivyo zinakaa sana ardhini kwa ajili ya maintenance kuliko angani, spare zake ni gharama sana, training ni gharama... ni ndege ya ajabu sana...

Helmet pekee ya rubani ya hio ndege ni $400,000 sawa na bilioni 1 kwa Tshs..
images

Kiukweli sijaona uwezo wake kwenye vita kubwa yeyote hadi sasa...
sanasana wanzificha ficha sana, ujanja ujanja mwingi kuhakikisha hawaharibu biashara yao...
Unatakiwa kujiuliza B-2 Spirit (stealth bomber) wanasema haiyonekani kwenye Rada ila ikienda kwenye misheni inalindwa na F-22 raptor na jamming aircraft.

Sasa jiulize mwenyewe ina maana gani iyo ya ndege kuwa Stealth?.
Marekani kwenye movie ni hatari ila kwenye uhalisia kiukweli ana mapumbufu mengi sana katika utengenezaji wa silaha zake
 
Back
Top Bottom