Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna watu wengi sana walikuwa wanadai kipindi cha kubadirishana miili ya askari wa Russia na ya askari wa Ukraine ilikuwa inaonekana idadi ya miili iliyorejeshwa ya askari wa Russia ni ndogo sana na ya Ukraine inaonekana ni kubwa sababu kubwa ya ni hii hapa chini.

Askari wengi sana wa Russia wanakufa sana kwa kuuliwa na drones ambazo husababisha miili yao kuchomeka kiasi cha kushindwa hata kutambulikana hivyo mizoga yao hata haizolewi inaachwa tu maana hakuna namna ya kuibeba maana hata haijai kwenye mfuko wa Rambo!!!

SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!
Mbona walikuwa hawashtuki mpaka drone inawaua
 
Bodyguards wa Putin sio poa, ni umeme mkali...
Hio speed na hizo shabaha anapiga si kawaida....

View attachment 3441673

Huyo jamaa kwenye video ndiye huyo amevaa tai rangi ya maroon...
putin-bodyguards.jpg
💯 % 💪🏽 💪🏽 🔥 👏🏽 👏🏽 weka mbali na watoto
 
Huyu ni jasusi wa kremlin
View attachment 3444933
Waingereza na wapoland wakiona hii wanatamani kunywa sumu 🤣🤣🤣

Wajerumani wao walitamani hii shughuli iishe mapema sababu walishaonja joto la jiwe kutoka Urusi hadi nchi yao ikagawanywa nusu kwa nusu ikatawaliwa na Urusi kwa miaka mingi hadi NATO ikaenda Moscow kuwaomba warusi wawape ujerumani uhuru wao.... Tangu opareshen haijaanza nilisema humu kwamba, taifa lolote likiingia vitani na Urusi ni sawa na kudumbukia kwenye karai la kukaangia chipsi
 
Wazee wa urusi,

Mnaijua Hali ya uchumi warus wanapitia??
 
Maskiniii hatimae Zelenski na wakeze wa Ulaya wapo Washington
Dah ajabu ni kwamba licha ya wao kuwa na nguvu sana kijeshi na kiuchumi ila wanashangaa Kuona heshima na ushawishi wao kwa Marekani ni mdogo mithili ya sisimizi. Wazee na wabibi wako Washington lakini Wala hakuna anayeshtuka!
Trump kashasema ni ndogo Crimea kuwa Ukraine tena. Isitoshe NAMI naongeza hapa kote walipokufa warusi kupigania ardhi Ile hawatakubali kutoka bila damu nyingi kutoka
 
In the Oval Office, before Trump and Zelensky began their closed-door talks, a large map of Ukraine was placed.

The map was positioned directly across the table where Trump and Zelensky sat, after journalists were asked to leave the room. The eastern regions of Ukraine were marked in pink, indicating areas under Russian control.

A BBC journalist noted that the map could serve as a visual tool for Trump to pressure Zelensky to consider a territorial exchange in favor of peace.
 
Back
Top Bottom