D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Warusi wanakufa kwa drones ndio maana miili haipatikani.
Haya sawa
Kwa mujibu wa mtaalamu wa vita kutoka Jf
=≈======
Mabadilishano ya miili yamefanyika tena.
Warusi wamepokea miili 19 na ukraine wamepokea miili 1000.
1000÷ 19 = jawabu utajua wewe.
Sisi si wajinga kiasi hicho