Miaka 4 sasa mbona hajakubali upuuzi huo??Asipokubali kwa maneno, atakubali kwa Hypersonic missile
Sawa tutaendelea tulipoishiaUkraine haiwezi kukubali upuuzi huo!!
Wewe unapiga kelele wenzako wanachukua maeneo.mji wa Konstantinovka unaenda na maji.Warusi wapo katikati ya mjiMajeshi ya Russia yaendelea kusambaratishwa na kurudishwa nyuma huko Donesky!!!
Na askari wengine kutekwa nyara!!!
Mkuu usibishane na mentoWewe unapiga kelele wenzako wanachukua maeneo.mji wa Konstantinovka unaenda na maji.Warusi wapo katikati ya mji
Wehu wakishauriana!!!!Mkuu usibishane na mento
Ardhi imechukuliwa kwa hiyo miaka 4Miaka 4 sasa mbona hajakubali upuuzi huo??
Ni kweli ardhi wamechukua tatizo ardhi hiyo imegeuka imekuwa Kabuli kwao kila siku wanakufa kama kumbikumbi!!Ardhi imechukuliwa kwa hiyo miaka 4
Wanakufa wachache kuliko Ukraine 🇺🇦 na huku wakisonga mbeleNi kweli ardhi wamechukua tatizo ardhi hiyo imegeuka imekuwa Kabuli kwao kila siku wanakufa kama kumbikumbi!!
Hatimae umeanza kukubaliana na ukweli, amebaki ndugu yako kp kipanya44 😂Ni kweli ardhi wamechukua tatizo ardhi hiyo imegeuka imekuwa Kabuli kwao kila siku wanakufa kama kumbikumbi!!
Unajitekenya mwenyewe harafu unachekelea mwenyewe!!!Hatimae umeanza kukubaliana na ukweli, amebaki ndugu yako kp kipanya44 😂
Hivi ndivyo askari wa Russia wanavyopukutika kama nzige huko Ukraine wewe endelea tu kushupaza fuvu lakini Ukraine ilishageuka kuwa kabuli kwa askari hao!!!Hatimae umeanza kukubaliana na ukweli, amebaki ndugu yako kp kipanya44 😂
Hakuna mapatano yatayoweza kufikisha vita mwishoni zaidi ya mapigano tu.Putin kashasema majimbo 5 yanatakiwa kuja kwenye shirikisho la Urusi, sasa hayo majimbo ukiyatoa maana yake umetoa asilimia 40 la pato la taifa la Ukraine.
Mwenzio kipanya nae alikuaga na msemo wake "wamelambishwa mchanga" 😂Hivi ndivyo askari wa Russia wanavyopukutika kama nzige huko Ukraine wewe endelea tu kushupaza fuvu lakini Ukraine ilishageuka kuwa kabuli kwa askari hao!!!