Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, kitu ambacho wengi wenu usahau huwa hamsemi jeshi la Merilikani lilipigana huko VietNam na Afghanistani kwa miaka mingapi na je, walihai hata siku moja kushinda vita kwenye maeneo hayo, jibu ni hapana - VietNam kwa mfano: Merikani walipigana kwa miaka ishirini wakashondwa vibaya, je, wewe hilo ulijui?? Sasa tuje huko Afghanistani, Merikani ilipigana na Watelibani kwa miaka kumi, mwisho wa siku wakavurumishwa vibaya sana na Watelabani akina Mulla Omari, wanajeshi wa Merikani na makamanda wao walikimbia miguu peku peku kwenda kupanda Helicopter na kusepa kama nguchiro tuliona yote hayo kwenye luninga.

Leo hii ndio baadhi ya watu humu wana anza kubeza beza jeshi la Urusi eti "mbona inawachukua muda mrefu kuiteka Ukraine" nani kawambia kwamba Urusi ilikuwa na lengo la kuiteka Ukraine nzima,kitu kingine huu ni mwaka wa tatu tangu vita ianze na wamekwisha teka takribani asili mia ishiri la eneo la kusini mashariki ya Ukraine na huo ndio ulikuwa mpango maalumu wa special operation ya jeshi la Urusi ie kukomboa maeneo ya kusini mashariki mwa Ukraine yanayo kaliwa na raia wengi wenye asili ya Urusi walio pitisha referendum ya kujiunga tena na Urusi sio kwamba walilazimishwa na mtu yeyote, walihamua tu wenyewe baada ya kuona wana nyanyasika na kuuwawa ovyo na jeshi ovu la Zelensky linalojulikana kama AZOV, jeshi hilo ni katiri sana lenye fikra za KINAZI.
Baada ya Putin kuanzisha uvamizi wake huko Ukraine Feb 24,2022 alisema dhana ya demilitarization and denazification of Ukraine sasa kwa akili yako ya kuambiwa hapo alikuwa na maana gani ? Najua akili zako wewe kuna mtu anazishikilia sasa kamuulize hapo Putin alikuwa na maana gani?

Toka Feb 24,2022 Putin alikuwa na maana ya kuiteka ukraine yote lakini baada ya kushindwa akaanza kujibaraguza kwa maneno ya kujihami lakini lengo lake lilikuwa kuiteka Ukraine na kuipindua Serikali ya Zelenskyy kitu ambacho alishindwa mchana kweupe na sasa ni mwaka wa 4 Putin anahangaika tu na Ukraine pamoja na kusifiwa na wajinga!!!
 
Nimekwisha kwambia kwa mara nyingi tu, kwamba kama huna hoja mbadala ujifuze kukaa kimya na siyo unakimbilia kutukana tukana watu, behaving like a spoilt brat!!
 
Nimekwisha kwambia kwa mara nyingi tu, kwamba kama huna hoja mbadala ujifuze kukaa kimya na siyo unakimbilia kutukana tukana watu, behaving like a spoilt brat!!
Umeshindwa kujibu nilivyokuuliza unakuja na Malala iko ya kijinga!!! Waulize wanayo kudanganya hapo Putin alikuwa na maana gani najua wewe tu huwezi kuelewa maana akili zako ninza kushikishwa!!

nimekuuliza nini maana ya demilitarization and denazification of Ukraine?
 
Baada ya Putin kuanzisha uvamizi wake huko Ukraine Feb 24,2022 alisema dhana ya demilitarization and denazification of Ukraine sasa kwa akili yako ya kuambiwa hapo alikuwa na maana gani ? Najua akili zako wewe kuna mtu anazishikilia sasa kamuulize hapo Putin alikuwa na maana gani?

Toka Feb 24,2022 Putin alikuwa na maana ya kuiteka ukraine yote lakini baada ya kushindwa akaanza kujibaraguza kwa maneno ya kujihami lakini lengo lake lilikuwa kuiteka Ukraine na kuipindua
Serikali ya Zelenskyy kitu ambacho alishindwa mchana kweupe na sasa ni mwaka wa 4 Putin anahangaika tu na Ukraine pamoja na kusifiwa na wajinga!!!
Mjinga ni wewe ambaye your skewed mind inashindwa hata ku-analyse masuala ambayo ni so obvious
Umeshindwa kujibu nilivyokuuliza unakuja na Malala iko ya kijinga!!! Waulize wanayo kudanganya hapo Putin alikuwa na maana gani najua wewe tu huwezi kuelewa maana akili zako ninza kushikishwa!!

nimekuuliza nini maana ya demilitarization and denazification of Ukraine?
Hivi wewe elimu yako ni ya kiwango gani labda tuanzie hapo,hivi jeshi la Urusi unafikiri linafanya vitu gani huko Ukraine zaidi ya malengo yaliyo tajwa na Putin??

Ni hivi: baadhi yetu hatu swallow a hook line and sinker za omnipresent main stream media za west - tunazisoma alright likini tunakaa chini na kuzitafakari kiundani kwamba habari zenyewe zina lengo gani katika masuala mazima ya Geopolitics hawana jipya zaidi ya kumsema kwamba Putin is a Monster!! A monster that has never eaten anyone dead or alive.

Nikwambie kitu? Putin atatekeleza malengo yake yote aliyo jipangia kuyatekeleza huko Ukraine Western inept propaganda notwithstanding, like it or not its Up2 U.
 
Kuna mashambulizi ya Drone yalifanyika dhidi ya Urusi jumamosi kuamkia jumapili.
Kinu kimeharibika sehemu ndogo kiasi.
ila inavyoonyesha mashambulizi hayo yalifanyika kupitia Estonia na sio Ukraine.
Estonia amekuwa na kiherehere sana dhidi ya Urusi
Basi litampata jambo we muache aneng'eneke.
 
Mkuu, kitu ambacho wengi wenu usahau huwa hamsemi jeshi la Merilikani lilipigana huko VietNam na Afghanistani kwa miaka mingapi na, je, walihai hata siku moja kushinda vita kwenye maeneo tajwao, jibu ni hapana - VietNam kwa mfano: Merikani walipigana kwa miaka ishirini wakashondwa vibaya, je, wewe hilo ulijui?? Sasa tuje huko Afghanistani, Merikani ilipigana na Watelibani kwa miaka kumi, mwisho wa siku wakavurumishwa vibaya sana na Watelabani akina Mulla Omari, wanajeshi wa Merikani na makamanda wao walikimbia miguu peku peku kwenda kupanda Helicopter na kusepa kama Nguchiro, tuliona yote hayo kwenye luninga, hapo hakuna ubishi.

Leo hii ndio baadhi ya watu humu wana anza kubeza beza jeshi la Urusi eti "mbona inawachukua muda mrefu kuiteka Ukraine" nani kawambia kwamba Urusi ilikuwa na lengo la kuiteka Ukraine nzima,kitu kingine huu ni mwaka wa tatu tangu vita ianze na mpaka hivi sasa jeshi la Urusi limekwisha teka takribani asili mia ishiri la eneo la kusini mashariki ya Ukraine na huo ndio ulikuwa mpango maalumu wa special operation ya jeshi la Urusi ie kukomboa maeneo ya Kusini Mashariki mwa Ukraine yanayo kaliwa na raia wengi wenye asili ya Urusi walio pitisha referendum ya kujiunga tena na Urusi sio kwamba walilazimishwa na mtu yeyote, walihamua tu wenyewe baada ya kuona wana nyanyasika na kuuwawa ovyo na jeshi ovu la Zelensky linalojulikana kama AZOV, jeshi hilo ni katiri sana lenye fikra za KINAZI, sasa kwa fikra zako ulitaka Putin akae kimya bila ya kuwapa msaada/kukomboa Warusi wenzake wanao nyanyasika na kuuwawa ovyo huko Ukraine kwa maagizo ya Zelensky mwenyewe.
Afghanistan USA alitumia miaka 20.
 
Kuna mashambulizi ya Drone yalifanyika dhidi ya Urusi jumamosi kuamkia jumapili.
Kinu kimeharibika sehemu ndogo kiasi.
ila inavyoonyesha mashambulizi hayo yalifanyika kupitia Estonia na sio Ukraine.
Estonia amekuwa na kiherehere sana dhidi ya Urusi
Nilisoma sehemu kwamba NATO inaishinikiza na kuitishia Georgia kwamba ikubali kufungua a second war front ya kuishambulia URUSI kupitia taifa hilo la sivyo watakiona - we fikiria, hii inadhilisha NATO save USA under Trump Administration are very determined kupigana vita na Urusi na wala hawajali litakalo tokea, hata vita ikigehuka nuclear war wanaona hawana cha kupoteza - akili zao fyatu ndio zonavyo watuma!!
 
Nilisoma sehemu kwamba NATO inaishinikiza na kuitishia Georgia kwamba ikubali kufungua a second war front ya kuishambulia URUSI kupitia taifa hilo la sivyo watakiona - we fikiria, hii inadilisha NATO save USA under Trump Administration are very determined kupigana vita na Urusi na wala hawajali litakalo tokea, hata vita ikigehuka nuclear war wanaona hawana cha kupoteza - akili zao fyatu ndio zonawatuma hivyo!!
Huzuni yangu ni kile kitakachoitokea Ukraine pindi kinu hicho kikipigwa na kikaleak na kupelekea vifo vya maelfu ya warusi
 
Huzuni yangu ni kile kitakachoitokea Ukraine pindi kinu hicho kikipigwa na kikaleak na kupelekea vifo vya maelfu ya warusi
Mkuu hiyo nuclear reactor iki-leak haita athili Ukraike au Urusi peke yake hata mataifa ya Ulaya yatahadhilika labda Afrika ambayo huko mbali kidogo kutoka bara la Ulaya, kama Zelensky anafikiri akishambulia vinu vya nuclear basi leakages zitawauwa raia wa Urusi tu, hilo anajidanganya anataka kuleta balaa Duniani mambo mambo yake yakuwa erratic karibu muda wote, sikumoja akawa hata na ujasiri wa kufokeana na Trump White House, naona hizo ni dalili tosha za kuonyesha athali za Zelensky ya kutumia madawa ya kulevya zimemuathili sana kiakili, na sijui kwa nini wenzake awafanyi mpango wa kumuondoa haraka madarakani kabla ya mahamuzi yake hayaja isababishia Dunia zahama za WW3.
 
Wajinga wenzako ndiyo watakuunga mkono!! Hoja yangu ni kuwa kama Russia Supapawa wa ukweli kwa nini sasa ni mwaka wa 4 anahangaika na Ukraine tu?

Huwezi kulinganisha na Marekani huko Afghanistan ambako alikaa kama mtawala na aliweza kuwaweka marais Hamid Karzai na Ashraf Ghani na hata alipoondoka huko aliondoka na wananchi wengi wa huko na aliwaachia silaha za aina mbalimbali zikiwemo helicopter.

Kwa lugha rahisi Marekani alikuwa Afghanistan kama mtawala ndiyo maana hata alipoondoka aliondoka kama Mfalme!!!
 
Nilisoma sehemu kwamba NATO inaishinikiza na kuitishia Georgia kwamba ikubali kufungua a second war front ya kuishambulia URUSI kupitia taifa hilo la sivyo watakiona - we fikiria, hii inadhilisha NATO save USA under Trump Administration are very determined kupigana vita na Urusi na wala hawajali litakalo tokea, hata vita ikigehuka nuclear war wanaona hawana cha kupoteza - akili zao fyatu ndio zonavyo watuma!!
Hawawezi hata kudhubutu.
Sio hao tu walijaribu kuwatumia Lithunia na Azeri
 
Hawawezi hata kudhubutu.
Sio hao tu walijaribu kuwatumia Lithunia na Azeri
Mkuu, hawakati tamaa jamaa hawa wanaweza hata kuwashinikiza Poland au Romania ili kurusiwa wafungue second war front ya kuishambulia Urusi!!

Nimesoma sehemu inasema hali ya uchumi huko Uingereza ni tete sana Serikali ina mpango wa kwenda kupatia mkopo kutoka IMF na Ujerumani hivyo hivyo, kumbuka Ujerumani ndilo taifa lililo kuwa Linaongoza barani Ulaya kuwa na uchumi imara lakini hivi sasa mambo yanawaendea vibaya mno kiuchumi, cha ajabu mataifa hayo mawili ndio vinara wanao shabikia patokee vita baina ya EU nations na Urusi!!

Hawajali hasara na madhala mengine ya kiuchumi yanayo weza kusabishwa na vita hii ya kipumbavu.
 
Back
Top Bottom