We kweli bwege ujielewi sasa iyo ndo nini.iyo august 11 Talibani walikuwa washachukua mikoa mingi na walikuwa wanakaribia mji mkuu maana iyo taa nyekundu ilikuwa inawaka mbwa wewe.unategemea wakwambie kuwa wanawakimbia Taliban?
Jiongee wewe acha ukichaa
Kwa maneno yako tu yametosha kuniambia wewe ni Mfuga Midevu na Majini ndiyo maana domo lako limejaa Matusi tu.
Kwa miaka 20Taleban walikuwepo Afghanistan kwa nini hawakuonyesha impact yoyote mpaka Marekani ikasimamia chaguzi za marais wawili huko?
Je walisubiri Marekani iamue kujiondoa huko kisha wao waanze kufurukuta kujionyesha wako huko?
Kwa Marekani kujiondoa huko walikuwa na Option moja tu kutumia ndege kwa nini hawakuweza kuzizuia ndege hizo zisiwahamishe askari wa Marekani ambao walikuwa wanahama na Maelfu ya wananchi wao?
Je ujinga kama huu ndiyo wanautumia Wafuga Midevu na Majini kudai kila mara wanaposhindwa wao hudai wameshinda maana tumeona lugha hii inatumiwa:
1. Vita ya Kwanza ya Israel huko Lebanon ilikuwa
Operesheni Litani mwaka 1978. Ilianzishwa na Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) kufuatia shambulio la kigaidi lililofanywa na Wanamgambo wa Palestina kutoka Lebanon, ambapo waliuawa raia wa Israel 35. Lengo la operesheni hiyo lilikuwa kuondoa Wanamgambo wa PLO (Palestine Liberation Organization) kutoka eneo la kusini mwa Lebanon, ambapo walikuwa wakifanya mashambulizi ya mpakani dhidi ya Israel Mara kwa Mara.
Israel ilivamia hadi mto Litani, ikachukua udhibiti wa maeneo ya kusini mwa Lebanon, na kuunda eneo la ukanda wa usalama ( Security Żonę )Vita hivyo vilidumu kwa wiki moja hadi Israel ilipokubali kusitisha mapigano baada ya shinikizo la kimataifa, na Umoja wa Mataifa uliweka Kikosi cha Muda cha Umoja wa Mataifa huko Lebanon (UNIFIL) ili kusaidia kudumisha amani.
Baada ya makubaliano hayo kufikiwa kulikuwa na Sherehe huko Lebanon na maeneo mengine waliko Wafuga Midevu na Majini. Wenye akili zetu tulianza kushangaa hiyo sherehe wanasherehekea ushindi gani? Magaidi hao wameshinda vita gani? Maana ardhi yao tayari ilikuwa imekaliwa na majeshi ya Israel lakini kwa sababu ya Mkataba wa Amani Israel iliamua kuyaachia maeneo yao cha ajabu wao huo wakaita ni Ushindi!!!!!
2. Vita vya Pili vya Israel na Lebanon, ambavyo pia vinajulikana kama Vita vya Lebanon vya 2006, vilifanyika kuanzia
Julai 12, 2006, hadi Agosti 14, 2006. Vita hivi vilianza baada ya Hezbollah kuvamia askari wa Israel katika mpaka, na kusababisha makabiliano makali kati ya jeshi la Israel (IDF) na Hezbollah. Mzozo huo uliisha rasmi kwa kusitishwa kwa mapigano kwa mujibu wa Azimio la Umoja wa Mataifa Namba 1701 mnamo Agosti 14, 2006.
Cha ajabu tena wajinga hao walifanya sherehe ya ushindi huko Lebanon na hii inaonyesha wazi ni jinsi gani Wafuga Midevu na Majini walivyo mapunguani na ndiyo maana hata huko Afghanistan wafuga Midevu na Majini kwao wanaita ushindi hata kama siyo!!!?