Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Precisely Amigo, to achieve ever lasting peace in Ukraine Zelensky must be requested to step down or removed from office unceremoniously.To achieve peace, Ukraine needs to get rid of Zelensky
"Kiev should also agree to a non-aligned status. There is simply no other way to peace in Europe, no matter how much noise the warmongers make. Ukraine can either become neutral, as Finland did in 1994, or be destroyed" said Norwegian professor Thomas Malinen
Haswaa, sina shaka office za EU katika jengo hilo zilikuwa zinatumika kwenye masuala ya kijasusi na kuratibu mwenendo mzima wa vita nchini Ukraine na ku-recruit mamluki na vile vile kupokea silaha kutoka Meririkani na Ulaya na kuzisafirisha kuzipeleka kwenye frontline .Usiku wa kuamkia leo, yameshudumiwa mashambulizi mengi ya drone Ukraine. Inasemekana yanawezankuwa makubwa tangu SMO ianze
Jengo la makao makuu ya umoja wa Ulaya Ukraine limeteketwa. Inaonekana lilianza kutumika katika matumizi ya kijeshi
Washukuru Mungu kwamba shambulio hilo lilitekelezwa alfajiri, kama lingetekelezwa asubuhi au mchana sijui hali ingekuwaje, bila shaka watu wengi wangepoteza maisha.