Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati askari wa Russia wanashambulia raia huko Ukraine Drones za Ukraine zinawaua askari wa Russia huko kwenye uwanja wa mapambano!!!
 
🇷🇺🇺🇦 The Peace agreement should include demilitarization, denazification, Ukraine's neutral, non-aligned, and non-nuclear status, recognition of territorial realities, ensuring the rights of the Russian language and population, and ending the persecution of canonical Orthodoxy

— Maria Zakharova

💯 Ukraine will either abide by our demands or get crushed on the battlefield. That choice belongs to Zelensky and his regime.
 
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu!!!!
 
NATO wamenyoosha mikono juu hadi wamempa putin jina la Wizard of the Kremlin, ila kuna vipumbavu vipo humu vinapingana na mabwana zao 😊
Hollywood movies ndugu yangu,hata mimi enzi hizo huniambii kitu kuhusu Movie za USA .

MOVIE - ACTOR
Missing in action- Chuck Norris
American Ninja- Michael Dudikoff
First blood- Sylvester Stallone
Rambo II III- Sylvester Stallone
Terminator- Anold Schwarzen
Blood Sport- Jean Claude van D
 
Asante sana kwa ufafanuzi makini
Ni kweli Mkuu Kuna watu humu wao wanaleta ushabiki lkn sisi wengine tunawapa facts.
Sio Mimi TU ninayoiona Urusi kuwa ni watu wa vita,Bali hata Joe Biden na Trump Kwa nyakati tofauti Kila mmoja akiwa madarakani alisema hivyo.

Biden alisema mwanzoni mwa smo kua USA hawataingiza jeshi kama walivyozoea kwa sababu safari hii Wana dili na nchi yenye jeshi kubwa hapa duniani,akasema Urusi sio kundi la kigaidi kuweza kupeleka jeshi lao kukabiliana nayo kama walivyozoea.

Trump nae hapa juzi alisema Ukraine na Ulaya hawawezi peke Yao kupigana na Urusi,kwani Urusi ni taifa la watu wa vita na wamepigana vita nyingi mno.
 
Hiyo ya Nne ina umuhimu gani????

Kama hizo ndio sababu za Russia kuvamia Ukraine ,then I was asking my self

Kama Ukraine akkakubali zote, Je atakubali kurudisha maneno aliyo chukua????

Inshort hawezi kubali. If that soo

Kwa ninavyo ona, apart from hizo demand za Russia kuwa zina msingi, ila Russia ilikuwa na motive ya Siri ya kumega maeneo ya Ukraine hasa Donbas regions plus maeneo around black sea

Hiyo demand ya no NATO member ship, mbona kuna nchi zinapakana na Russia na zimekuwa member WA NATO, like Finland je hii sio threat Kwa Russia??? Mbona hajavamia

Hii vita kuisha ni ngumu.....
Ninaweza kuja kujibu maswali Yako yote haya kama nikipata nafasi.
 
Ni sawa mkuu Urusi sio sawa na Iran ila hata Iran ingekua nafasi ya Urusi ingefanya.
Ni mara ngapi kambi za USA pale middle east zinalipuliwa kiukamilifu na Iran!?
Ni kweli Mkuu usemavyo.
Iran moja ya vichwa ngumu wa Dunia wasiopenda kuyumbishwa,hawaogopi na Wana uthubutu.
 
⚡Ukraine’s anti-corruption bureau (NABU) has launched an investigation into Fire Point, the maker of Flamingo missiles and Fire Point attack drones.

Detectives are examining whether the company inflated component costs or the number of drones supplied to the Defense Ministry.

They are also probing possible ties to Timur Mindich, co-founder of Zelensky’s former Kvartal 95 studio.
I trust crafty Zelensky will be caught with his pants down this time around, hana ujanja.
 
Chancellor wa ujerumani, analalamika kuwa Russia wanashambulia sana miundombinu yao.
Swali ni je, lini Urusi alishambulia German?
Au ni ile misaada ya kijeshi?
Hapana mkuu jamaa huyo ni mzushi tu na mpenda vita.

Kitu cha kwanza kumbuka kwamba wakati wa utawala wa KINAZI wa Aldolf Hitler jeshi la Urusi (Red Army) ndilo walifanikiwa kuvunja uti wa mgongo wa Jeshi la Hitler, kwa bahati mbaya huko Ujerumani bado kuna baadhi ya uzao wa Kijerumani ambao bado wana chuki binafsi dhidi ya Taifa la Urusi na kutaka kulipiza kisasi baada ya jeshi la Hitler kushindwa na Urusi wakati wa WW2, baadhi ya Wajerumani ambao bado wanaichukia Urusi walikuwa bado hata hawajazaliwa wakati wa WW2 lakini walipandikizwa chuki binafsi dhifi ya Urusi kizazi na kizazi na baadhi yao kwa mfano: mtu kama huyu Chancellor wa hivi sasa huko Ujerumani mwingine ni Ursula Von der Leyen ambaye babu yake alikuwa ni afisa wa ngazi za juu kwenye jeshi la Hitler, ebu jaribu kuwafuatelieni wanapo zungumzia Taifa la Urusi utashangaa sana, wakati mwingine Trump uwajibu kwa ujeuri na kebei au kuwapuuzia moja kwa moja, wakati mwingine Trump ulazimika uwafukuza mkutanoni kwa kuwa anawajua undani wao.
 
Nadhani miundombinu anayolalamikia ni zile military installation Aid, hasa Air defense, special forces, Socs (secrete Command Centers) ambazo hapa karibuni zimekuwa zikitumika kufanya covert operation/Sabatoge ndani ya Urusi, hasa kwenye production facilities.
 
⚡Putin:

Russia and China support reform of the UN so that it fully restores its authority and reflects modern realities.

In particular, we advocate making the Security Council more democratic by including states from Asia, Africa, and Latin America. Any such reforms must, however, be approached with the utmost care.

Alongside our Chinese partners, we support reform of the International Monetary Fund and the World Bank.

We are united in the view that a new financial system must be based on openness and true equity, providing equal and non-discriminatory access to its tools for all countries and reflecting the real standing of member states in the global economy.

It is essential to end the use of finance as an instrument of neocolonialism, which runs counter to the interests of the Global Majority.
 
⚡India and China will resume direct flights after more than five years as two of the world’s biggest economies seek to rebuild political ties amid rising trade uncertainties.
 
⚡Footage showing a Russian Geran-2 drone strike on a Ukrainian position in the village of Torske, southwest of Druzhkivka, Donetsk Oblast.

When you don't hear about large drone strikes on major Ukrainian cities for a night or two in a row, this is where they fly - the frontline. Dozens of these strikes are often carried out daily, and there is no air defence in most of Ukrainian-controlled Donetsk Oblast to counter them

View: https://x.com/AMK_Mapping_/status/1962114081915322509.
 
Umoja wa Ulaya ulikusudia kuwawekea vikwazo Israel, German ikapiga kura kuzuia
 
⚡Putin:

Russia and China support reform of the UN so that it fully restores its authority and reflects modern realities.

In particular, we advocate making the Security Council more democratic by including states from Asia, Africa, and Latin America. Any such reforms must, however, be approached with the utmost care.

Alongside our Chinese partners, we support reform of the International Monetary Fund and the World Bank.

We are united in the view that a new financial system must be based on openness and true equity, providing equal and non-discriminatory access to its tools for all countries and reflecting the real standing of member states in the global economy.

It is essential to end the use of finance as an instrument of neocolonialism, which runs counter to the interests of the Global Majority.
Wako sahihi kabisa, UN imetekwa nyara na USA na baadhi ya mataifa ya Ulaya, - hata ile misingi ya kuanzishwa kwake mapema baada ya kumalizika WW2 hakupo kabisa, na Merikani ndiyo kinara wa kuvunja/kukwepa kutumia sheria za UN wanajihamulia tu kufanya wapendalo bila wasi wasi!! Binafsi huwa naona/pendekeza makao makuu ya UN yaondolewa New York Merikani na kuhamishiwa Geneva Uswiss.
 
Mambo ya teknolojia

Russia blamed after EU leader's plane GPS jammed​

Monday 1 September 2025

​

Von der Leyen's plane affected by GPS jamming over weekend, commission confirms​

European Commission spokesperson Arianna Podestà has now confirmed that von der Leyen’s plane was affected by “GPS jamming,” with the Bulgarian authorities suspecting this was “due to blatant interference from Russia.”

Back
Top Bottom