goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,763
Zamani nilikuwa najua wazungu wote wana akili sana.Jana wahuni 28 wamekaa mezani wakiwa na comedian Zeleboy wamempigia bwana Trump live lakini hakuna jibu la maana wameambulia. Sanasana wanaonekana Wana uoga tu kupeleka majeshi kipindi hiki. Wamemuomba bwana Trump kwamba wataihakikishia Ukraine usalama ikishaisha vita na sio sasa. Hivi kwanini wasiingie kuwapiga warusi kama walivyofanya Nicaragua, Iraq, Yugoslavia, Libya, na Somalia?
Bla bla bla more regions seized non senseZelensky:
Putin will be forced for peace. We need to take away from the Russian war machine. Their means to produce weapons.
Maskiniii mtoto anaonekana kukosa Cha kuongea kwa sasa. Anabwabwaja tu ili mradi ameongeaZelensky:
Putin will be forced for peace. We need to take away from the Russian war machine. Their means to produce weapons.
Endeleeni tu kujifariji lakini ukweli Putin anapigika sana huko Ukraine na huko kwake lakini wajinga kama nyie mnajifanya hamuoni na kushabikia uongo!!!Maskiniii mtoto anaonekana kukosa Cha kuongea kwa sasa. Anabwabwaja tu ili mradi ameongea
Rahisisha lugha bossNaona sasa Ex-Military chief, current ambassador wa Ukraine nchini UK anatafutiwa jina baya.
Anatajwa kama chief suspect wa Nord stream 2, na German investigators
Hii maana yake amechokwa, au anataka kutolewa mbuzi wa kafara.
Ila Urusi kasema Ukraine anakosa expertise, resource na uwezo, bila ushirikiano na west
Kumbe Poland kashambuliwa.Ni muda sasa wa NATO kutumia ile Acticle 5 baada ya Poland kushambuliwa. Au ile ni kwa ajili ya nchi kama Sudan 🤣🤣🤣