Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Wewe endelea kujifariji kwa kusema vita imeisha wakati Askari wa Russia wanapukutika kama nzige kwa kupigwa na Drones za Ukraine 🇺🇦!!Vita kushinei hii
Wewe endelea kujifariji kwa kusema vita imeisha wakati Askari wa Russia wanapukutika kama nzige kwa kupigwa na Drones za Ukraine 🇺🇦!!Vita kushinei hii
Russia hana ubavu huo!!Urusi inaweza kurejea tena Kiev kutokea Belarus
Tumekusikia mama...Russia hana ubavu huo!!
Tumekusikia Shoga wewe!!Tumekusikia mama...
Ni kweli Frontline hali si nzuri kwa Askari wa Russia maana wanapukutika kama nzige!!! Drones za Ukraine zinawatesa sana maana zinawawinda na kuwaua mmoja baada ya mwingine!!!Hali frontline sio nzuri.
Trump anasema anataka kuwakutanisha Putin ma Zelensky.
Zelensky kasema yuko tayari
Askari Wa Russia wanaendelea kupukutishwa na drones za Ukraine!! Kwenye uwanja wa vita wanawindwa kama digidigi porini!!! “SLAVA UKRAINE 🇺🇦Battles in the northeast
Meanwhile, Russian forces have advanced near Kupyansk in northeast Ukraine, not far from the fortress city of Kharkiv.
Thursday 18 September 2025
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Huu ndio muda wa kusogea karibu na nchi izo kupiga ela ngoma ikichanganya hii kwa nchi kibao unaweza kujikuta unaokota meliRussia kama anafanya game ya ku exhaust Ukraine Army baada ya kuona wana shortage ya man power.
Alikuwa anafanya offensive pokrovsk, ukraine ilibidi atoe askari Zaporizhzhia, awapeleke pokrovsk kurescue.
Baada ya kuhamishwa, Urusi akaanza offensive Zaporizhzhia, ikabidi ukraine atoe askari kharkov, nako Uruisi kaanzisha mashambulizi.
Hii mana yake ni zoezi la kuhamisha askari kutoka point A-kwenda B.
Shida, kuchoka, drone barabarani, na huwezi kupata consistency
Kwamba SMO imefika tamati.... 😢Uzi ufungwe