Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

He added that while Russia had offered “specific ideas” to correct this trajectory, these “warnings and initiatives received no clear response.”

“There should be no doubt about this: Russia is capable of responding to any existing and newly emerging threats. Responding not with words, but through the application of… military-technical measures,”
Putin warned.
 
Russia hawezi kushinda vita hii na Ukraine 🇺🇦!! Russia kashikwa pabaya hawezi kufurukuta hawezi kwenda mbele na hawezi kurudi nyuma kuogopa fedheha kilichobaki askari wake wanapukutika kama Kumbikumbi huko Ukraine kwa kuuwawa na Drones za Ukraine!!!

Kwa wapenzi wa Putin endeleeni tu kujifariji lakini kipigo kiko palepale tu!!! Mamaae. Angalia video uone askari wa Russia wanavyopukutishwa utawahurumia!!!!!
 
Attachments

  • IMG_0930.mp4
    28.4 MB
  • IMG_0920.mp4
    95.2 MB
Askari wa Russia na vifaa vita vyao wanapukutika kama nzige huko Ukraine “Tuwaombee tu”
 
Attachments

  • IMG_0958.mp4
    65.4 MB
Shambulizi sahihi la Jeshi la Wanahewa la Ukraine kwa mara nyingine tena liliangamiza mkusanyiko wa vikosi vya Urusi, wakiwemo maafisa waliokuwa wamekusanyika ndani ya jingo moja huko Krasnodar Russia!!! Ukraine into uwezo wa kufanya mashambulizi ndani kabisa ya Russia bila shida yo yote!!!
 
Attachments

  • IMG_8646.mp4
    8.1 MB

Katekista Echolima1 dili la kuvuna zabibu likija tena nistue tukalime wote
 
Mzingiro mkubwa Zaidi: Warusi 1,300 Waliuawa katika mzingiro huo na zaidi ya 330 Km2 zimekombolewa! Majeshi ya Russia yanapigwa vibaya sana Drones za Ukraine zinawataesa sana tuwaombee tu wafe salama!!!
Katekista Echolima1 dili la kuvuna zabibu likija tena nistue tukalime wote
Ustadhi Munch wa annabelletz47 a.k.a. Mazinge safari hii Warusi wako wameshindwa pabaya wanapigwa sana Sana!!
 
Kremlin umemwacha Aishi ila yeye anauchokoa moto
 
Attachments

  • FB_IMG_1758812678323.jpg
    FB_IMG_1758812678323.jpg
    103 KB · Views: 27
Kwa taarifa hebu tutuwekee
Hali ni mbaya Frontline, Zelensky amesema yuko tayari kwa uchaguzi kama ceafire itakubalika, kuhusu majimbo yaliyochukuliwa na Urusi amesema hakuitaji njia za vita kurudisha
Tuwekee clip na sisi tuone lakini najua hakuna kitu kama hicho ni maneno ya kujifariji tu kuficha kuzidiwa kwa askari wake huko frontline
 
Attachments

  • IMG_1032.mp4
    51.1 MB
Zelensky alisema Urusi wakisababisha blackout Ukraine, basi Moscow nako watalala giza.
Usiku wa kuamkia leo, Urusi wamepiga makombora vituo vingi vya meme.
Sasa tuone
Ukraine si Wajinga kama Russia kushambulia makazi ya raia!!!
 
Naona U.S anapeleka Tomahawk Ukraine.
Nadhani watakaokuwa wana operate ni U.S na sio Ukraine.
Ngoja tuone watatumia platform gani, maana hazina ground launcher.
Tofauti yake na stormshadow, hizi zinaenda masafa marefu Ila sio more advanced kuliko stormshadow.
Tunasubiri nazo ziitwe game-changer kama zilizotangulia sidhani kama itakuwa na impact kubwa
 
INTERACTIVE-What-are-Tomahawk-missiles-September-30-2025-1759225571.png
Tomahawk ni nini?
Makombora ya Tomahawk ni makombora ya subsonic yenye umbali mrefu ambayo yanaweza kuzinduliwa kutoka kwa meli, manowari, au kwa kuzinduliwa ardhini. Yana uwezo wa kugonga malengo kwa umbali wa kati ya 1,250km hadi 2,500km (maili 777 hadi 1,553).

Tomahawks hubeba vichwa vya silaha vya miale vya kutoboa malengo magumu kama vile mashimo ya kijeshi. Makombora haya pia ni ya haraka na huzuia kugunduliwa kwa rada kwa kuruka kwa kasi ya subsonic na katika urefu mdogo.

Jeshi la Wanamaji la Marekani limekuwa likitumia makombora ya Tomahawk tangu miaka ya 1970. Hivi sasa, makombora haya yanatengenezwa na mtengenezaji wa silaha wa Marekani, RTX.
By Al Jazeera
 
Back
Top Bottom