Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

😎🇷🇺 Odessa in the dark: Russian drone blitz triggers citywide blackout

🔴 Approximately 20 explosions in total were caused by Geran kamikaze drones

🔴 Entire city has been left without electricity and water

🔴 Internet has been partially disrupted

🔴 Some of the strikes hit Odessa’s power substation and the Zastava-1 railway station

🔴 Several drones targeted hideouts of Ukrainian military personnel in Odessa

👉 The drone strikes were launched in response to Ukraine’s terrorist attacks on Russian civilian infrastructure
 

Attachments

  • IMG_20251011_121534_989.jpg
    IMG_20251011_121534_989.jpg
    81.3 KB · Views: 26
🔥🇰🇵 North Korea unveils its new-generation nuclear Hwasong-20 ICBM

🔶 Country's strongest nuclear strategic weapon system

🔶 Designed for the delivery of multiple warheads

🔶 Multiple warheads are more difficult to intercept compared with single-warhead ones
 

Attachments

  • 2_5427164307798394058.mp4
    2.8 MB
Kiduku kwa mikwara hajambo.

Na uzuri hadi sasa imemsaidia maadui zake wanajishauri namna yakumpiga wanakosa.
 
Rais wa mioto ya watu wa Ukraine Zelenskyy anasema "Putin anahofia jamii yake tu. Anataka kubaki rais hadi kifo.. na kufanya hivyo, anahitaji kuungwa mkono na umma," Zelensky alisema. "Ndio maana anategemea kurefusha vita hivi .

@skyoverukraine
 

Attachments

  • IMG_1303.mp4
    22 MB
Majeshi ya Russia yameshindwa vita huko kwenye uwanja wa vita na sasa wanaficha udhaifu wao kwa kuanza kushambulia raia kwenye miji mbalimbali huko Ukraine.

Putin na askari wake wanajua kabisa hawawezi kushinda hii vita na huu sasa ni mwaka wa nne bado wanahangaika na Ukraine. Russia hana ubavu wa kushishinda Ukraine na wao wanajua.
 

Attachments

  • IMG_1298.mp4
    25.2 MB
Askari wa Russia waliangamizwa na drones za Ukraine!!!
 

Attachments

  • IMG_1348.mp4
    34.1 MB
Askari wa Russia wanapukutika sana huko Ukraine tuwaombee tu wafe salama maana hakuna namna!!!
 

Attachments

  • IMG_1478.mp4
    32.3 MB
Hungary na Romania ni wanachama wa NATO zimeshambuliwa katika miundombinu ya mafuta,inadhaniwa Ukraine inahusika katika kile kinaitwa kuharibu mazungumzo ambayo yalitaka kufanyika kati ya Putin Trump na orban.
Je Article 5 itafanya kazi?
 
Hungary na Romania ni wanachama wa NATO zimeshambuliwa katika miundombinu ya mafuta,inadhaniwa Ukraine inahusika katika kile kinaitwa kuharibu mazungumzo ambayo yalitaka kufanyika kati ya Putin Trump na orban.
Je Article 5 itafanya kazi?
Habari hizo hazina ukweli wowote acha tu zinyeshe tuone wapi panavuja!!!

Putin Ana Tumia kila njia ili tu aweze kupata namna ya kuishinda Ukraine lakini mbinu zake zote ameshindwa ndiyo maana kaamua kushambulia mijini na kuwaachia askari wake huko kwenye uwanja wa vita wakiuwawa kama kuku!!

Wakati huohuo Ukraine imejipatia silaha nyingi mpya na za kisasa kuweza kudhibiti mashambulizi yoyote ya wavamizi hao. SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!!
 

Attachments

  • IMG_4543.jpeg
    IMG_4543.jpeg
    143.9 KB · Views: 26
Kutokana na vita ilivyo kwa sasa hivi Putin ana Machaguo mawili tu ashindwe vita au aanzishe mazungumzo ili kumalizia vita vinginevyo ataangukia pua dalili zote zinaonyesha Putin vita hii imemshinda.

Kwanza Russia inajulikana ni Super Power toka vita hii aliyoianzisha Feb 24,2022 watu wengi walijua Ukraine inachukuliwa katika kipindi cha masaa 72 tu na baada ya askari wa Russia kuingia mjini Kiev watu waliamini sasa imebaki masaa machache sana Kiev iangukie mikononi mwa wavamizi kutoka Russia.

Majeshi ya Ukraine yalianza kufanya counter-Attach kwa majeshi ya Russia kwa kuwaziba na kuzuia njia ya wao kupelekewa misaada ndipo jiji la Kiev liligeuka kuwa sehemu hatari kwa askari wa Russia . Hapo sasa Russia walianza kudoda na majeshi ya Ukraine yalianza kufanya Offensive na kuwafurusha askari wa kivamizi kutoka Russia huku askari hao wakijidai kurudi nyuma kimkakati kumbe kipigo kilikuwa kimewazidia.

Hatimaye askari wa Russia waliondolewa kwa aibu kubwa huko Kiev wakaelekea mpakani baadaye ndipo wakavamia maeneo ya Mashariki ambako wamekalia maeneo ambayo kwa hali ilivyo wanaenda kushindwa vibaya sana maana mbinu yao ya kushambulia maeneo ya ki raia yameshindwa na askari wake wanauwawa kama kumbikumbi tu!!
 

Attachments

  • IMG_4544.jpeg
    IMG_4544.jpeg
    195.3 KB · Views: 28
Mkutano umefutwa/Umeahirishwa sasa Putin ategemee kipondo tu!!!
 

Attachments

  • IMG_4546.jpeg
    IMG_4546.jpeg
    230 KB · Views: 26
Kutokana na vita ilivyo kwa sasa hivi Putin ana Machaguo mawili tu ashindwe vita au aanzishe mazungumzo
Hapa unahisi nani anaombwa amalize vita?? Hata kama unalipwa jaribu kutumia akili hata za kuvukia barabara. Au kujizima data inahitaji uwe chizi??

On Wednesday, Trump criticised Putin for not being serious about making peace and said that he hoped that the sanctions would force a breakthrough.



View: https://x.com/authworldnews/status/1980949579819278768


View: https://x.com/MilitarySummary/status/1981299603493564623
 
Askari wa Russia baada ya kuona wenzake karibu wote wameuwawa aliamua kujiokoa yeye na nafsi yake kwa kutimia mbio kutoka kwenye maficho yao akiwa mikono mitupu bahati nzuri sana Drones za Ukraine zilimfatilia na hatimaye kumwangamiza bila huruma yoyote!!!

Askari wa Russia huko Ukraine wanapukutika kama nzige tuwaombee tu wafe salama!!
 

Attachments

  • IMG_1459.mp4
    30.8 MB
Back
Top Bottom