Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Majeshi ya Russia yanavyoangamizwa huko Ukraine!! Kwenye video wanaonekana wanakimbilia kwenye gofu lakini vifaru vya Ukraine 🇺🇦 viliwaangamiza humo humo!! Hii ndiyo maana askari wa Russia wanakimbilia kushambulia raia mijini tu kwenye uwanja wa vita wamezidiwa nguvu na askari wa Ukraine 🇺🇦
 

Attachments

  • IMG_3676.mp4
    11.1 MB
Wanajeshi wa Ukraine wameikomboa Kucheriv Yar katika eneo la Dobropillia katika eneo la Donetsk bendera ya Ukraine imepandishwa hapo.

Askari zaidi ya 50 wa Russia wamejisalimisha na wengine mamia wameuwawa! SLAVA UKRAINE 🇺🇦 💪
 

Attachments

  • IMG_6985.mp4
    1.8 MB
  • IMG_6984.mp4
    2.5 MB
  • IMG_4554.jpeg
    IMG_4554.jpeg
    94 KB · Views: 23
Hadi huruma askari wa Russia wanavyopukutika kama nzige!! Askari huyu alipoiona Drone ya Ukraine inapita aliona hata akikimbia hawezi kuiacha akaona bora ajilaze tu kifudifudi na Drone hiyo lipomfikia Operator wake aliona bora tu wamkate miguu yake yote na ndipo ililipua na kukata miguu yake kuanzia mapajani na kumuacha akuhangaika na hatimaye kufa kibudu huko porini.

Askari wa Russia wanapukutika sana huko Ukraine tuzidi tu kuwaombea ili wafe salama!!
 

Attachments

  • IMG_1438.mp4
    34.4 MB
Russia inaendelea kupoteza askari na vifaa huko Ukraine mambo ni magumu sana kwake. Ukubwa wa pua si winni wa Makamasi!!!! Putin anajuta kwa nini alianzisha vita vya kijinga namna hiyo!!!!
 

Attachments

  • IMG_1551.mp4
    63.5 MB
RUSSIA wametoa dude jengine
1761477887828.png


Russia has completed testing of the unique "Burevestnik" cruise missile, designed for guaranteed retaliatory strikes. According to official sources, the missile is equipped with a nuclear power , providing virtually unlimited flight range and the ability to fly autonomously for several months.

The "Burevestnik" is capable of flying at extremely low altitudes and actively maneuvering, which allows it to effectively evade missile defense systems. At the same time, the estimated power of the nuclear warhead reaches one megaton, making it one of the most powerful strategic deterrent weapons.

The missile's development began in 2001 after the US withdrew from the ABM Treaty. According to the plans of the Russian Ministry of Defense, the deployment of the "Burevestnik" is scheduled for 2027.
 
nyumbu wamezungukwa tena

HUGELY IMPORTANT: Russia finished the encirclement of Pokrovsk and Kupyanks!

RUSSIA BLOCKED 31 UKRAINIAN BATTALIONS!

-> This is a war defining moment, which explaines the ceasefire hysteria!

The last time this happened, Merkel called and forced Putin into a Minsk agreement. Ukraine is done.

"The 'Center' troop group has completed the encirclement of the Armed Forces of Ukraine in the area of Krasnoarmeysk and Dimitrov," - from the report of the Chief of the General Staff of the Russian Armed Forces Valery Gerasimov to the president...

 
PUTIN kwa mara nyengine amewapa msamaha nyumbu waliozungukwa.
anasema waheshimiwe
wasiliwe na simba wala chui

After announcing the encirclement of Ukranian forces in Kupyansk and Pokrovsk Putin called to treat the POWs humanely.
He stated this at a meeting with Chief of the General Staff Gerasimov and other military leaders.
 
Narudi mda wa kipigo tu.
Russian President Vladimir Putin has been informed that up to 5,000 Ukrainian military personnel were surrounded in the Kupyansk are and over 5,500 in the Krasnoarmeisk area, Presidential Spokesman Dmitry Peskov said on Sunday.
 
Narudi mda wa kipigo tu.
Russian President Vladimir Putin has been informed that up to 5,000 Ukrainian military personnel were surrounded in the Kupyansk are and over 5,500 in the Krasnoarmeisk area, Presidential Spokesman Dmitry Peskov said on Sunday.
Acha kutuletea maneno matupu lete vielelezo Acha kubwabwa ovyo ovyo.

Askari wa Russia huko mstari wa mbele wanaangamizwa vibaya sana na Majeshi ya Ukraine!!
 

Attachments

  • VID_20251027_101612_265.mp4
    28.3 MB
Askari wa Russia huko mstari wa mbele wanaangamizwa vibaya sana na Majeshi ya Ukraine!!
Hawa huwaamini tena???

​

Pokrovsk on the brink as Russian troops, drones infiltrate deeper into Ukraine’s fortress city​


 
Hawa huwaamini tena???

​

Pokrovsk on the brink as Russian troops, drones infiltrate deeper into Ukraine’s fortress city​


Mwaka wa 4 sasa kila siku tunasikia tu Infiltrate deeper!!

Wakati huo huo askari wa Ukraine tunaona wanavyolichakaza jeshi la Russia wengi wanafyekwa kama nzige.

Huko Belgorot Bwawa la nguvu za umeme limeangamizwa kwa makombola ya Ukraine!!!
 

Attachments

  • IMG_1581.MP4
    6.1 MB
Uache ujinga mbona husemi Russia anapopokeq misaada ya askari na silaha kutoka Korea,China,Iran,Afrika kusini na nchi zingine? "Kunya anye kuku akinya Bata mnasema Kaharisha" acheni ujinga!!

View: https://x.com/anno1540/status/1666879078404587531?t=cb87l5eCzzep8px4OFFGmw&s=19
 
Back
Top Bottom