Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuache ubishi askari wa Russia huko Ukraine wanateketea kama Kumbikumbi huko Ukraine tuwaombee tu maana hakuna namna!!
 
Attachments

  • IMG_1083.mp4
    32.7 MB
Uzi ufungwe
Hakuna kufungwa mpaka kale kamama nako kakimbie kama wenzake ..... Alikuwapo kipanya na wenzake Leo wamekufa 1280 ..Leo wamekufa 2690 watu wanasonga tu ..Sasa kamekuja kamama kametoka kwenye vikoba na lugha ya kupukutishwa .... Huku wanaopukutishwa wanazidi kusonga ila wanaopukutisha wanaomba msaada wa kupatanishwa ka kaka yao ... Ugonjwa wa akili ni kweli upo ...awahiwe
 
⚡There is a patriot battery operating in Lviv, but its not very effective as the missiles are actively using countermeasures. Additionally, the number of missiles detected on radars is smaller than reality as some are flying in tight groups, and are showing up as a single target. Approximately 16 Kh-101s have impacted in Lviv so far
 
Zelensky ameomba kuwa na Air cease fire, baada ya zaidi ya six day days in row ya drone and missile attack.
Pia inaonekana ana uhaba wa Air defence na hakuna possibility ya kupata nyingine hivi karibuni
 
Hakuna kufungwa mpaka kale kamama nako kakimbie kama wenzake ..... Alikuwapo kipanya na wenzake Leo wamekufa 1280 ..Leo wamekufa 2690 watu wanasonga tu ..Sasa kamekuja kamama kametoka kwenye vikoba na lugha ya kupukutishwa .... Huku wanaopukutishwa wanazidi kusonga ila wanaopukutisha wanaomba msaada wa kupatanishwa ka kaka yao ... Ugonjwa wa akili ni kweli upo ...awahiwe
Wewe endelea kubwabwaja lakini unabaki palepale askari wa Russia huko Ukraine wanapukutika kama nzige!!!
Zelensky ameomba kuwa na Air cease fire, baada ya zaidi ya six day days in row ya drone and missile attack.
Pia inaonekana ana uhaba wa Air defence na hakuna possibility ya kupata nyingine hivi karibuni
endelea tu kujifariji!!
 
France walishikilia moja ya meli ya Urusi iliyokuwa ikisafirisha mafuta ambao Ulaya wanaziita shadow fleet (Sababu ya kuitwa shadow fleet, ni kwakuwa hazijawa insured na Lloyd of London).
Katika speech ya Putin, mwandishi alimuuliza swali nini msimamo wake kuhusu tukio like,
Vladimir alijibu kilichofanywa na France ni kama Piracy, na kinajulikana nini kinafanywa pindi wanapokamatwa.
Naona leo France wameiachia hiyo meli.
 
Maana yake Putin kawaita wafaransa kuwa ni maharamia....
 
Back
Top Bottom