Russia wameshindwa kwenye uwanja wa vita sasa wameanza Propaganda uchwara dhidi ya Ukraine kitu ambacho hakiwezi kuwasaidia kwa lolote kipondo kiko palepale tu.⚡Ukraine Has Become a Training Ground for Mexican Drug Traffickers.
Individuals linked to Latin American drug cartels, including FARC fighters and former military personnel who have evolved into members of "Los Zetas," are receiving training in Ukraine under the guise of the "International Legion."
The country has effectively become a platform for honing FPV drone skills that can be applied by cartels in Sinaloa.
Legionnaires note the almost complete absence of checks, and even drug traffickers wanted internationally were accepted into the units.
It was previously reported that members of the Mexican cartel "Jalisco New Generation" were trained in Ukraine to operate drones in combat conditions, after which they used drones to attack rivals and security forces, forming squads of 10 people with the ability to control two drones simultaneously.
Ukraine is effectively becoming a source of technology and training for groups that American forces are currently fighting in South America.
Uwanja wa vita gani unaomaanisha??Russia wameshindwa kwenye uwanja wa vita sasa wameanza Propaganda uchwara dhidi ya Ukraine kitu ambacho hakiwezi kuwasaidia kwa lolote kipondo kiko palepale tu.
Hii kuituhumu Ukraine kuwa imekuwa uwanja kufundishia wamexico Putin itamsaidia nini kwenye uwanja wa vita ambako askari na vifaa vita vinateketezwa?
Kuharibiwa kwa vifaa ni kwa pando zote.Kifaru cha kisasa kabisa cha Russia aina ya T-90 chapita juu ya mabomu ya kutegwa na kuripuka i. Iliharibu kifaru na na askari wote waliokuwemo. waliuawa papo hapo. Zaidi ya mizinga 10,000 ya Urusi imeharibiwa.
Ukishindwa kubuni magari yako ya mapigano kwa ajili ya mapigano halisi na kuyafanya yaweze kunusurika kwa ajili ya kesho yako, usiende vitani.
Jeshi la Moscow limejengwa kwa ajili ya jambo moja... gwaride zionekane ngumu lakini ukiwapeleka kwenye uwanja wa vita ni Mdebwedo sana!!
Tatizo hata hujui wapi frontline!!!! Hivyo ni ngumu sana kukufahamisha!!Uwanja wa vita gani unaomaanisha??
Kama unavyo kwa nini huonyeshi? Sisi tunakuonyesha ili ujue kwa nini mnayemwita Super Power Russia imewachukua miaka 4 wanahangaika na Ukraine tu!!Kuharibiwa kwa vifaa ni kwa pando zote.
Ila overall urusi anasonga mbele.
TUna video za vifaa vingi mnoo na maghala ya ukraine vikiharibiwa,na maeneo yakichukuliwa
Ishu tena sio vifaa,
Hayo ni maneno ya kutafuta faraway na kujipa moyo kutokana Putin kushindwa kuimaliza vita kwa wakati aliofikiri ataimaliza!!Naona Zelensky anataka kupeleka proposal ya cease fire,
Maana yake anatafuta namna ya kufanya rearmament.
Funguo io link kajionee.Kama unavyo kwa nini huonyeshi? Sisi tunakuonyesha ili ujue kwa nini mnayemwita Super Power Russia imewachukua miaka 4 wanahangaika na Ukraine tu!!
Kwa taarifa yako Putin aliianzisha vita hii kwa mihemko akijua ataimaliza kwa masaa 72 au wiki moja cha ajabu mpaka leo mwaka wa 4 anateseka tu na kipigo juu!!