Mkuu, hawakati tamaa jamaa hawa wanaweza hata kuwashinikiza Poland au Romania ili kurusiwa wafungue second war front ya kuishambulia Urusi!!
Nimesoma sehemu inasema hali ya uchumi huko Uingereza ni tete sana Serikali ina mpango wa kwenda kupatia mkopo kutoka IMF na Ujerumani hivyo hivyo, kumbuka Ujerumani ndilo taifa lililo kuwa Linaongoza barani Ulaya kuwa na uchumi imara lakini hivi sasa mambo yanawaendea vibaya mno kiuchumi, cha ajabu mataifa hayo mawili ndio vinara wanao shabikia patokee vita baina ya EU nations na Urusi!!
Hawajali hasara na madhala mengine ya kiuchumi yanayo weza kusabishwa na vita hii ya kipumbavu.