Atabaki Zelensk na Echolima ambaye ndo kipanya 44Kwa Hali inavyoendelea,
Sio Ukraine Wala wafadhili wao,
WOTE wameshakata tamaa na hii vita😀
Kwa Hali inavyoendelea,
Sio Ukraine Wala wafadhili wao,
WOTE wameshakata tamaa na hii vita😀
Atabaki Zelensk na Echolima ambaye ndo kipanya 44
Kwani Ile ultimatum aliyotoa trump inaisha lini???Kwa Hali inavyoendelea,
Sio Ukraine Wala wafadhili wao,
WOTE wameshakata tamaa na hii vita😀
Walikuwepo wengi tu ila mwisho wa siku wamekimbia.kina T14-Armata na wengineHa ha ha.. ..hao jamaa wanapata tabu sana, alikuepo na yule mkenya mk254, nae sahivi kaukimbia Uzi, amehamia kupata faraja Kwa Israel kule Gaza.
Ile mikwala ni kwa nchi kama Togo, ila sio Warusi.kigezo chake anasema Warusi wanajua sana kukwepa vikwazoKwani Ile ultimatum aliyotoa trump inaisha lini???
Walikuwepo wengi tu ila mwisho wa siku wamekimbia.kina T14-Armata na wengine
Alitoa Siku 12, bila shaka zishakwisha.Kwani Ile ultimatum aliyotoa trump inaisha lini???
Yupo jukwaa la kilimo.kawa afisa kilimo🤣🤣@T14-Armata mchambuzi wa silaha matata kabisa. Siku hz silaha hazichambuliki tena
KheeeeeeUkraine ameshambulia kinu cha kuzalidha umeme cha Nyuklia St. Petersburg
Ukraine ameshambulia kinu cha kuzalidha umeme cha Nyuklia St. Petersburg
Zelenski atulie wenzie wakijibu.Ukraine ameshambulia kinu cha kuzalidha umeme cha Nyuklia St. Petersburg
Kuna mashambulizi ya Drone yalifanyika dhidi ya Urusi jumamosi kuamkia jumapili.Kheeeeee
More details pleasee
Ukrainian field camp wiped out – MOD (VIDEO)
Kiev’s troops have suffered an estimated 600 casualties in the attack near the key Donbass city of Kramatorsk
---![]()
Ukrainian field camp wiped out – MOD (VIDEO)
Ukraine suffered an estimated 600 casualties in the attack close to strategic Donbass citywww.rt.com
RT
Putin Safari hii ataisoma namba hapo hakuna cha huruma wala nini!!! Ukraine inazidi kumuanika Putin!! Mwaka wa 4 Russia anasurubiwa na askari wake wengi kuuwawa huko Ukraine laiti kama Russia angekuwa na uwezo mnaomsifia basi vita hivi angekuwa amevimaliza kwa kuiteka Ukraine yote. Lakini kwa kuwa uwezo huo hana ndiyo maana vita hivi vinamsumbua sana sana!!!Zelenski atulie wenzie wakijibu.
Maana wataanza kutoa milio muda sio mrefu.
Ndio maana huwa namlaumu sana Putin katika hii SMO kuleta huruma za kipuuzi.
Ingewezekana Netanyahu angeongoza Urusi kwa muda wa mwezi mmoja na Putin akaenda Israel kwa muda wa mwezi mmoja.
Sasa hivi tungekuwa tunajadili mengine.
Endeleeni kujidanganya tu ukraine wako Imara kuliko jana!!!Kwa Hali inavyoendelea,
Sio Ukraine Wala wafadhili wao,
WOTE wameshakata tamaa na hii vita😀
Nawashangaa sana kila Ana po pigwa Russia hamkosi visingizio uchwara!!! Na alipopigwa Iran na Israel vile vile hamkosi visingizio!!! Kwa kweli mnatia aibu!!Kuna mashambulizi ya Drone yalifanyika dhidi ya Urusi jumamosi kuamkia jumapili.
Kinu kimeharibika sehemu ndogo kiasi.
ila inavyoonyesha mashambulizi hayo yalifanyika kupitia Estonia na sio Ukraine.
Estonia amekuwa na kiherehere sana dhidi ya Urusi
Mkuu, kitu ambacho wengi wenu usahau huwa hamsemi jeshi la Merilikani lilipigana huko VietNam na Afghanistani kwa miaka mingapi na, je, walihai hata siku moja kushinda vita kwenye maeneo tajwao, jibu ni hapana - VietNam kwa mfano: Merikani walipigana kwa miaka ishirini wakashondwa vibaya, je, wewe hilo ulijui?? Sasa tuje huko Afghanistani, Merikani ilipigana na Watelibani kwa miaka kumi, mwisho wa siku wakavurumishwa vibaya sana na Watelabani akina Mulla Omari, wanajeshi wa Merikani na makamanda wao walikimbia miguu peku peku kwenda kupanda Helicopter na kusepa kama Nguchiro, tuliona yote hayo kwenye luninga, hapo hakuna ubishi.Putin Safari hii ataisoma namba hapo hakuna cha huruma wala nini!!! Ukraine inazidi kumuanika Putin!! Mwaka wa 4 Russia anasurubiwa na askari wake wengi kuuwawa huko Ukraine laiti kama Russia angekuwa na uwezo mnaomsifia basi vita hivi angekuwa amevimaliza kwa kuiteka Ukraine yote. Lakini kwa kuwa uwezo huo hana ndiyo maana vita hivi vinamsumbua sana sana!!!