Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hodi wanaJamii wenzangu. Za masiku.

Kwanza nitoe Hongera kubwa kwa JamiiForums ilivo imara na kudumu kwake... ziwafikie viongozi na wadau.

Huu mgogoro wa Ukraine na Urusi hadi leo, kwa tulioufatilia vizuri, umeshaonyesha nia na sura zilizofichwa mwanzoni na mayowe ya wana'magharibi' - eti 'Mrusi ni mvamizi' na kujaribu kulazimisha dunia ikubaliane nao.
1. Chanzo ni wana'magharibi' wenyewe... na sio kwa nia ya kumpenda Ukraine.
- kutanua NATO kuelekea mlangoni mwa Mrusi huku wakimbeza maonyo yake.
- kumpindua raisi wa Ukraine aliekuwa anawakatalia mambo ya Urusi
- kumuweka kibaraka wao Zelinski na kutojali jeshi lake ni la NAZI na wanatesa warusi kule Dombrowski na
kwingineko.
- kumuahidi Ukraine watamuingiza NATO.
2. Mrusi aliwasoma na aliisoma ramani... Waliitaka nchi ya Urusi kwa mbinde na uhuni. Sababu zilionekana wazi kwa
Mrusi na uchunguzi wake ulidhiirisha nia yao... aliona wa'magharibi -
- walijiamulia eti Mrusi ni dhaifu toka muungano wake wa USSR uvunjike kwa hiyo wataweza kumuingilia na
kunyakua nchi yake kuelekezea utajiri wake kwao, yaani kama koloni lao.
- Waliendelea kukiuka maonyo yake miaka nenda rudi kwa vitendo na maneno ya utapeli na kejeli.
- hawakujali kibaraka wao ana jeshi la NAZI ambalo linakiuka sheria za kimataifa walizotunga wao wenyewe.
- walifumbia macho ukatili wa jeshi la kiNAZI la Ukraine dhidi ya unyanyasaji wa wakazi wenye asili ya kirusi nchini
Ukraine, haswa kule Dombrowski na miji mingineyo kadhaa... pamoja na kuwapa silaha hawa wanajeshi. Na zaidi
serikali ya kibaraka ilianza kutunga sheria za kuwakandamiza hawa wakazi wenye asili ya kirusi na tamaduni zao.
- Juu zaidi, waMarekani wakawa washaingiza wataalam wa kijeshi na kijasusi, pamoja na kujenga viwanda vya
kutengeneza silaha za kimadawa za vita.
- walikuwa wanaizunguka Urusi kijeshi kupitia vituo vipya vya NATO na kuunda jeshi la Ukraine kwa nia hio hio ya
ya kumdhibiti Mrusi.
- wakawa wanapiga mayowe mengi ya propaganda 'kumpakazia' Mrusi duniani ili dunia imchukie na iungane nao
ili wafanikishe nia yao kuu.

Hapo ndipo Mrusi aliona hawa jamaa wako moto kuingia nyumbani mwake kwa fujo, haswa kupitia Ukraine - pua na mdomo. Akakiwashaaa... Baada ya kukiwasha, wa'magharibi' walipiga mahesabu yaliyofeli pakubwa,
1. walikua na uhakika propaganda na mayowe yao yataifanya dunia iunganike nao na Mrusi aelemewe vibaya mno
na wapate walichotaka. Waliamini hilo na kwamba vipingamizi vyao kiuchumi vitaungwa mkono na Urusi
itaanguka. Waliliamini sana hilo, likawapasukia usoni.
2. Baadae wakaamini wakimpa Ukraine silaha wakaendeleza vita, Uchumi nchini utaporomoka pamoja na pesa za
kuendesha vita zitaisha na watanyoosha mikono... hili nalo limefeli. Tambua ukatili wa wana'magharibi' hawakujali
na bado hawajali vita imeua mamilioni ya wanajeshi wa Ukraine hadi wanaishiwa vijana wa kuingia jeshini, bado
waliendelea kumuendesha kibaraka wao zelinski aendelee kuchochea moto...

Hatma yake sasa... wameshindwa vitani, na malengo yao yamefeli pakubwa
Mahesabu yao hapo juu yamefeli parefu mno...
1. Uchumi haukozorota, ndo umekua zaidi.
2. Vipingamizi vyao kiuchumi vimewageuka, wao ndo wanasota zaidi kutopata bidhaa za Mrusi...
3. Jeshi la Mrusi ndo limeimarika maradufu hadi wameogopa kuingia vitani kiundani au moja kwa moja.
4. Mrusi anatimiza malengo yake, kakomboa kina Dombrowski na anaendelea kunyakua maeneo akipiga mabuti
babu kubwa... hadi sasa wanambembeleza aache kuwatwanga.
5. Mrusi pia kaendelea kuimarika kama mtemi mpinzani duniani kwa wana'magharibi' na mabaya yao kama kule
SAHEL (Mali, Niger na Burkinabe) na urafiki wake na watemi waibukaji (China, India, na Korea Kaskazini) ndo
unaiva usipime hadi nyongeza ya nchi kadhaa za BRICS. Wana'magharibi' walijua wakichochea vita Ukraine, basi
nguvu kuwapinga kimataifa itatoweka... matokeo, la haula.

Hatma kubwa zaidi - wana'magharibi' katika uchochezi wa vita ya Ukraine na uungaji mkono wa ukaidi wa ile nchi ya ISNOTREAL kunyanyasa na kuua waPalestina ndo umewatenga zaidi duniani, na wamekuta mambo si ka zamani - wakipiga mluzi kila nchi inawalamba miguu. Wamekiona hicho hadi matokeo ya Afrika Magharibi ya kina Traore, na sasa wanapaniki na wanajua wanatembea juu ya makaa moto ila wanajifanya kutoonyesha yanawachoma mbaya. Wameiharakisha dunia kuwasanukia, na kinachokuja ni umoja wao kusambaritika na hata kupigana wenyewe kwa wenyewe manake wengine wameona dalili za kifo na hawataki kufa na mchochezi mmarekani.
 
Ila Urusi inahitaji kiongozi imara zaidi ya Putin, wangekuwa kina Medved hii vita ingeshaisha na vile vichawa vya magharibi vingekuwa vimeacha kidomodomo lakini Putin amekuwa mlaini sana, kitendo cha kuruhusu washirika wake kama Maduro na rais wa Syria kuondolewa madarakani ni fedheha kwake.
 
Swa
Hodi wanaJamii wenzangu. Za masiku.

Kwanza nitoe Hongera kubwa kwa JamiiForums ilivo imara na kudumu kwake... ziwafikie viongozi na wadau.

Huu mgogoro wa Ukraine na Urusi hadi leo, kwa tulioufatilia vizuri, umeshaonyesha nia na sura zilizofichwa mwanzoni na mayowe ya wana'magharibi' - eti 'Mrusi ni mvamizi' na kujaribu kulazimisha dunia ikubaliane nao.
1. Chanzo ni wana'magharibi' wenyewe... na sio kwa nia ya kumpenda Ukraine.
- kutanua NATO kuelekea mlangoni mwa Mrusi huku wakimbeza maonyo yake.
- kumpindua raisi wa Ukraine aliekuwa anawakatalia mambo ya Urusi
- kumuweka kibaraka wao Zelinski na kutojali jeshi lake ni la NAZI na wanatesa warusi kule Dombrowski na
kwingineko.
- kumuahidi Ukraine watamuingiza NATO.
2. Mrusi aliwasoma na aliisoma ramani... Waliitaka nchi ya Urusi kwa mbinde na uhuni. Sababu zilionekana wazi kwa
Mrusi na uchunguzi wake ulidhiirisha nia yao... aliona wa'magharibi -
- walijiamulia eti Mrusi ni dhaifu toka muungano wake wa USSR uvunjike kwa hiyo wataweza kumuingilia na
kunyakua nchi yake kuelekezea utajiri wake kwao, yaani kama koloni lao.
- Waliendelea kukiuka maonyo yake miaka nenda rudi kwa vitendo na maneno ya utapeli na kejeli.
- hawakujali kibaraka wao ana jeshi la NAZI ambalo linakiuka sheria za kimataifa walizotunga wao wenyewe.
- walifumbia macho ukatili wa jeshi la kiNAZI la Ukraine dhidi ya unyanyasaji wa wakazi wenye asili ya kirusi nchini
Ukraine, haswa kule Dombrowski na miji mingineyo kadhaa... pamoja na kuwapa silaha hawa wanajeshi. Na zaidi
serikali ya kibaraka ilianza kutunga sheria za kuwakandamiza hawa wakazi wenye asili ya kirusi na tamaduni zao.
- Juu zaidi, waMarekani wakawa washaingiza wataalam wa kijeshi na kijasusi, pamoja na kujenga viwanda vya
kutengeneza silaha za kimadawa za vita.
- walikuwa wanaizunguka Urusi kijeshi kupitia vituo vipya vya NATO na kuunda jeshi la Ukraine kwa nia hio hio ya
ya kumdhibiti Mrusi.
- wakawa wanapiga mayowe mengi ya propaganda 'kumpakazia' Mrusi duniani ili dunia imchukie na iungane nao
ili wafanikishe nia yao kuu.

Hapo ndipo Mrusi aliona hawa jamaa wako moto kuingia nyumbani mwake kwa fujo, haswa kupitia Ukraine - pua na mdomo. Akakiwashaaa... Baada ya kukiwasha, wa'magharibi' walipiga mahesabu yaliyofeli pakubwa,
1. walikua na uhakika propaganda na mayowe yao yataifanya dunia iunganike nao na Mrusi aelemewe vibaya mno
na wapate walichotaka. Waliamini hilo na kwamba vipingamizi vyao kiuchumi vitaungwa mkono na Urusi
itaanguka. Waliliamini sana hilo, likawapasukia usoni.
2. Baadae wakaamini wakimpa Ukraine silaha wakaendeleza vita, Uchumi nchini utaporomoka pamoja na pesa za
kuendesha vita zitaisha na watanyoosha mikono... hili nalo limefeli. Tambua ukatili wa wana'magharibi' hawakujali
na bado hawajali vita imeua mamilioni ya wanajeshi wa Ukraine hadi wanaishiwa vijana wa kuingia jeshini, bado
waliendelea kumuendesha kibaraka wao zelinski aendelee kuchochea moto...

Hatma yake sasa... wameshindwa vitani, na malengo yao yamefeli pakubwa
Mahesabu yao hapo juu yamefeli parefu mno...
1. Uchumi haukozorota, ndo umekua zaidi.
2. Vipingamizi vyao kiuchumi vimewageuka, wao ndo wanasota zaidi kutopata bidhaa za Mrusi...
3. Jeshi la Mrusi ndo limeimarika maradufu hadi wameogopa kuingia vitani kiundani au moja kwa moja.
4. Mrusi anatimiza malengo yake, kakomboa kina Dombrowski na anaendelea kunyakua maeneo akipiga mabuti
babu kubwa... hadi sasa wanambembeleza aache kuwatwanga.
5. Mrusi pia kaendelea kuimarika kama mtemi mpinzani duniani kwa wana'magharibi' na mabaya yao kama kule
SAHEL (Mali, Niger na Burkinabe) na urafiki wake na watemi waibukaji (China, India, na Korea Kaskazini) ndo
unaiva usipime hadi nyongeza ya nchi kadhaa za BRICS. Wana'magharibi' walijua wakichochea vita Ukraine, basi
nguvu kuwapinga kimataifa itatoweka... matokeo, la haula.

Hatma kubwa zaidi - wana'magharibi' katika uchochezi wa vita ya Ukraine na uungaji mkono wa ukaidi wa ile nchi ya ISNOTREAL kunyanyasa na kuua waPalestina ndo umewatenga zaidi duniani, na wamekuta mambo si ka zamani - wakipiga mluzi kila nchi inawalamba miguu. Wamekiona hicho hadi matokeo ya Afrika Magharibi ya kina Traore, na sasa wanapaniki na wanajua wanatembea juu ya makaa moto ila wanajifanya kutoonyesha yanawachoma mbaya. Wameiharakisha dunia kuwasanukia, na kinachokuja ni umoja wao kusambaritika na hata kupigana wenyewe kwa wenyewe manake wengine wameona dalili za kifo na hawataki kufa na mchochezi mmarekani

Screenshot_20260212_174836_Chrome.jpg
good boy
 
Ila Urusi inahitaji kiongozi imara zaidi ya Putin, wangekuwa kina Medved hii vita ingeshaisha na vile vichawa vya magharibi vingekuwa vimeacha kidomodomo lakini Putin amekuwa mlaini sana, kitendo cha kuruhusu washirika wake kama Maduro na rais wa Syria kuondolewa madarakani ni fedheha kwake.
Na ni Medved huyo huyo kipindi chake Gaddafi alikamatwa kama kuku
 
Taarifa za maeneo ya Ukreane anayomiliki Urusi mpaka Sasa ni kama ifuatavyo:-

After four years since Russian-Ukrainian War began Russian Army currently control 92092 Sq Km, which corresponds to 15,25% of Ukraine (19,73% with Crimea Peninsula included):
  • Donetsk People's Republic controls 21670 Km^2 (81,72% of Donetsk oblast)
  • Luhansk People's Republic controls 26600 Km^2 (99,69% of Luhansk oblast)
In addition, the distribution of control of the other oblasts is as follows:
Mykolaiv
  • Russia: 225 sq Km (0,91%)
  • Ukraine: 24373 sq Km (99,09%)
Kherson
  • Russia: 20726 sq Km (72,82%)
  • Ukraine: 7735 sq Km (27,18%)
Zaporizhia
  • Russia: 20700 sq Km (76,15%)
  • Ukraine: 6483 sq Km (23,85%)
Dnipropetrovsk
  • Russia: 276 sq Km (0,86%)
  • Ukraine: 31698 sq Km (99,14%)
Kharkov
  • Russia: 1767 sq Km (5,62%)
  • Ukraine: 29648 sq Km (94,38%)
Sumy
  • Russia: 383 sq Km (1,61%)
  • Ukraine: 23451 sq Km (98,39%)
Chernihiv
  • Russia: 21 sq Km (0,07%)
  • Ukraine: 31844 sq Km (99,93%)

Map: [ https://www.google.com/maps/d/viewe...IV&ll=48.50151992376607,34.38972071287864&z=6 ]
 
Ila Urusi inahitaji kiongozi imara zaidi ya Putin, wangekuwa kina Medved hii vita ingeshaisha na vile vichawa vya magharibi vingekuwa vimeacha kidomodomo lakini Putin amekuwa mlaini sana, kitendo cha kuruhusu washirika wake kama Maduro na rais wa Syria kuondolewa madarakani ni fedheha kwake.
Watu wengine bana,yaani unaweza kusimamisha mbele za watu kbs na kudai Urusi inahitaji rais imara zaidi kuliko Putin.
Aisee sisi Watanzania kweli ni wajuaji saña lkn kiuhalisia wengi wetu ni watupu kabisa vichwani.
 
Anachofanya urusi ni kikubwa kuliko tukio lolote toka vita ya 2 ya dunia, watu wanajizima data kuwa urus anajimegemea maeneo na kujimilikisha
 
Tumechoshwa na PUTIN,
nguvu alionayo na anayotuonyesha sisi chawa wake yanatusikitisha sana.

Huenda ndie raisi dhaifu duniani kuliko hata raisi wa INDIA.

Najaribu kuiwazia IRAN yenye nguvu kama RUSSIA.

Hammaz
Putini kaka ni mjinga sana Kumbe jamaa ni boflo kabisa...dhoofu asie na maaamuzi wala hajui afanye nini...zee zima miaka 4 linazunguka hapo mpaka linafata wakikuyu wakalipiganie hovyo kabisa...
 
Watu wengine bana,yaani unaweza kusimamisha mbele za watu kbs na kudai Urusi inahitaji rais imara zaidi kuliko Putin.
Aisee sisi Watanzania kweli ni wajuaji saña lkn kiuhalisia wengi wetu ni watupu kabisa vichwani.
nionyeshe uimara wa Putin wakati wanaomsapoti wanaondolewa na yeye anashindwa kufanya kitu.
Syria rais kaondolewa wakati alikuwa mfuasi wake
Venezuela rais kaondolewa tena kapelekwa Marekani wakati alikuwa mfuasi wake
Cuba kawekewa vikwazo hamna mafuta kuingia wakati ni mfuasi wake
Iran alitiliana mpaka mkataba na urusi wa kulindana lakini sasa anashambuliwa Putin anashindwa kumsapoti.
Ukija kunijibu nijibu kwa hoja na sio mahaba.
 
Geopolitics
 
Back
Top Bottom