Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NAsikia huko kiev mabalozi na raia wa kugeni wameambiwa waondoke. Mzee Putin kachafukwa, kiev inawaka moto.
Inasemekana hjko redsea kuna meli mbili malk ya nato zimeshughulikiwa kikatili na majeshi ya russia.
Maelfu ya drone yameichakaza miji karibia yote ya ukraine
Maneno ya kusikia ndiyo unakuja kutuambia? Hivi hujui kuwa Putin kwa miaka 5 hajafanya lolote huko Ukraine? Umeshindwa kuiangusha Serikali ya Zelenskyy amebaki Kubwabwaja ovyo Kama wewe!!
 
Mkuu kwani taarifa unazoletaga hapo jukwaani kuhusu hii SMO na yale ya gaza huwa unayatoa wapi? Aidha umesikia au umesoma mahali.
Kingine, Ukweli ni kwamba kwa siku mbili hizi ukraine imeonja joto la jiwe. Wameshughulokiwa kisawasawa. Sema vile vyanzo vya uhakika kama BBC CNN nk hazitangazi. Hivyo tunapata taarifa kupitia vyanzo vingine.
Ukraine haswa kiev kumewaka moto. Oreskini karibia 70, Maelfu ya drone zikiwapo shahid zimeufanya mji wa kiev usikalike.
Punguza mahaba.
 
Zelensiky katangaza siku 40 za kumfurusha mrusi huko Ukraine,siku zijazo zitakuwa za moto! Uzur zelensiky akitoa kauli lazima ishughulikiwe,baada ya kumpiga mkwala lukashenko wa Belarus kutoa zile relay stations kwa ajili drones za urusi, lukashenko aliona mambo yasiwe mengi,aliziondoa mara Moja🏃
 
Mwaka huu ni wa 5 Putin wako hawafanyi lolote na anazidi kupoteza Askari na miundombinu yake ya mafuta!!
 
SIjapita hapa siku nyingi sana. Wale wadau mliokuwa mnachangamsha huu uzi amani iwe juu yenu.
wale pro Russia na pro Ukraine. Huu uzi ulikuwa wa moto. Ila kwa sasa umepoa. Hata kama russia akipokea kipigo toka ukraine au ukraine akipata kipondo yoka kwa russia bado updete zinakuwa chache.
Baada ya Mtanange wa Iran Kuingia uzi huu uliwekwa kando tukapeleka majeshi HOMUZI sasa tutarudi ila tumeona Urusi kashikwa sana kende Putin analia lia tu siku hizi...
 
Zelensiky katangaza siku 40 za kumfurusha mrusi huko Ukraine,siku zijazo zitakuwa za moto! Uzur zelensiky akitoa kauli lazima ishughulikiwe,baada ya kumpiga mkwala lukashenko wa Belarus kutoa zile relay stations kwa ajili drones za urusi, lukashenko aliona mambo yasiwe mengi,aliziondoa mara Moja🏃
Leo umefufuka? Ngoja tuone
 
Jamaa liongo hili hivi Ukraine pale kuna Nchi??? hata ndege hazipo ile nchi itachukua miaka 1000 kujirudi imeumizwa sana basi tu Nato wana njama zao pale..
 
Baada ya Mtanange wa Iran Kuingia uzi huu uliwekwa kando tukapeleka majeshi HOMUZI sasa tutarudi ila tumeona Urusi kashikwa sana kende Putin analia lia tu siku hizi...
Binafsi nimejisika uruma sana kwa Putin hasa pale wawakilishi Wake walipojitokeza adharani pale Crimea na katangaza kwamba Crimea Haina mafta Tena! Ni aibu sana hasa kwa taifa lililojinasibu kama super pawa!
 
Jamaa liongo hili hivi Ukraine pale kuna Nchi??? hata ndege hazipo ile nchi itachukua miaka 1000 kujirudi imeumizwa sana basi tu Nato wana njama zao pale..
🟪 OCCUPIED CRIMEA DECLARES A STATE OF EMERGENCY AS UKRAINE’S PRESSURE MOUNTS

❗️A state of emergency has been declared in occupied Crimea, according to the head of the Russian occupation administration, Sergei Aksyonov.

Aksyonov claimed the measure was introduced to “streamline economic issues” and ensure the “stable functioning of all life-support systems for the population.”

That explanation comes against the backdrop of a rapidly deteriorating situation on the peninsula.

In recent weeks, Ukraine has dramatically increased pressure on Crimea through a sustained campaign targeting military infrastructure, logistics, air defenses, fuel facilities, bridges, and key transport routes. Since June 21, Russian occupation authorities have suspended fuel sales to civilians, introduced rolling power outages, and tightened restrictions across the peninsula as they struggle to manage the growing strain.

The declaration of a state of emergency is therefore significant.

While occupation officials are framing it as an administrative measure, it also gives authorities broader powers to manage resources, respond to disruptions, and coordinate emergency measures during a period of increasing instability.
 
🇺🇦 President Zelensky:
"We could take Moscow in three days. But we don't know what to do with a Third World country."
 
IMG-20260629-WA0000.jpg
 
Makombora mengi ya meli ya FP-5 ya Kiukreni ya "Flamingo" yameshambulia kiwanda cha ulinzi cha Titan-Barrikady katika mji wa Volgograd kusini mwa Urusi asubuhi ya leo, yakilenga kituo muhimu kinachohusika katika usanifu na utengenezaji wa vipengele vya mifumo ya mizinga na vifyatuaji makombora vya balestiki.
 
Attachments

  • VID_20260628_073538_448.mp4
    1.2 MB
  • VID_20260628_073523_389.mp4
    1.1 MB
  • VID_20260628_073523_020.mp4
    373.8 KB
🇷🇺Konstantinovka has practically fallen under the control of the Russian Armed Forces.
The situation in the city was reported by Readovka.

🟥 The city is already practically in the hands of units of the 3rd Army Corps of the Russian Armed Forces;

🟥 Organized resistance by the Ukrainian Armed Forces there was broken as early as mid-June. In some parts of the central areas, there are still local pockets of resistance by Ukrainian units, who did not receive the order to retreat when they had the opportunity to escape the city in the direction of Druzhkovka;

🟥 Without the ability to retreat, the remnants of the Ukrainian Armed Forces garrison have found themselves in a stalemate.
Some, heeding the voice of reason, are laying down their weapons and surrendering to our troops, while others, ideologically charged by Kiev, prefer to hide in basements in the hope of a phantom disengagement;

The issue of final cleanup is complicated by the city's large population of civilians, who are being used as shields by the remaining units of the Ukrainian Armed Forces. Residents of Konstantinovka who reported to our positions reported that the Ukrainians shot citizens because they consider themselves Russian and are expecting Russian forces.
This circumstance also explains why some units of the Ukrainian Armed Forces refuse to surrender: they have blood on their hands.

The Ukrainian command continues to try to introduce infantry groups into the city, but there is no military sense in these actions.
This is done simply to delay the moment when Kiev's resources will no longer be able to "paint" a favorable picture of the operational situation in the city.

🟥 The General Staff of the Ukrainian Armed Forces is covering up one of its biggest failures with the corpses of its own soldiers in order to issue formal statements along the lines of "the fighting for the city is still ongoing, and the situation is difficult, but manageable," as Commander-in-Chief of the Ukrainian Armed Forces Sirsky likes to say;

🟥 The only area the enemy conditionally controls is the western edge of the northwestern "Chervonyi" ("Red") microdistrict, where it is also sending reinforcements to prevent Russian forces from approaching the village of Alekseevo-Druzhkovka, which flows into the city of Druzhkovka itself;

🟥 The bottom line is this: Konstantinovka is in our hands, and the hemorrhage of Ukrainian forces both on the outskirts of the city and in the basements of its center is merely a cover for the Ukrainian Armed Forces Command, which failed to defend the city and jeopardized the advance of Russian forces towards the southern suburbs of the Slavyansk-Druzhkovka agglomeration🇷🇺
 
Putin ataimaliza Ukraine maana sio kwa kipigo hiki anachowapiga
 
Attachments

  • VID_20260702_122141_528.mp4
    460.1 KB
Back
Top Bottom