Maneno ya kusikia ndiyo unakuja kutuambia? Hivi hujui kuwa Putin kwa miaka 5 hajafanya lolote huko Ukraine? Umeshindwa kuiangusha Serikali ya Zelenskyy amebaki Kubwabwaja ovyo Kama wewe!!NAsikia huko kiev mabalozi na raia wa kugeni wameambiwa waondoke. Mzee Putin kachafukwa, kiev inawaka moto.
Inasemekana hjko redsea kuna meli mbili malk ya nato zimeshughulikiwa kikatili na majeshi ya russia.
Maelfu ya drone yameichakaza miji karibia yote ya ukraine
Mkuu kwani taarifa unazoletaga hapo jukwaani kuhusu hii SMO na yale ya gaza huwa unayatoa wapi? Aidha umesikia au umesoma mahali.Maneno ya kusikia ndiyo unakuja kutuambia? Hivi hujui kuwa Putin kwa miaka 5 hajafanya lolote huko Ukraine? Umeshindwa kuiangusha Serikali ya Zelenskyy amebaki Kubwabwaja ovyo Kama wewe!!
Mwaka huu ni wa 5 Putin wako hawafanyi lolote na anazidi kupoteza Askari na miundombinu yake ya mafuta!!Mkuu kwani taarifa unazoletaga hapo jukwaani kuhusu hii SMO na yale ya gaza huwa unayatoa wapi? Aidha umesikia au umesoma mahali.
Kingine, Ukweli ni kwamba kwa siku mbili hizi ukraine imeonja joto la jiwe. Wameshughulokiwa kisawasawa. Sema vile vyanzo vya uhakika kama BBC CNN nk hazitangazi. Hivyo tunapata taarifa kupitia vyanzo vingine.
Ukraine haswa kiev kumewaka moto. Oreskini karibia 70, Maelfu ya drone zikiwapo shahid zimeufanya mji wa kiev usikalike.
Punguza mahaba.
Baada ya Mtanange wa Iran Kuingia uzi huu uliwekwa kando tukapeleka majeshi HOMUZI sasa tutarudi ila tumeona Urusi kashikwa sana kende Putin analia lia tu siku hizi...SIjapita hapa siku nyingi sana. Wale wadau mliokuwa mnachangamsha huu uzi amani iwe juu yenu.
wale pro Russia na pro Ukraine. Huu uzi ulikuwa wa moto. Ila kwa sasa umepoa. Hata kama russia akipokea kipigo toka ukraine au ukraine akipata kipondo yoka kwa russia bado updete zinakuwa chache.
Leo umefufuka? Ngoja tuoneZelensiky katangaza siku 40 za kumfurusha mrusi huko Ukraine,siku zijazo zitakuwa za moto! Uzur zelensiky akitoa kauli lazima ishughulikiwe,baada ya kumpiga mkwala lukashenko wa Belarus kutoa zile relay stations kwa ajili drones za urusi, lukashenko aliona mambo yasiwe mengi,aliziondoa mara Moja🏃
Jamaa liongo hili hivi Ukraine pale kuna Nchi??? hata ndege hazipo ile nchi itachukua miaka 1000 kujirudi imeumizwa sana basi tu Nato wana njama zao pale..Zelensiky katangaza siku 40 za kumfurusha mrusi huko Ukraine,siku zijazo zitakuwa za moto! Uzur zelensiky akitoa kauli lazima ishughulikiwe,baada ya kumpiga mkwala lukashenko wa Belarus kutoa zile relay stations kwa ajili drones za urusi, lukashenko aliona mambo yasiwe mengi,aliziondoa mara Moja🏃
Binafsi nimejisika uruma sana kwa Putin hasa pale wawakilishi Wake walipojitokeza adharani pale Crimea na katangaza kwamba Crimea Haina mafta Tena! Ni aibu sana hasa kwa taifa lililojinasibu kama super pawa!Baada ya Mtanange wa Iran Kuingia uzi huu uliwekwa kando tukapeleka majeshi HOMUZI sasa tutarudi ila tumeona Urusi kashikwa sana kende Putin analia lia tu siku hizi...
🟪 OCCUPIED CRIMEA DECLARES A STATE OF EMERGENCY AS UKRAINE’S PRESSURE MOUNTSJamaa liongo hili hivi Ukraine pale kuna Nchi??? hata ndege hazipo ile nchi itachukua miaka 1000 kujirudi imeumizwa sana basi tu Nato wana njama zao pale..
🟪 OCCUPIED CRIMEA DECLARES A STATE OF EMERGENCY AS UKRAINE’S PRESSURE MOUNTSJamaa liongo hili hivi Ukraine pale kuna Nchi??? hata ndege hazipo ile nchi itachukua miaka 1000 kujirudi imeumizwa sana basi tu Nato wana njama zao pale..
Hatari. Vilianzia Crimea na vitaishia Moscow.🇺🇦 President Zelensky:
"We could take Moscow in three days. But we don't know what to do with a Third World country."
Vitu vingine kuvisoma ni vichekesho. Ukraine hii iliyopoteza 25% ya ardhi yake eti iichukue Moscow!?? Ilhali hata kurejesha maeneo yake kisanga.Hatari. Vilianzia Crimea na vitaishia Moscow.