Mimi napenda Habari kama izi za udaku "Putin kajinyea"Endelea kuamini hivyo.....na endelea kusubiri
Katika hili Putin kajinyea..time will tell.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Sa unafikiri kwa uchumi wako ulio nao utaishije saizi bila kuwategemea hao watu?Jana raisi wa Ukraine alitoa ya moyon kwamba ,hii vita dunia imebaki kupiga kelele tuu wakati wazee wa kazi wameshazama hadi mji mkuu,
Ni ajabu sana hawa mataifa ya magharibi kumwacha jamaa yao shimon,
Jamaa hawapokei simu tena wote wamebaki kupiga kelele .
Inatupasa Africa kutowashobokea hawa mataifa ya magharibi ,
Siku ya shida huwa wanazima simu ,na kujifanya kuweka vikwazo wakati mwanaume ulishauwawa saa nyingi
Asante Mzee wetu...Mungu akuweke.Adriz,
Hiki kitabu "Khrushchev Remembers,' ninacho toka 1970s na hiyo si cover yake kimefanywa binding kukihifadhi.
Humo ndimo Khrushchev anamueleza Tito alivyoweza kuwafurahisha wananchi wake kwa kupunguza "restrictions," za Ukomunisti.
Hii ikaifanya Yugoslavia iwe tofauti sana na nchi nyingine za Ulaya ya Mashariki.
Ndiyo hayo ya Mick Jagger na Rolling Stones na mavazi kama jeans niliyogusia katika video.
Mtu akitaka kujua shida iliyowafika Warusi WWII asome kitabu hiki "The Rise and Fall of The Third Reich," vipi Red Army ilivyopambana na Manazi wa Ujerumani.
Kama si "General Winter," Wajerumani walikuwa wanaiteka Urusi sijui dunia ingekuwaje hii leo.
Anahitaji mtu kuwa na "background," hii kuweza kuelewa mgogoro huu na kwa nini baadhi ya nchi zilizokuwa katika Soviet Union ziligeuka kuangalia Magharibi.
View attachment 2131472View attachment 2131476
Namuona luten denis urio kachil hapo kimamlaka zaidiMajeshi ya Afrika hayataki utani View attachment 2131510
Namkumbuka kaburu Pick Botha. Alinyosha maelezo kwenye ile hotuba iliyoitwa mbaya wakati ni ukweli mtupu. Labda uwasilishaji wake ndio ulikuwa mbaya.Kwani mmoja ya sababu ya Nchi za Ulaya kupuyanga puyanga kwenye issue hii ni kutokana na kwamba Ulaya inaihitaji Urusi kuliko Urusi anavyo ihitaji yeye.Pia bado kuna Nchi nyingi hazafungamana na NATO.
Population ya China+India tu ni zaidi ya 36% ya Watu wote Duniani,hii ni karibu Nusu ya watu wote Duniani-hili ni soko zuri na wote wana mashirikiano mazuri na Urusi.
Huwezi wapangia Ukraine nani awe Rais wao hicho ni kiherehere na ndicho Putin anafanya. Huyo Putin yuko wapi si yuko makazi yake Nova Ogaryovo amejificha na yuko Kremlin na vikao vya kuungwa mkono? Zelensky yuko field anapigana, aliyekwambia wanapigania ofisini mpaka wawe na settings za kurekodi hotuba wamekaa mezani nani. Zelensky is a hero na anaungwa mkono na raia.Shida kubwa nayoiona kwenye huu mgogoro ni rais wa Ukraine. Jamaa anaonekana hana sifa zozote za kiuongozi zaidi ya kuwa maarufu kwenye comed na Burudani nyingine za hovyo.
Huyu ni aina ya Watu kama George Weah na kina Bob Wayne. Ambao walikata kupewa madaraka makubwa wakati hawawezi kuongoza hata mkoa. Watu kama hawa ukiwapa nchi kwa sababu tu ni maarufu, matokea yake ndio hayo. Angetumia busara. If u can't fight them join them. Kashaiingiza nchi kwenye tabu kubwa na siku ya mwisho lazima akimbie na nchi kuwaachia warussia ambao wataweka vibaraka wao pale. Kwa siku ya 3 sasa Ukrane sio ile tena.
Kwa sasa wanazalisha wakimbizi, Miundo mbinu inaharibiwa, watu wanakufa, majengo yanabomolewa.
Kifupi serekali yq Ukraine imeshadondoshwa. Au tuseme imepinduliwa. Ukishaona rais anahutubia akiwa vichochoroni tena kwa kujificha basi jua kazi ishakuwa ngumu.
Safi sana mkuu...Umeandika vizuri sana.Huwezi wapangia Ukraine nani awe Rais wao hicho ni kiherehere na ndicho Putin anafanya. Huyo Putin yuko wapi si yuko makazi yake Nova Ogaryovo amejificha na yuko Kremlin na vikao vya kuungwa mkono? Zelensky yuko field anapigana, aliyemwambia wanapigania ofisini mpaka wawe na settings za kurekodi hotuba wamekaa mezani nani. Zelensky is a hero na anaungwa mkono na raia.
Serikali yake aliyoiunda inaungwa mkono na raia zaidi ya sana, kila wizara ya ulinzi inachosema raia wanafuata. Zelensky katangaza Marshal law hakuna aliyepinga, wizara ya ulinzi imezuia wanaume aged 18-60 kuondoka mjini Kyiv hakuna raia aliyepinga wanaume wanasindikiza watoto na wake zao kwenye vituo vya treni wanarudi wenyewe kushika silaha. Wizara ya ulinzi imesema raia watengeneze Molotov cocktails na wamefanya. Mpaka wazee wanaunga mkono wajuu wao wapiganie nchi.
Putin hana uwezo wa kwenda mtaani bila maandalizi wala kukaa na wanajeshi wasio presidential security guards. Zelensky anaenda kukaa na wanajeshi wenye live munitions uko unakoita vichochoroni wakati Putin kawaambia wampindue na hawataki. Wakati huo polisi nchini Urusi wanakamata waandamanaji wanaoipinga vita. Nani anakubalika hapo?
Urusi ilishaonya toka kitambo kwamba haitaruhusu kuona nguvu na ushawishi wa jumuia ya NATO inasogea karibu na mipaka yake !!!Kwa mtu yeyote anaeweza kunisaidia nn chanzo cha vita inayoendelea kati ya Ukraine na Russia, chimbuko lake hasa limeanzia wapi?
Usifikiri hilo dude lote ni kombora. Hilo linaloonekana kama tank ni kasha la kuhifadhia kombora lenyewe.Tangu vita ianze hizi silaha zimeshatumika?View attachment 2131517View attachment 2131518
Haviwezi kuja endelea... Sababu hizo nchi za ulaya zinategemea uwepo wa Russia ili kufanya uzalishaji katika nchi zao. Urusi si ndio mzalishaji mkubwa wa gesi hapo ulaya..?? Na inasambaa nchi nyingi za ulaya..??Sa unafikiri kwa uchumi wako ulio nao utaishije saizi bila kuwategemea hao watu?
Huyo mrusi tu saizi tunamuona gwiji lakini hivyo vikwazo alivypigwa kama vikiendelea lazima atayumba
Dunia ya sasa hivi inataka ushirikiano wa karibu ili uweze kujijenga, ukijetenga au kutengwa ni ngumu sana kutusua
NATO wako Poland kuvizia Ndege za Urusi zizakazojichanganya zikaingia Poland. Urusi hataki kuchokoza any NATO affiliate hata Kwa bahat mbaya sababu anajua hapo ndo anapotegewa.Ukraine itakuwa nchi ya mwisho Russia kuishambulia kuhusu mambo ya NATO. NATO naona wamekuja full hapo Poland na nchi za jirani.
Dunia iko wapi!??Jamaniii nimelia☹️😟😒😢😢😢
Yaani mtu anawaka kwenye kifua jamanii😢😢Mungu aweke muafaka mgogoro uisheDunia iko wapi!??
Sawa nafahamu. Aina ya lugha walizokuwa wakitumia rais wao (ukraine) mabalozi wao huko UN na Washington ndio zilikuwa na ukakasi.Mkuu una points. Ila chanzo mgogoro sio Raisi bali mikataba ya nyuma ya kujilinda mara tu baada ya kusambarika kwa USSR.
Amalizane kwanza na Ukraine ambaye ni weak mbele ya kina Poland na Finland. Russia uwezo wake uko exaggerated tukubali tu, vita atashinda ila weakness ashaonesha.Unakitaka kujuwa nguvu za Russia
Nadhani Russia yuko peke yake anapigana ila upande wa pili wamejikusanya kijiji halafu unataka kufananisha? Ok una maanisha Russia vs Finland au Russia vs Poland nadhani jibu utakuwa nalo ila hawa nchi zote wamejiunga pamoja NATO plus USA ili kumkabili Russia tu mtu mmoja vs Kijiji. aje mmoja mmoja kama mwezi tu Russia hajabeba sijui Estonia, Belgium,,,,,
Mkuu samahani Nirushie inbox haifungukis