President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mzee hebu ondoa upumbavu hapa. Nicola Tesla alishaga kufa 7 January 1943. Usilete ujuaji wakati vitu huvijui. Shutup your mouth.Hizo ni zilipendwa,sasa hivi kuna Elon Musk na Nicole Tesla. Vyombo vya uhakika na Gharama nafuu.
Mpuuzi huyo jamaa hajielew.....anataka kushindanisha wanaanga wa urusi wakongwe na takataka elon wa juzi hap ...kanikera kinomaMzee hebu ondoa upumbavu hapa. Nicola Tesla alishaga kufa 7 January 1943. Usilete ujuaji wakati vitu huvijui. Shutup your mouth.
Watakuja apa watoto kizazi cha Samia wakupinge kwa kushupaza mishingo yao.Hakuna taifa la kinyama na la kishenzi duniani na pia la kishetani kams Marekani...Marekani imeua watu katika sehemu mbalimbali duniani kwa mamilioni...imeua huko Somalia, Sudan, Afghanistani , Libya, Grenada, Congo, Argentina, Chile, Cuba, Vietnam, Irak na kadhalika...huko Japan iliua watu kwa maelfu kwa mabomu mawili ya nyuklia...ni taifa pekee liliowahi kutumia silaha za nyuklia. Imetumia silaha za sumu..napalm..huko Vietnam.....Marekani ndilo taifa duniani linaloongoza kuwa na silaha za sumu...Marekani ndilo taifa pekee lililofanya genocide kubwa duniani kwa kuwaa gamiza wahindi wekundu zaidi ya milioni 20...eti Marekani ndiyo kinara wa demokrasia?!?! Stupid...
Nadhani mfumo wetu wa elimu haupo sawa. Kumeibuka na kundi la watu wengi wajinga na wanajiona wanajua. Mtu ambaye hajui na anajifanya anajua huwa anaitwa mpumbavu.Mpuuzi huyo jamaa hajielew.....anataka kushindanisha wanaanga wa urusi wakongwe na takataka elon wa juzi hap ...kanikera kinoma
Ili kuepusha mapigano na watu kuuwawa hayo yote ni rahisi, jambo gumu ni kuwa west watamuambia akatae kitu ambacho Urusi itampa go ahead kuendelea kuyakalia kimabavu maeneo mengine ambapo itapelekea machungu zaidiFAHAMU ANACHOKITAKA PUTIN UKRAINE KWA SASA.
Madai ya Urusi yanaangukia katika makundi mawili
Madai manne ya kwanza, kwa mujibu wa Bwana Kalin, ni rahisi kwa kwa Ukraine kuyatekeleza.
Jambo ama dai kubwa kati ha hayo ni Ukraine kukubali kwamba inapaswa kutoegemea upande wowote na haipaswi kuomba kujiunga na Nato. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky tayari amekubali hilo.
Madai mengine ni kwamba Ukraine italazimika kupitia mchakato wa kuondoa silaha (mipakani) ili kuhakikisha kuwa si tishio kwa Urusi. Lazima kulindwa kwa lugha ya Kirusi nchini Ukraine. Na kuna kitu kinachoitwa de-Nazification.
Hilo sio la kufurahisha kwa Bwana Zelensky, ambaye yeye mwenyewe ni Myahudi na baadhi ya jamaa zao walikufa katika mauaji ya halaiki ya Holocaust, lakini upande wa Uturuki unaamini itakuwa rahisi kwa Bwana Zelensky kukubali. Labda itatosha kwa Ukraine kulaani aina zote za neo-Nazism na kuhaidi kuzuia uwepo wake.
Sehemu ya pili ya madai hayo, ndipo palipo na ugumu, na katika mazungumzo yake kwa njia ya simu, Putin alisema kuwa itahitaji mazungumzo ya ana kwa ana kati yake na Rais Zelensky kabla ya makubaliano kufikiwa. Bwana Zelensky tayari amesema kuwa yuko tayari kukutana na rais wa Urusi na kufanya mazungumzo naye moja kwa moja.
Bwana Kalin hakuwa muwazi sana kuhusu masuala yaliyopo kwenye kundi la pili, akisema tu kwamba yanahusisha hali ya Donbas, mashariki mwa Ukraine, sehemu ambazo tayari zimejitenga na Ukraine na kusisitiza ni sehemu ya Urusi, na hali ya Crimea.
Ingawa Bwana Kalin hakufafanua kwa undani zaidi, ila maelezo yake yanaleta dhana kwamba Urusi itaitaka serikali ya Ukraine kuachia eneo mashariki mwa Ukraine. Hatua hiyo itakuwa ya utata sana.
Dhana nyingine ni kwamba Urusi itaitaka Ukraine kukubali rasmi kwamba Crimea, ambayo Urusi iliichukua kinyume cha sheria mwaka 2014, kwamba ni sehemu ya Urusi. Ikiwa hili litakuwa jambo wanalolitaka Urusi, basi itakuwa kidonge kichungu kwa Ukraine kumeza.View attachment 2155710
Warusi gani hao anaofanya nao kazi?Uyo elon anafanya kazi na Warussi. Warussi wapo vzr masuala ya anga
Ilo la kuonana ambalo Putin ajaliweka wazi si jingine zaidi ya kutaka kumlawiti mtoto wa watu.akikubali tu kuonana na Putin, anaenda kuwa shoga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]FAHAMU ANACHOKITAKA PUTIN UKRAINE KWA SASA.
Madai ya Urusi yanaangukia katika makundi mawili
Madai manne ya kwanza, kwa mujibu wa Bwana Kalin, ni rahisi kwa kwa Ukraine kuyatekeleza.
Jambo ama dai kubwa kati ha hayo ni Ukraine kukubali kwamba inapaswa kutoegemea upande wowote na haipaswi kuomba kujiunga na Nato. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky tayari amekubali hilo.
Madai mengine ni kwamba Ukraine italazimika kupitia mchakato wa kuondoa silaha (mipakani) ili kuhakikisha kuwa si tishio kwa Urusi. Lazima kulindwa kwa lugha ya Kirusi nchini Ukraine. Na kuna kitu kinachoitwa de-Nazification.
Hilo sio la kufurahisha kwa Bwana Zelensky, ambaye yeye mwenyewe ni Myahudi na baadhi ya jamaa zao walikufa katika mauaji ya halaiki ya Holocaust, lakini upande wa Uturuki unaamini itakuwa rahisi kwa Bwana Zelensky kukubali. Labda itatosha kwa Ukraine kulaani aina zote za neo-Nazism na kuhaidi kuzuia uwepo wake.
Sehemu ya pili ya madai hayo, ndipo palipo na ugumu, na katika mazungumzo yake kwa njia ya simu, Putin alisema kuwa itahitaji mazungumzo ya ana kwa ana kati yake na Rais Zelensky kabla ya makubaliano kufikiwa. Bwana Zelensky tayari amesema kuwa yuko tayari kukutana na rais wa Urusi na kufanya mazungumzo naye moja kwa moja.
Bwana Kalin hakuwa muwazi sana kuhusu masuala yaliyopo kwenye kundi la pili, akisema tu kwamba yanahusisha hali ya Donbas, mashariki mwa Ukraine, sehemu ambazo tayari zimejitenga na Ukraine na kusisitiza ni sehemu ya Urusi, na hali ya Crimea.
Ingawa Bwana Kalin hakufafanua kwa undani zaidi, ila maelezo yake yanaleta dhana kwamba Urusi itaitaka serikali ya Ukraine kuachia eneo mashariki mwa Ukraine. Hatua hiyo itakuwa ya utata sana.
Dhana nyingine ni kwamba Urusi itaitaka Ukraine kukubali rasmi kwamba Crimea, ambayo Urusi iliichukua kinyume cha sheria mwaka 2014, kwamba ni sehemu ya Urusi. Ikiwa hili litakuwa jambo wanalolitaka Urusi, basi itakuwa kidonge kichungu kwa Ukraine kumeza.View attachment 2155710
Warusi gani hao anaofanya nao kazi?
Tupooooo...tumejaa tele ..tunasubiri US ...NATO wavuke mstari afu tufagie ulaya nzima na marekani[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]..
Hahahahaha bbc kadata,watu wanapeleka moto wao wanawaza kuchangiwa mahindi