bibingi
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 655
- 2,153
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...duhh we jamaa hata huruma huna ....unamaanaisha asingesalia kenge yoyote .....[emoji109][emoji109][emoji109]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...duhh we jamaa hata huruma huna ....unamaanaisha asingesalia kenge yoyote .....[emoji109][emoji109][emoji109]
Chechen wanapigana pande zote mbili. Hawa ni jeshi la chechen vibaraka wa Putin. Waasi wa chechen wanapigana bega kwa bega na majeshi ya Ukraine.Hawa Chechen wanamzuka haha
Aaah mechekaaaaa🤣🤣🤣😅😅Wanajeshi wa Urusi wanapigana wakiwa na njaa😂
View attachment 2155002
Wew kageuze mbona inaungua huko kwaakili zako za kimtogole naza huko uswekeni unahisi hilo ni bomu useless mind
Tupo sasa ndio nini toa maelezo tunaona picha tu ya satellite
Sister yangu. Kwenye mambo ya anga Russia ndiye anayeongoza.
SanaaaHawa Chechen wanamzuka haha
Ukiona watu wanazurura kuzunguka nyumba wakiwa na silaha za vita huku wewe uko ndani na unataka kutoka nje utafanyaje kama wewe ni mkuu wa majeshi utafanyaje na uwezo wa kuondoa hao wazururaji unao wenye silaha na unahisi ni majambaziAkiwa kwangu ndani ya ndoa sitokubali, lakini nikimtupa nje ya ndoa akaolewe huko sitomfuata, ndio najaribu kukuelewesha, hapo ulipo ukitupwa nje wewe gawa tunda lako kimasikhara maana aliyekua mumeo hana haki nawe tena.
Kwa hiyo warusi wao hawawezi kutengeneza hayo mabagia .....ni wamarekani na ulayaa tu ndo wenye uwezo wa kutengeneza hayo mangano....[emoji848][emoji848][emoji848]Usichokijua wazungu wote ni jamii moja mambo mengi ya kijamii wanafanana.
Hawawezi, wanachotaka kusikia ni protest dhidi ya Putin, hapo ndipo Us na allies wake wanachemsha.Rally in Moscow in support of the Russian army has already exceeded 200,000 people.
View attachment 2155510
Mkutano wa hadhara huko Moscow uki-support jeshi lao la Urusi tayari umezidi watu 200,000.
Jamaa wana Umoja sasa sijui wale wa upande wa kushoto wataiweka kwenye vyombo vyao vya habari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye comments section kuna hii poll sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et Most Evil Country [emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]
View attachment 2155515