Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,089
- 3,581
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema wanasheria wako wana-draft mkataba wa amani kati ya Ukraine na Russia. Anaomba Russia wasitishe kunyesheleza mizinga/mabomu kwenye miji ya Ukraine ili makubaliano yaweze kufikiwa.
Mwambieni ndugu Waziri kuwa hiyo mizinga ndiyo inaweka sawa akili/kichwa ya Zelensky, lazima iendelee hadi pale atakapokuwa kisha saini matakwa ya Putin.
View attachment 2155373
Hawa wajanja wajanja sana isije kuwa kama ile siku ya kwanza walitaka maongezi wenzao wakastopisha wao wakawa wanawashambulia wanajeshi wa Urusi afu wanapost eti tumewaua sijui nn sasa putin kaamua kichapo kinaendelea huku maongezi yakiendelea haha