Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Central Bank expects a decline in Russia's GDP in the coming quarters, indicators indicate a deterioration in the situation in the Russian economy.
Galip SV Liwagu
20220318_120357.png
 
Wakati Urusi anaanzisha huu ujinga mlitujazia nyuzi humu za misifa ya namna atamaliza hii shughuli ndani ya masaa, leo wiki zimepita kadhaa mnahangaika kuperuzi vituo vyote vya habari kutafuta matumaini na kujiliwaza
Tatizo ni kwamba pamoja na propaganda zenu za sijui URUSI ana pingwa.
Bado Ukraine itarazimika kukubali matakwa ya Urusi mm ninacho kiona hapa unapoteza muda tu.
Screenshot_20220316-100213.jpg


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni kwamba pamoja na propaganda zenu za sijui URUSI ana pingwa.
Bado Ukraine itarazimika kukubali matakwa ya Urusi mm ninacho kiona hapa unapoteza muda tu.View attachment 2155257

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app

Leo siku ya ngapi bado mnapiga makelele humu, wengi mumeshahema, wachache ndio mnaendelea kuchokora kote almradi iwape matumaini.
 
Asilimia 70 ya ngano inayotumika nchini imeagizwa Urusi na Ukraine- ndugu Watanzania msishangae bei ya Unga, chapati, mikate kupanda. Ndugu watanzania kumbukeni chanzo cha mfumuko ni Vladimir Putin.
View attachment 2155041

Afu kuna mtu wa buza kashiba kiporo cha makande huko alikua anaropoka hapa eti Hii vita haitaiathiri uchumi wetu sijui hatugemei kitu kule wala mafuta,gesi sijui blah blah.
 
Leo siku ya ngapi bado mnapiga makelele humu, wengi mumeshahema, wachache ndio mnaendelea kuchokora kote almradi iwape matumaini.
Ukraine ingekuwa inashanda vita kama mnavyo tuaminisha humu isingekuwa inalazimika kukubali matakwa ya Urusi ambayo walikuwa wanaya puuza miaka mingi tena kwa maneno ya kejeli ya huwezi kutupangia cha kufanya.
Haya sasa hivi imekuwaje mbona wamekubali kupangiwa?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom