Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
Hata Mimi nashangaa sanaHivi Russia mbona Kila siku wanapigana Hadi kwenye miji wanayosema wamekata
Hata Mimi nashangaa sanaHivi Russia mbona Kila siku wanapigana Hadi kwenye miji wanayosema wamekata
Tuletee weweWa Ukraine wako wapi?
Naona Putin analialia sasa,kweli Comedian Zelensky kamshika pabaya paper tiger.Putin told Scholz that the Kyiv regime is trying to drag out the negotiations, putting forward more and more unrealistic proposals - the Kremlin.
Galip SV Liwagu View attachment 2155155
Ni kweli, na uingezera imezuia raia wake kwenda kushirik vita Ukraine [emoji1255]Wakuu kuna madai kuwa mainjinia na makamanda wa marekani na uwingereza wameuawa leo asubuhu lviv
We shoga wa Mombasa umechoka kuitukana Russia sasa umehamia kwenye dini!?Haujanijibu kama mudy au alah huwapa mabikira kwa mnaokufa kwa niaba ya Warusi
Akili zimeanza kukurudia sasa hivi, mwanzo umeambiwa hapa hao Czechslovakia walikuwa upande wa USSR lkn ulibisha na vigoogle hata usivyoelewa.Sawa Richard...inaelekea unafuatilia masuala haya na pengine unafahamu mengi Kama ilivyo kwa baadhi humu ambao hawataki kusema lolote humu...Kuna kizazi Cha watanzania wengi wamesoma Eastern countries...ila Czechoslovakia haikuchapwa...Nadhani ilikuwa 1968 ...Pale Prague Czechoslovakia waliamka asubuhi wakakuta vifaru vya Warsaw pact vimejaa mitaani...uongozi ukaondolewa madarakani kiulaini...