NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
AU epitomizes an organization that is ineffective to the core, no one can take seriously any pronouncements from such a non entity.Rama haongezi wala hapunguzi chochote kama AU vile.
TUNASUBIRI. NI KIPIMO KIDOGO.Rally in Moscow in support of the Russian army has already exceeded 200,000 people.
View attachment 2155510
Mkutano wa hadhara huko Moscow uki-support jeshi lao la Urusi tayari umezidi watu 200,000.
Jamaa wana Umoja sasa sijui wale wa upande wa kushoto wataiweka kwenye vyombo vyao vya habari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah ila Russia wababe sana aisee.Kipondo kinaendelea View attachment 2155450
Hawajamaa wanajitesa tu sasa watazima moto mpaka lini Maghala ya Mabomu ya zamani bado hata robo hayajatolewa na Mizinga Mikubwa haijaanza kupiga jarambaKyiv yawaka moto, makombora na mizinga ya Russia yatikisa mji wa Kyiv.
Zima moto wahaha kuuzima moto mkubwa uliopelekewa mji huo na majeshi ys Russia
View attachment 2155339
Wakati Putin akiwasihi NATO waachane na mpango wao wa kuiingiza ukraine katika NATO walikua wanampuuza TU,Sasa wanaanza kulialia.Kansela wa Ujerumani amezungumza leo na Putin na kumuomba aitishe moto anaowapelekea Ukrain, na badala yake watumie diplomasia kutatua mzozo. Putin kamweleza Ukraine ndio wanasuasua ktk mazungumzo ya amani na sio Russia.
View attachment 2155447
Mizinga haitasimamisha mapigo mpaka malengo yetu yatimieWaziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema wanasheria wako wana-draft mkataba wa amani kati ya Ukraine na Russia. Anaomba Russia wasitishe kunyesheleza mizinga/mabomu kwenye miji ya Ukraine ili makubaliano yaweze kufikiwa.
Mwambieni ndugu Waziri kuwa hiyo mizinga ndiyo inaweka sawa akili/kichwa ya Zelensky, lazima iendelee hadi pale atakapokuwa kisha saini matakwa ya Putin.
View attachment 2155373
Sasa hivi wanajifanya eti wana busara nyiingi, 'Unafiki' tu.Wakati Putin akiwasihi NATO waachane na mpango wao wa kuiingiza ukraine katika NATO walikua wanampuuza TU,Sasa wanaanza kulialia.
Urusi haikuanza Leo wala Jana kuwaomba NATO waszidi kusogea east Sasa wanaona madhara yake.
DaYani mi naona putin anachelewa! Ningekuwa mimi Ukraine ingekuwa ni ardhi kwajili ya kilimo tu kwasasa!
Sent using Jamii Forums mobile app