Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Galip SV Liwagu
MNAZUNGUMZIAJE AFRICA KUTOKUWA NA UPANDE?
Wazungu genius sana, Wanaongelea African alafu wamemuweka black aongee.
SmartSelect_20220318-165434_Twitter.jpg
 
[emoji635][emoji1255] Chechen special forces help to evacuate children with families in the liberated areas of Mariupol



[emoji635][emoji1255] Vikosi maalum vya Chechnya vikisaidia kuwahamisha watoto na familia katika maeneo yaliyokombolewa ndani ya Mariupol

Me nasubir baadae nitangaziwe na BBC namna Russian Army inavouwa watoto na Raia hovyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu kiazi mbatata kweli kweli, tuchague upande ili waanze kutuingiza kwenye "Geopolitics Games zao"...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tutchagua upande JF tu ila so kama taifa... Wasitusumbue kabisa mbwa hawa [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Kumbe unakijua kisababishu cha Russia kuivamia Ukraine. Wenzako walichelewa ndiyo maana wanafanya remedy ila wewe Kenya ulistuka mapema ukafanya mauaji kabla ya issue kuwa kubwa
Nimekuuliza mumeo akikutupa nje ya hiyo ndoa yako, je atazuia usiliwe huko nje?
 
Huyu kiazi mbatata kweli kweli, tuchague upande ili waanze kutuingiza kwenye "Geopolitics Games zao"...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tutchagua upande JF tu ila so kama taifa... Wasitusumbue kabisa mbwa hawa [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Neutral ni nzuri kwa afya ya badaee, Especially nchi maskini hizi zinazoendelea.
 
[emoji635][emoji1255] Chechen special forces help to evacuate children with families in the liberated areas of Mariupol

View attachment 2155525

[emoji635][emoji1255] Vikosi maalum vya Chechnya vikisaidia kuwahamisha watoto na familia katika maeneo yaliyokombolewa ndani ya Mariupol

Me nasubir baadae nitangaziwe na BBC namna Russian Army inavouwa watoto na Raia hovyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huwez kuona hizo Kwenye media zao na ndio mana wamefungia za warusi ili waendelee kubrainwash watu
 
RT EXCLUSIVE with Russian FM Sergey Lavrov - HIGHLIGHTS


▪️UN vote on Russia's operation in Ukraine saw unprecedented pressure and blackmail on officials - with threats to seize assets or stop schooling for kids in US


▪️Brazil, China and Russia don't want Washington calling the shots


▪️Operation in Ukraine to protect civilians who've been bombed for 8 years, to demilitarize and denazification


▪️TikTok targets children to brainwash them, unfair act by US and rules are needed to create competition


▪️Information "terrorism" playing out, Germany's Bild newspaper claimed I turned back from trip to China - fake news habit a shame
 
Mkeo akilala na kisu kitandani utakubali???

Akiwa kwangu ndani ya ndoa sitokubali, lakini nikimtupa nje ya ndoa akaolewe huko sitomfuata, ndio najaribu kukuelewesha, hapo ulipo ukitupwa nje wewe gawa tunda lako kimasikhara maana aliyekua mumeo hana haki nawe tena.
 
Back
Top Bottom