Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Mwambie huyoKwa hiyo warusi wao hawawezi kutengeneza hayo mabagia .....ni wamarekani na ulayaa tu ndo wenye uwezo wa kutengeneza hayo mangano....[emoji848][emoji848][emoji848]
Mkenya kwenye ubora wakeVideo kama hizi lazima zinamfanya Putin akili zimuhame, yaani ameingia gharama ya mamia ya vifaru vyake kuliwa shaba, mindege kulipuliwa, maelfu ya wanajeshi Warusi kuuawa ila Kiev bado ipo na rais anadunda mtaani tena akitabasamu, alishauriwa vibaya, na kwa kwenye huu ugomvi tayari ameshaingia kwenye kumi na nane za Marekani na washirika wake, maana uchumi wa Urusi unaendelea kudondokea pua na itachukua muda mrefu sana kurejea kwenye hali ya awali.
Mmarekani ni mtu hatari sana, inawezekana muda wote huu alikuwa ametegeshea kutumia Ukraine kama namna ya kumfedhehesha Urusi na kumtia aibu, leo hii hata mataifa yaliyokua yanategemea nguvu ya Urusi yote yameufyta, Uarabuni hakuna anayesema, nafikiri hata Uchina wamejifunza kitu.
Inapaswa pale mnaogopana na mbabe wako, epuka viugomvi vidogo vidogo usije kuonyesha udhaifu wako, Mrusi angeifanya special operation apige mabomu kadhaa kwa mbali ya kimikakati ila asifanye ujinga wa kufuata ndani.
Hatari sana hao maostaadhHawa Chechen wanamzuka haha
Ukiona watu wanazurura kuzunguka nyumba wakiwa na silaha za vita huku wewe uko ndani na unataka kutoka nje utafanyaje kama wewe ni mkuu wa majeshi utafanyaje na uwezo wa kuondoa hao wazururaji unao wenye silaha na unahisi ni majambazi
Umenena vyema with "pure reasoning"...Hawawezi, wanachotaka kusikia ni protest dhidi ya Putin, hapo ndipo Us na allies wake wanachemsha.
Walichomuweza Russia ni kumbana economically, nalo hili lina walakini maana mpaka sasa Europe wanaagiza nishati Russia, hawajafunga benk zote kwenye mfumo wa swift. Ukweli mchungu ni kua kuna nchi za ulaya hazipendelei kinachoendelea ila US anawabana modomo.
Baada ya ww1 na ww2 ulaya hawataki kusikia tena mambo ya vita, lakini USA vita ni uchumi, viwanda vya silaha vina nguvu kwenye serikali. Hyo misaada na silaha zinazoenda Ukraine zitaifanya nchi hyo kuingia kwenye madeni makubwa sana kwa Us.
Ukifikiria kwa ndani sana, utaona USA ana 'prolong' hii vita isiishe mapema, wanamjaza Zelensky wa watu. Trust me, siku US na Russia wakikaa vita inaisha hapo hapo.
Na wale walo sema vijana kuanzia miaka 15 hakuna kutoka wapiganie nchi yao vpPutin Ni kichaa mtoto wa miaka 19 unampeleka vitani ili iweje?
Private self-propelled gunner David Harutyunyan, born in 2003 from Kyakhta, Buryatia, did not live to be 19 for a week. Contracto
Anajikomoa au anamkomoa Russia [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1200][emoji635]Cool news.
Poland announced "de-Russification of the economy".
The prime minister said that the country would soon give up Russian oil and gas.
He acknowledged that these measures would lead to higher prices.
For reference: Poland buys about 40% of the gas it consumes from the Russian Federation.
Kwani kuna nchi imelazimishwa unga mkono upande wowote?S.Afrika imewa gomea wamagharibi.View attachment 2155285
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Tatizo lenu mnajifanya mwajua kuliko Wamarekani wenyeweKama saudi arabia, Iran wataanza tumia mfumo mpya wa yuan kwenye mauzo/manunuzi ya oil/gas dollar itaanza poromoka aseee hii ni habari mbaya sana kwa US.
Transactions nyingi zinafanyika kwenye nishati hapa ndo naamini hawa jamaa walijipanga sana ndomana Russia hana habr na vikwazo.
Mchina atafaidika sana kama west wataendelea kaza. China uchumi wake utakua sana yuan itapanda thamani sana.
Ngoja tuendelee kucheki game la wakubwa litakapoishiaa.
Hizi ni habari mbaya sana kwa US.
Wewe ni mmarekani wa wapi mzee?Tatizo lenu mnajifanya mwajua kuliko Wamarekani wenyewe