Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky wrote
SmartSelect_20220318-182713_Twitter.jpg
download.jpeg
 
Mwanaume Putin kishasema kuwa ile S-300 ambayo nato yataka kuipeleka Ukraine ataiangamiza njiani kabla hata haijafika mikononi mwa Zelensky.

Kuna wajinga fulani hapa JF walidai ati itapitia Poland na kuingizwa magharibi mwa Ukraine mkoa wa Lviv...Wanajifanya wao wanaijua Ukraine zaidi kuliko hata Russia anavyoijua Ukraine. Huo mkoa wenyewe sasa hivi unapelekewa moto kinoumaaa. Tena Putin kwa kuonesha tu Ukongwe na dhihaka, anautumia mkoa huo makombora kwa kutumia madegevita ambayo wala hayaingii Ukraine (yanaruka tu kwenye anga la Russia na kunya makombora kwenda mbaali, magharibi ya Ukraine)

View attachment 2155572
Sikirimimimasikini,unajua Sasa hivi Mimi sitazami TV yoyote kupata habari za vita zadi nafatilia posts zako TU .
Zinatosha kuliko Al Jazeera,BBC,cmn,de ana the like.
Big up.
 

Shouldn't US first concern about civilian casualties caused by their decades of military operations?​

CCTV: US State Department Spokesperson Ned Price said that the US is concerned about Russian attacks on Ukrainian infrastructure which caused civilian casualties. However, China has yet to state its position explicitly. How does the foreign ministry view such criticism from other countries on China?


Zhao Lijian: Human lives are precious. Civilian casualties under all circumstances are heart-rending and lamentable. China has all along called for every effort to avoid civilian casualties. We still remember that in March 1999, the US-led NATO, without the Security Council’s mandate, flagrantly unleashed a ruthless bombing campaign against the Federal Republic of Yugoslavia for 78 days, killing at least 2,500 innocent civilians and injuring around 10,000 people, most of them civilians. Over the past two decades or so, the US conducted tens of thousands of air strikes in places like Syria, Iraq, Afghanistan and Somalia. The number of innocent civilians killed can be anywhere between 22,000 and 48,000. When professing its concern for the welfare of the Ukrainian people, shouldn’t the US first express concern over the civilian casualties caused by all these military operations?

China has all along held an objective and just position on the Ukraine issue. We have been taking concrete actions to promote talks for peace ever since the conflict broke out. Our just position and constructive efforts, witnessed by all, have received the understanding and support of the international community, especially the vast developing world. What China provides to Ukraine are much-needed humanitarian supplies such as food, baby formula, sleeping bags, quilts and damp-proof mats. In contrast, what the US provides to Ukraine are lethal weapons. On March 16, the US “announced an additional $800 million in security assistance to Ukraine, bringing the total US security assistance committed to Ukraine to $1 billion in just the past week”. Here I would like to share with you the list that Spokesperson Price mentioned. The new package includes, among others, 800 anti-aircraft systems, 9,000 portable, high-accuracy anti-armor systems, 7,000 small arms including machine guns and grenade launchers, and 20 million rounds of ammunition, artillery, and mortar rounds. The list goes on. Will the latest US assistance of weapons bring stability and security to Ukraine or cause more civilian casualties? Which do the civilians in Ukraine need more, food and sleeping bags or machine guns and mortar rounds? It won’t be difficult for anyone in his right mind with a shred of common sense to make the right call.
 
[emoji635][emoji1255][emoji298] The commander of the medical service of the Nazi regiment "Azov" who was captured while trying to leave Mariupol along the humanitarian corridor.

View attachment 2155591
View attachment 2155592

[emoji635][emoji1255][emoji298] Kamanda wa huduma ya matibabu ya Kikosi cha Nazi "Azov" ambaye amekamatwa wakati akijaribu kuondoka Mariupol along the humanitarian corridor.

Huyu mother kakamatwa akiwa anajaribu kutoroka... Mwanzo alijipost twitter kumbe wakamkariri sura [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hii habari nimeiona mahali nikajua ni mwaume kumbe mmama
 
🇷🇺President #Putin: Problems faced by millions of people in the West are the result of actions by the ruling elite of respective countries, their mistakes, short-sighted policies & ambitions. This elite is not thinking to improve the lives of citizens in Western countries
 
Karibu rafiki.
Ouk sauwa...

Maswali niliyoyashika ya huo mchina anayehojiwa.

Kaanza kwa kusema "Kama mwandishi wa habari unayefanya kazi na vyombo vya habari na wakala wa habari huko Ulaya, unahitaji kufikiria juu ya maswali yafuatayo."

1. As a culprit of Ukraine crisis, kwa nini Marekani inaendelea kuichafua China badala ya kutafakari hali ya usalama barani Ulaya iliyosababishwa na upanuzi wa mashariki wa NATO inayoongozwa na Marekani?

2. Kwa nini Marekani haisikilizi uchunguzi wa Dk. Kissinger na wataalam wengine kwamba Ukraine lazima isiwe kituo cha upande wowote dhidi ya nyingine?

3. Kwa nini Marekani haitafakari juu ya hatua yake ya kinafiki ya kutazama moto kutoka ng'ambo ya mto baada ya kuwasha moto huo?

4. Sina hakika kama ilitokea kwa Europeans kwamba USA ilikuwa na uwezo kamili wa kusukuma NATO upanuzi wa mashariki lakini haikutuma wanajeshi kusaidia watu wa Ukraine.

5. Je, umesahau kwamba Marekani ilikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuwahamisha raia na wanadiplomasia kuondoka Ukraine?

6. Je, umewahi kufikiria kwamba Marekani kamwe hawezi kutuma askari hata mmoja kupigana na kufa kwa ajili ya Ukraine?

7. Una mahusiano na vyombo vya habari kutoka Ulaya. Je Umewahi kufikiria kwa nini Ulaya imekuwa uwanja wa vita na uwanja wa mieleka wa ushindani wa nchi kubwa?

8. Kwa nini Ukraine imekuwa kibaraka cha kutolewa kafara katika mashindano makubwa ya nchi? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

9. Labda marafiki zetu nyie kutoka vyombo vya habari vya Ulaya mnapaswa pia kuuliza maswali haya kwa Marekani.

Kisha akamaliza kwa kusema the least thing US should do ni kupaka matope China ambayo haihusiani moja kwa moja.

Kwamba US serves only to reveal its guilty conscience na dhamiri yake yenye hatia na nia ya kweli ya kuhamisha lawama na faida kutokana na mgogoro wa Ukraine.

Hayo maswali sizan kama hata hao waandishi wanaeza kuwauliza viongozi wa kimagharibi.
 
WAMEKUTANA LINI? SAA NGAPI? View attachment 2155604
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] dah ila hivi vyombo vinajivua nguo sana awam hii...
 
Rossgram developer Alexander Zobov talks about the main "goodies" of the new platform that will be waiting for users:

- Own monetization system and access to paid content (the ability for bloggers to earn).

— Crowdfunding (the ability to collect money from the audience for their projects).

- Referral program (reward for referring friends to the platform).

— They promise a high level of personal data security.

- In the near future, it will be possible to transfer all your data from Instagram to Rossgram

- It is planned to develop an advertising account for users to create targeted advertising.

- Users from abroad will be able to create an account in the application, but it will be completely in Russian.
Galip SV Liwagu
IMG_20220318_185243_183.jpg
 
Head of the Russian delegation Medinsky:

- The neutral status of Ukraine and its non-entry into NATO are the topics on which Moscow and Kyiv have brought their negotiating positions as close as possible.

- Moscow and Kyiv are "halfway" on the issue of demilitarization of Ukraine within the framework of the ongoing negotiation process.

- "As for demilitarization, I would say 50 to 50. The fact is that I am not authorized to disclose any details of the negotiations and will not do so. Neither specific figures, nor the arguments of the negotiating parties."

- Medinsky added at the same time that these points have nuances related to security guarantees for Ukraine.

"The nuances related to what security guarantees Ukraine receives in addition to the existing ones in case of refusal to join the NATO bloc."
Galip SV Liwagu
20220318_120357.png
 
Back
Top Bottom