Hawawezi, wanachotaka kusikia ni protest dhidi ya Putin, hapo ndipo Us na allies wake wanachemsha.
Walichomuweza Russia ni kumbana economically, nalo hili lina walakini maana mpaka sasa Europe wanaagiza nishati Russia, hawajafunga benk zote kwenye mfumo wa swift. Ukweli mchungu ni kua kuna nchi za ulaya hazipendelei kinachoendelea ila US anawabana modomo.
Baada ya ww1 na ww2 ulaya hawataki kusikia tena mambo ya vita, lakini USA vita ni uchumi, viwanda vya silaha vina nguvu kwenye serikali. Hyo misaada na silaha zinazoenda Ukraine zitaifanya nchi hyo kuingia kwenye madeni makubwa sana kwa Us.
Ukifikiria kwa ndani sana, utaona USA ana 'prolong' hii vita isiishe mapema, wanamjaza Zelensky wa watu. Trust me, siku US na Russia wakikaa vita inaisha hapo hapo.