Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine yalalamika kuwa Russia kachagua wapiganaji wa kujitolea 1000 toka ktk jeshi la Bashar Assad na Hizbullah

Mwambieni Zelensky aache kupiga mayowe, tulishakubaliana toka mwanzo kuwa kwenye 'mechi' hii ni ruksa timu zote kusajili 'wachezaji' wowote toka nje

View attachment 2155764
Porojo..
 
Nilikuwa sijui kama Urusi inaogopwa kiasi hichi tena Marekani na NATO wamesema hadharani kuwa hawataingilia vita ya Urusi na Ukraine

Poleni sana Ukraine nyinyi sio wa kwanza kufanyiwa hivyo walishafanyiwa Iraq, Afikhanstani, na Libya
Sikiliza wewe Putin is like a perso who know will die tomorrow tafakari una deal naye vipi? Hivi unajuwa huko ndani ya Taifa lake hali ninzaidi ya tete? Unajuwa kichwa chake kinawidwa kama lulu? Just subiri. Dunia inapita wakati mgumu sana acha kabisa.
 
Vita "inayopiganwa" na Russia hapa JF ni kubwa kuliko vita inayoendelea huko Ukraine.
Inayopiganwa Ukraine ni kubwa ila huwezi kupata taarifa ila jua huko vita ni kubwa na watu wanakufa ovyo
20220318_215136.jpg
20220318_215151.jpg
 
Ila haya mambo ya ajabu sana, wiki inaisha nafatilia huu uzi kila Napo pata wasaa wa kuingia jf. Cha ajabu nikiona ukraini anachapika nafurahi sana nikiona urusi anasema anachapika napata karaha wakati hata Hawa jamaa siwafahamu wala nini ila kubwa tu nataka wajichanganye Mrusi amsambalatishe mmarekani hata kama na yeye atasambaa fresh tu ila wapotee wote
 
Back
Top Bottom