permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Ukiangalia nyuso ni kama wako msibani.Ni leo hii katika uwanja wa michezo mjini Moscow ukiwa umejaa warusi wakibeba bendera za Russia [emoji635] na kuchora katika miili yao.
Inaonekana wananchi wa urusi wanashauku kubwa na wanaunga mkono hii vita kwa zaidi ya 90 % . Jioneee pictures nilizojaribu kuzipata kwenye TV. View attachment 2155762View attachment 2155763View attachment 2155765View attachment 2155766View attachment 2155767View attachment 2155768View attachment 2155769View attachment 2155770View attachment 2155771View attachment 2155772