Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kaka unajaribu kupinda maneno na habari. Hakuna neno kutoka Marekani (jinsi unavyodai) la kuthibitisha kuwepo kwa maabara ya kuunda silaha za kibiolojia.
Umoja wa Mataifa (kitengo kinachochungulia silaha) ulieleza hadharani hakuna dalili ya kuundwa kwa silaha za kibiolojia katika Ukraine.
Al Jazeera (isiyo kimagharibi) imeita madai ya Urusi fake (conspiracy theory..)

NATO haiko Ukraine (kama ingekuwepo Putin angeogopa kuingia, tazama Estonia ambako NATO iko)

Naona umekubali kudanganyika nawewe,Hao mbwa hawawezi kukubali hata kidogo na wanajua UN ni yao so lazima wawatee.
 
Kaka unajaribu kupinda maneno na habari. Hakuna neno kutoka Marekani (jinsi unavyodai) la kuthibitisha kuwepo kwa maabara ya kuunda silaha za kibiolojia.
Umoja wa Mataifa (kitengo kinachochungulia silaha) ulieleza hadharani hakuna dalili ya kuundwa kwa silaha za kibiolojia katika Ukraine.
Al Jazeera (isiyo kimagharibi) imeita madai ya Urusi fake (conspiracy theory..)

NATO haiko Ukraine (kama ingekuwepo Putin angeogopa kuingia, tazama Estonia ambako NATO iko)

Sasa mzee kwa akili yako unafikir US atakubali?
 
Ni leo hii katika uwanja wa michezo mjini Moscow ukiwa umejaa warusi wakibeba bendera za Russia [emoji635] na kuchora katika miili yao.

Inaonekana wananchi wa urusi wanashauku kubwa na wanaunga mkono hii vita kwa zaidi ya 90 % . Jioneee pictures nilizojaribu kuzipata kwenye TV. View attachment 2155762View attachment 2155763View attachment 2155765View attachment 2155766View attachment 2155767View attachment 2155768View attachment 2155769View attachment 2155770View attachment 2155771View attachment 2155772
Z
status_me_status_IMG-20220312-WA0000.jpg
 
Putin ana haki ya kuwa kichaa.Hii ndio orodha ya makamanda wake waandamizi waliouwawa Ukraine:
dead high-ranking officials of Russia
▪️Major General Tushaev Magomed
▪️ Major General Gerasimov Vitaly
▪️ Major General Andrey Kolesnikov
▪️ Major General Andrei Sukhovetsky
▪️ Colonel Andrey Zakharov
▪️ Colonel Porokhnya Sergey
▪️ Colonel Nikolaev Igor
▪️ lieutenant colonel Agarkov Yuri
▪️ Lieutenant Colonel Dmitry Sofronov
▪️ Lieutenant Colonel Yermolin Mikhail

View attachment 2155736
Russia iliziweka standby battalion za infantry Kama 136, battalion tano za airborne, battalion sita za special coops/chechen Hawa sio makomandoo rasmi ila wamechanganyika CDO,LAKERS,SWIPPERS,NA SNIPER. Division Moja ya air Force na Navy pamoja na wapiganaji waliokuwa Katika jamhuri za mashariki mwa Ukraine tuliyo yatambua rasmi hivi karibuni. Ila wastan wa wapiganaji walioingia haizidi 90,000 inamaana kunauwezekano wa uwepo wa brigedi Kama NATO inavyo tambua maana sisi wachechen hatupigani kibrigedi tukitoka level ya battalion tunailuka hiyo level ya brigedi hivyo tunakua na rivisio ya mapigo.Fire division
Sasa kwa tafsiri hyo huko Ukraine kuna
Division zisizo pungua 4 au 5 pia utambue hatuko vitani tuko kwenye mazoezi,ambayo yameambatana na operation maalum.
1/ Division ya vikosi vya vifaru
2/ Division ya mizinga
3/ Division ya vikosi maalum
4/ Division ya Lakers
5/ Logistics and supplies team. Na hapa ndio hata Mimi nakiri Kuna udhaifu qmbqo hata hivyo umesha fanyiwa kazi. Kama ndio wange jichanganya wakakutana na vikosi vya chief Hangaya Basi ule msafara wa 65km ungefika msafara wa mita 100. Ila unaona pia udhaifu wa Ukraine walishindwa kushambuliwa kwa MRLs na Artillery? KU okea mbali mpaka wakaatarisha maisha ya vijana wao unaenda kufanya ambushi kwenye msafara Kama ule na vi ant🐜 tank?. Ant tank s h mu yake Ni kwenye nope nikupe au ambushi ya misafara midogo dogo ya kimapigano.
Pia Kuna Batallion mbili zilizoingia kuteka Antonov air port na karkiev
Alafu ndio
6/ air suppor ambayo wanaruka kutokea urusini Moja kwa Moja.



Naomba unibishie kwa hoja tubishane kistaarabu. Sisi warusi wa Nakapanya hapa na nyie wa Ukraine wa ibera makubi
 
Putin kapeleka huko Ukraine Askari ambao sehemu kubwa ni JKT ya Russia...Askari wenyewe ambao ni trained wako Mpakani wakisubiri Kuona Kama NATO atajilipua kwa kutia mguu vitani...hata air Force ya Russia inayotumika huko Ukraine ni chini ya asilimia tano ya air Force yake..asilimia nyingine wanaisubiri NATO...
Mkuu ulivyoandika umenikumbusha Waziri wa Habari na Propaganda wa Saddam Hussein wakati wa vita na Marekani aliyeitwa Abu Sayaff!
 
Ndiyo kaka! Unaelewa unachoandika? Maana yake ni Jeshi la Anga la Kirusi lilishindwa kunyamazisha utetezi wa anga wa Ukraine.
Utetezi huu unafanywa na roketi za Kirusi aina ya SAM. Waliharibu sehemu kubwa, lakini walishindwa kumaliza kazi. Ambayo ni udhaifu
Naam kaka, utetezi wa anga la Ukraine wafanywa na S-300 kwa kutumia makombora (SAM) kama ulivyogusia.

Sidhani kama Russia kutomaliza kazi ya kuharibu air-defense capability ya Ukrain walifanya udhaifu au uzembe. Unajua nchi nyingi huwa na idadi kuwa ya mitambo ya kulinda anga. Mfano Ukraine tunayozungumzia sasa, inamiliki pcs 250 za S-300. Sasa kuziharibu mpaka uje kuzimaliza zote 250 hiyo sio shughuli rahisi kwa jeshi lolote lile. Lazima nyingine zitanusurika tu


SmartSelect_20220318-224047_Chrome.jpg
 
Sijali kama Putin au Biden anakubali au anakataa. Nataja yale ambayo ni dhahiri:
1. Ukraine hakuna serikali ya NeoNazi wala maandalizi ya silaha za kibiolojia
2. Urusi haiko Ukraine kujitetea lakini kushambulia kwa kuvunja sheria ya kimataifa
3. NATO haiko Ukraine, kama ingekuwepo Putin angeogopa kuingia.
Sasa mzee kwa akili yako unafikir US atakubali?
 
Ndugu yangu. Hivi unajua Kama hayo madege na makombola yanayotumika.Niyakipindi Cha USSR, yaaani makombola ya Urusi yenyewe bado hayajatumika. Maana zile stop za zamani ndio zinafanuiwa usafi wataalamu wa silaha ( weapons technician) wameshauri zile silaha za miaka ya (1956 mpaka1980) ndio zitumike.

Yaaani huo Moto unao uona ilitakiwa WANATO ndio wapigane nao miaka ya 90s, Sasa kwa wataalamu wa mambo wanakwambia hayo makombola yanayopigwa ni yakizamani ambayo hiyo technician council imeshauri yaondolewe ili maghara yafanyiwe usafi waanze kuupakia mzigo mpya.

Just imagine kombola linapigwa more than 400 miles Tena na madege ya kizamani alafu linahit target more than 95%. Je likipigwa Iskander2Er2008 itakuaje au. Wao wamerika wanakwambia urusi waijuayo bado haijatumika nguvu zake.
Kwa maana nyingine Russia imetumia wapiganaji kutoka huko huko Ukraine majimbo ya mashariki na jamhuri za ndani za kusini mwa urusi, walio Anza kukusanywa kwa muda kidogo ili kuja kuiangueha serikali dhalimubya Kiev. Wakapewa na masilaha ambayo taifa tukufu la Urusi limeona hazina Tena thamani Katika stop zao.mimi nimewaambia pro NATO waniambie 4th+ au 5th generation ya silaha iliyo tumika Ukraine ndio na Mimi nianze rasmi kubishana.
Pia mkumbuke silaha wanaso zikimbia na kuzitelekeza Ukraine Russia anazichapa Z au V Kisha zinaendelea na mapigo kutokea upande wa Urusi, simm jionea jinsi walivyo ziacha makambini wilaha nyingi. Mrusi anakamata regiment ya vifaru alafu anaingia nazo mzigoni Kisha Ukraine wakipiga vifaru kumi Kati ya zaidi ya 80 vilivyo tekwa Basi inakua ndio Habari kuanzia CNN, BBC, na wengine wengi wengitu.
Kwa tafsiri ya kivita kuupiga mkoa wa lviv Ni kutoa onyo kua chochote popote panapigika. Hivyo supporters wanaweza kushambuliwa Bora wakae mbali na mziki mziki.
Hivi huu utoto na upumbavu wa kusema kuwa eti Urusi anatumia silaha za zamani na si mpya mnamwambia nani,kwani nani kamkataza kutumia hizo silaha mpya au ndio mnatafuta sababu ya kushindwa vita? Sasa atumie hizo mpya tuone maana huu ujinga hatujawahi kuona wala kuusikia pale Marekani anapopigana vita vyake.
 
Hii thread ishakuwa kama story za Shigongo imepoteza mvuto kabisa watu walitarajia mambo yangeisha mapema ila inavyoonekana imekuwa kama series za kikorea.
Tatizo Urusi alituahidi ndani ya siku tatu atakuwa kashafika Kyiv na kumkamata Zelensky sasa mambo yamekuwa tofauti.
 
Naona umekubali kudanganyika nawewe,Hao mbwa hawawezi kukubali hata kidogo na wanajua UN ni yao so lazima wawatee.
Ndugu ukiacha utu katika lugha yake kumwita mtu "mbwa" basi unaondoa utu wako mwenyewe.
UN kuwa ya nani?? Umoja wa Mataifa ni chombo cha mataifa yote (na hapa kuna udhaifu wake kwa sababu inahitaji shikamano ya wengi). Hata hivyo kura ya mataifa mengi zaidi ya 180 kutaja vita ya Urusi mashambulio na kuvunjika kwa sheria ni hatua muhimu. Pende usipende.
Taasisi za UM zilikosoa pande nyingi zikitafuta ukweli. Hujaleta sababu hata 1 kwa kumwaga matusi yako.
 
Putin kapeleka huko Ukraine Askari ambao sehemu kubwa ni JKT ya Russia...Askari wenyewe ambao ni trained wako Mpakani wakisubiri Kuona Kama NATO atajilipua kwa kutia mguu vitani...hata air Force ya Russia inayotumika huko Ukraine ni chini ya asilimia tano ya air Force yake..asilimia nyingine wanaisubiri NATO...
Hahahahhh ucheshi huu tunaupata channel gani?
 
Sijali kama Putin au Biden anakubali au anakataa. Nataja yale ambayo ni dhahiri:
1. Ukraine hakuna serikali ya NeoNazi wala maandalizi ya silaha za kibiolojia
2. Urusi haiko Ukraine kujitetea lakini kushambulia kwa kuvunja sheria ya kimataifa
3. NATO haiko Ukraine, kama ingekuwepo Putin angeogopa kuingia.

Mbna hujajibu hoja yangu unakimbilia mambo mengine kabisa. Uyo mmarekani amevunja sheria za kimataifa ngapi mpaka sasa?

Mataifa zaid ya 30 yanaungana kisa mtu mmoja huu ni udhaifu na uwoga wa hali ya Juu. Taifa moja ndo linawaumiza kichwa NATO[emoji38].
 
Mzee unafikir US akiingia NATO nao wataingia kwa upande wa Russia kuna china, India, korea, Iran nk nao watamuunga mkono kumbuka Russia ananguvu kubwa sana Asia wengi wanamuunga mkono.

Hio itakua WW3 na mmarekani hawezi ingia kama hujui mmarekani anatafutwa ajichanganye na hao NATO.
Yaani China,India,Iran waingie kwa ujinga uliosababisha wewe mwenyewe? Kwanza hakuna muungano wa India na China sababu hao tuu ni maadui,hujui Geopolitics wewe.
 
Back
Top Bottom