lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Da Hawa wa Chechen wejizolea umaarufi mkubwa sanaAfu inasemekana hilo jukumu la kuwasachi kila sehemu ya
mwili wamepewa Wachechen
Da Hawa wa Chechen wejizolea umaarufi mkubwa sanaAfu inasemekana hilo jukumu la kuwasachi kila sehemu ya
mwili wamepewa Wachechen
Nimekwambia hayo mahaba uliyonayo kama ungekuwa unaweza mpe mkeo atakushukuru kila kukicha... Hv hata hiyo taarifa umeisoma kweli? Au umekurupuka kujibu?
View attachment 2153411
Umekielewe kweli anachokizungumza apo? Hyo the Mirror aloweka Profile bendera ya Ukraine ni ya Russia?
Nakuuliza tena umeyasoma hayo maelezo kwenye hiyo tweet?
Anyway nenda kajifunze ulimwengu zaidi....
![]()
The National Pulse
thenationalpulse.com
US under secretary of state Nuland akiri uwepo wa hiz labs af we bro na mahaba ako wakana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko we unajua kuliko yeye sio?
Endelea kuongeza maarifa uku The Pentagon Bio-weapons - Dilyana.bg
Na kingine kuna yule former national security advisor na director wa DIA Defence Intelligent Agent Michale T. Flynn kafatilie anazungumza nn kuhusu taifa lake juu ya hizo Biolabs Ukraine... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivo na mahaba ni sawa na CCM watuhumiwe kuhusu ben Saanane af atokee mtu na mahaba ake kama wewe ukane kabisa uwepo wa ben Saanane... Kwamba hakuna mtu anayeitwa ben Saanane...
Punguza mahaba urejeshe Utashi wako.
Hata Russia kwani hayupo kwenye ile peak kabisa akikutana na wababe wenzake hapo ndipo tutaona mbivu na mbichiHata mimi sipendi vita, ila watu wanachonga sana eti US anamuogopa Russia. Bora inyeshe tu tuone panapovuja!
Sawa sawa!!Hata Russia kwani hayupo kwenye ile peak kabisa akikutana na wababe wenzake hapo ndipo tutaona mbivu na mbichi
Ndugu yangu. Hivi unajua Kama hayo madege na makombola yanayotumika.Niyakipindi Cha USSR, yaaani makombola ya Urusi yenyewe bado hayajatumika. Maana zile stop za zamani ndio zinafanuiwa usafi wataalamu wa silaha ( weapons technician) wameshauri zile silaha za miaka ya (1956 mpaka1980) ndio zitumike.Mwanaume Putin kishasema kuwa ile S-300 ambayo nato yataka kuipeleka Ukraine ataiangamiza njiani kabla hata haijafika mikononi mwa Zelensky.
Kuna wajinga fulani hapa JF walidai ati itapitia Poland na kuingizwa magharibi mwa Ukraine mkoa wa Lviv...Wanajifanya wao wanaijua Ukraine zaidi kuliko hata Russia anavyoijua Ukraine. Huo mkoa wenyewe sasa hivi unapelekewa moto kinoumaaa. Tena Putin kwa kuonesha tu Ukongwe na dhihaka, anautumia mkoa huo makombora kwa kutumia madegevita ambayo wala hayaingii Ukraine (yanaruka tu kwenye anga la Russia na kunya makombora kwenda mbaali, magharibi ya Ukraine)
View attachment 2155572
![]()
Russia says will attack Slovakia’s S-300 missile supplies to Ukraine | Euractiv
Russia said on Friday (18 March) it will attack potential supply chains of S-300 air defence systems to Ukraine, following Slovakia’s statement that it is ready to send them to Ukraine if they are immediately replaced.www.euractiv.com
Trying....
Kwahyo wote hao wamelipwa? Ina maana wa russia wanataka nukes za nato pale ukraine? Wazungu wanajielewa.Bado mdogo na mchanga sana kifikra na inaonyesha wazi hujawahi kufatilia siasa za madikteta zinafanyaje kazi
Kuna ambao wamewadaka naona walitaka kuwasilimisha maana kwenye video wanawafundisha kuongea kiarabu sema hawa Azov wanapata shida sana aiseAfu inasemekana hilo jukumu la kuwasachi kila sehemu ya
mwili wamepewa Wachechen
Wanato watajua China in promote wing Chun.code zinawashinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapewe msafahafuKuna ambao wamewadaka naona walitaka kuwasilimisha maana kwenye video wanawafundisha kuongea kiarabu sema hawa Azov wanapata shida sana aise
Kaka usiwaogopeshe Sana wasije wakawahi kusurrender, tukashindwa kumaliza azma yetu ya kufanya ulaya Iwe na nchi hata Moja inayofanana na Syria
Duh....Asante Sana Ndugu ...thank you ...Watakuja apa watoto kizazi cha Samia wakupinge kwa kushupaza mishingo yao.
Binafs kuna wakati huwa nawachukia sana wale viumbe ila kuna mda najisahihisha pia kwa kusema "not all Americans" wana'support upuuzi unaofanywa na viongozi wao.
Mfano ni huyu mzee ila aliishia kubambikiziwa kesi juu ya kesi...
View attachment 2155717
Ukimskiliza anaongea kwa uchungu sana.
Ndiyo kaka! Unaelewa unachoandika? Maana yake ni Jeshi la Anga la Kirusi lilishindwa kunyamazisha utetezi wa anga wa Ukraine.Acha uongo mkuu, uwe wafatilia mambo kwanza kabla ya kutuletea porojo za kwenye vijiwe vya kahawa.
Maofisa wa Pentago wenyewe wanasema kuwa anga la Ukraine linalindwa na air-defense systems, na ktk mashambulizi mengi ya kutumia ndegevita, Russia hushambulia Ukraine ilihali ndegevita hizo zikiwa kwenye anga la Russia. Hiyo ni kwa ajili ya kuepuka ndege zake kudunguliwa endapo zikiingia kwenye anga la Ukraine linalolindwa.
View attachment 2152845
😂😂😂 hapana nadhani ni reserve wa DPR.Afu inasemekana hilo jukumu la kuwasachi kila sehemu ya
mwili wamepewa Wachechen
Viumbe waliostaarabika?? Machoni pangu hawaonekani Kiarabu sana (siyo maana ya ku-staarabika" ni kufanana na Waarabu?). Hijabu imepungua kidogo, au?[emoji3544] Warning: Explicit Content[emoji779]️
[emoji635][emoji1255] This Is Another Level of Retardation!!
Take That Putin…
[emoji1109] Tbilisi Georgia
View attachment 2154898
"Viumbe waliostaarabika" wakihamasisha kua "Putin is War Criminal", "Putin Stop War" ajab zaidi nyuma yupo afande anawalinda...
Na hiyo ndio Western culture tunayoihtaji... Freedom with no responsibility [emoji847][emoji119]
Wallahi mungu anakuona,atakulipa kwa hiliHuyo baki 3 alikuwa anajua hilo ni bomb[emoji378]