Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
VIVA PUTINKansela wa Ujerumani amezungumza leo na Putin na kumuomba aitishe moto anaowapelekea Ukrain, na badala yake watumie diplomasia kutatua mzozo. Putin kamweleza Ukraine ndio wanasuasua ktk mazungumzo ya amani na sio Russia.
View attachment 2155447
Zelensky keshasema USA na nato Ni waoga. Wewe Ni Nani umpinge[emoji3]Binafsi naombea US aingie tuone itakuwaje. Na mpaka sasa hivi inaonekana kama US inatafuta kisingizio cha kuingia vitani.
Asante sana green Rajab,nakufuatilia Kila post Yako,nimesusa kabisa kuangalia tv,kwa sababu habari zako zinajibu kiu yangu ,na habari kama hizi siwezi kiziona CNN,BBC na ndugu zao.Ndege ya Jeshi la Marekani imeanguka Norway ikiwa na wanajeshi wanne zitashushwa kwa electronic jamming system
Umefuatilia sherehe ya jana au unafyatukaSikiliza wewe Putin is like a perso who know will die tomorrow tafakari una deal naye vipi? Hivi unajuwa huko ndani ya Taifa lake hali ninzaidi ya tete? Unajuwa kichwa chake kinawidwa kama lulu? Just subiri. Dunia inapita wakati mgumu sana acha kabisa.
Ingekua imeanguka ndege ya Urusi saa hizi ungesikia ,"ooh unaona Sasa vi ndege vya Urusi vinaanguka vyenyewe Sasa Hawa ndo wakapigane na NATO au US"
LoL!
Chokozeni tu basiSidhani China itaingia upande wa Urusi, wala Uhindi. Wote wawili wanajikunja kwa sababu wanachukia vita ya Putin lakini wanataka kutunza ushirikiano na Urusi. Wote wawili hawakupinga azimio la Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kukosoa uvamizi wa Urusi, walipendelea kuabstain.
Kuota ndoto ni tamu, ila kwa bahati mbaya tunapaswa kuamka.
Warusi wenu hao ndo wamukufaHumo sindo walikua wanajificha
Redcross inabidi wakawatate hao watu wenyeweMkuu umetazama picha lakini? Aloo ni unyama wa hali ya juu.
Yanini yote haya wakati ilikuwa inawezekana kumeet demand kirahisi.
Disband Azov battalion.
Usijiunge Nato.
Yatambue majimbo yaliyopo eneo la Donbass, basi ingekuwa imeisha.
Kutafuta sifa duniani kwa speech kila siku kuhutubia mataifa ya magharibi, Ona sasa.
Asa hata marekani akileta stingers anakuja kutumia nani? Zitakaa wapi zisionekane.....
Atatumia nani wanajeshi wamepoteza ari kabisa.
View attachment 2155929View attachment 2155930View attachment 2155932View attachment 2155933View attachment 2155934View attachment 2155935View attachment 2155936
Cheki kama hawa chini inaonekana walikuwa kwenye kitanda sijui. Aseeeee.....dah!View attachment 2155937View attachment 2155938
Hao ni Warusi ndo wameuawaNgoja wakitoka hapo wataanza kusema tunawashinda na kuwauwa kama kuku warusi.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Wenyewe wanajua hao waliokufa ni UkraineWatakaa wapi sasa mkuu?
Kwenye mashimo?
Kwa uelewa wangu Mdogo kama Air superioty mmeshazidiwa.
Hiyo vita ni 60% mmepoteza.