LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
NATO Ni Wazee wa vitisho kibao, utekelezaji sifuri.

Putin Hana Maneno mengi, Yuko focused[emoji4]
 
Tuache wauane hakuna huruma.Nashangaa Watanzania wanavyolia lia ilhali wakati wanasoma kuhusu ukoloni na utumwa kwenye vitabu walikua wanasoma Kama gazeti and funny stories.

#KARMA
 
Mkuu huyu raisi wa Ukraine nimempenda bure jinsi ambavyo yuko tiyari kwa ajili ya kuitetea nchi yake hata kufa maana angekuwa mwingine sasa hivi angekuwa amesha ikimbia nchi.

Ila alicho nikera ni kuwapa raia siraha ambao awana mafunzo yoyote huu ni uharifu wa kivita kwa mujibu wa sheria za kimataifa na atasabisha maelfu ya raia wake kuawa zaidi.

Alafu mkuu bado huja nipa ufafanuzi mzuri kwann una iponda Russia ya kwamba ni dhahifu ali ya kuwa mm naona imetumia muda mfupi sana kuingia mji mkuu tofati na nilivyo kuwa nategemea?

Mbona Marekani alitumia muda mwingi kufika Baghidad lakini licha ya kuwa na washirika kibao?
 
vita haihusishi wanajeshi peke yake, hadi wananchi wanaweza kuwa na mchango refer kwenye vita ya kagera
 
Na hicho hakiwezekani kwa sababu rais wengi wanachukua silaha ku defend miji yao,Urusi atafakiniwa kuiteka Kyiv lakini in long run nchi haitatawalika hata siku moja...
Kitendo Cha Raisi wa Ukraine kusambaza Siraha kwa Raia tayari hiyo nchi haitawaliki Tena. Hiyo ni Somalia Mpya kabisa,Marekani alikimbia Somalia baada ya Kuona nyomi ya Raia inakuja na AK-47. Kufanya Uchunguzi akagundua Kila Nyumba moja Mji wa Mogadishu ina RPG ya Kutungulia Ndege,hapo akaona hii Vita haiwezekani Tena.
 
Putin ni msssssenge sana yule qumer. Na wanaomshabikia ni watoto wadogo wanaokaa kwa wazazi wao. Huwezi ukawa una interest na uchumi halafu ukafurahia vita
Wewe ndiye mpumbavu usimtukane mjomba angu Dume la dunia Vladmyr Putin kama kado unakaa kwenu usidhani ni wote afu ubakize maneno asije kukusikia ukajikuta marinda hayapo pia uwe na adabu unapolitaja jina la PUTIN JOGOO LA DUNIA nalog off.
 
vita haihusishi wanajeshi peke yake, hadi wananchi wanaweza kuwa na mchango refer kwenye vita ya kagera
Basi wakiuawa tusianze kulialia kuwa Urusi wameua raia wa Ukraine.As long as wameshika silaha wao ni wapiganaji.Tusianze tafuta huruma kwenye mass media.
 
Ukiangalia tv ya urusi ambayo ni namba 240 ktk king'amuzi cha azam, Russia Today unakuja jua kwamba bbc na cnn kwa kiasi kikubwa stori zao hazijabalansi hata kidogo...
 
Putin ni msssssenge sana yule qumer. Na wanaomshabikia ni watoto wadogo wanaokaa kwa wazazi wao. Huwezi ukawa una interest na uchumi halafu ukafurahia vita
Angalia RT kubalansi stori unayolishwa na bbc
 
Natamani huyo Pilot apewe F-22 Raptor na Ukraine ipewe hata DAVID SLING ya Israel,hapo Mambo yatakuwa Yamebalance Kidogo. Mambo ya kupigana huku mmoja kafungwa Kama Miguu na Mikono ni Uonevu.
 
Ushahidi upo wa video wanajeshi wa Urusi wanaiba chakula kwenye supermarkets. Waliokamatwa sehemu tofauti tofauti wanadai hawakujua kama wanavamia wao waliambiwa wanafanya mazoezi ghafla wakawa Ukraine wakaambiwa washambulie. Maandalizi hayakuwepo makubwa kwa sababu walijua watatumia muda kidogo kuvamia, hakuna supplies za chakula wala mafuta na vifaa vingine vimeishiwa mafuta. Wanajeshi wa Urusi hawana taarifa ya kinachoendelea, hawajui wanashinda au wanashindwa. Morali ya Warusi iko chini hata performance ndio maana sio nzuri sana.

Mapigano pale Kyiv yamejikita zaidi kwenye kutumia saboteurs wakivaa sare za Ukraine kujipenyeza. Russian tanks bado hazijaingizwa mjini ila jana jioni niliona video clip ya colum ya vifaru vingi mpakani kule Belarus.

Czech Republic muda si mrefu imetoa Stinger MANPADS kama 200 kuongeza nguvu kulinda anga hasa dhidi ya helikopta, zinatarajiwa kusafirishwa soon. Mapema Poland ilitoa ammunition sijajua ni zipi, Ukraine inahitaji sana anti tank missiles na anti aircraft missiles. Huku kwenye man to man watapambana.
 
Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kama mtumwa kwa maonesho sababu ya makalio makubwa

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Boots on ground ni risky sana hainaga mwenyewe aisee,Na sasa raia karibia 30k wa Kyv tu wana silaha mkononi za kuwaua warusi wakiingia Kyiv,Hata Russia akishinda hii vita atapata tabu sana kuitawala Kyiv.
Wewe hauna Update kumbe. Mpaka Sasa Rais 260,000 wa Ukraine walishabeba Siraha na Vilipuzi. Hii Vita ni Ngumu endapo Rais wa Ukraine akishupaza Shingo.
 
Basi wakiuawa tusianze kulialia kuwa Urusi wameua raia wa Ukraine.As long as wameshika silaha wao ni wapiganaji.Tusianze tafuta huruma kwenye mass media.
Hakuna rekod ambayo vita vilipiganwa wakafa wanajeshi peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…