Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
ZilienskyAlipe gharama gani..
Yeye yuko kwenye nchi yake..anongelea nchi yake..anaweza kujiunga na upande anaoutaka hii ndio maana ya sovereignty..
Hata akiongea mangapi Russia inamuhusu Nini Kama sio ubabe tu..
Hii kauli utalipa gharama unafahamu maana yake? Mfano. Umeambiwa ukachanje chanjo ya korona. Ukakataa. Korona ikaja. Ikakupata. Hapo ndio huu msemo unaposimama. U'll pay the praice"Alipe gharama gani..
Yeye yuko kwenye nchi yake..anongelea nchi yake..anaweza kujiunga na upande anaoutaka hii ndio maana ya sovereignty..
Hata akiongea mangapi Russia inamuhusu Nini Kama sio ubabe tu..
Gharama hapa ni pamoja na msukosuko wananchi wa nchi yake wanaopata. Nk nk