Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ngojea kwanza mpaka mwezi wa sita ndio tutamfikiria kuongea nae kenge huyu
 
Binafsi nilikuwa mtu wa mwanzo mwanzo humu kuhoji kwanini URUSI analazimisha watu wahame?? Nilikuwa na mashaka sana na kitakachofuata, lkn humu kutokana watu wanachangia kwa utimu na sio kwa hoja ikaonekana haina maana.
 
Utasikia Urusi anachezea kichapo....media zaa western wameishiwa propaganda sasa wameamua kuonyesha ukweli na uhalisia
 
Sasa mbona hapo wanapofyatulia pana ungua pia. Sio hatari kwao?
 
Wanajeshi wanajificha kwenye mahandaki unataka wakachomolewe kwa mtindo gani na wana silaha?? Hayo mabomu ya Vacuum ndio kazi yake sasa, kikubwe UKRAINE wakubaliane na matakwa ya URUSI, kisha wajipange kwa siri sana kutengeneza silaha za kujilinda.
 
Binafsi nilikuwa mtu wa mwanzo mwanzo humu kuhoji kwanini URUSI analazimisha watu wahame?? Nilikuwa na mashaka sana na kitakachofuata, lkn humu kutokana watu wanachangia kwa utimu na sio kwa hoja ikaonekana haina maana.
Aseeee mkuu kila nikiona hivi nasema huko Ukraine hakuna watu wanaoweza kumshauri raisi akimbie, haya masuala yaishe?
 
Kuna anti tank missile za begani zimechoma sana vifaru vya jeshi la ankal Putin.
hii vita inajulikana Urusi atashinda ila kwa msaada mkubwa wa anga na makombora ya mama mkanye mwanao ya masafa marefu.

Urusi ni wepesi kwenye mkono wa mtaa kwa mtaa,bila msaada wa anga ngoma angekua ngumu kwa Urusi.
Ukreine angekua na uwezo wa kumdhibiti Urusi kwenye anga basi warusi ingebidi watumie nguvu ya ziada kutoboa.
 
Nilishasemaga media za Western wanachuja habari. Inachofurahisha urusi hawapendi maujiko kwasana
 
Umesema mwenyewe kuwa wamepiga upande wa magharibi.
Ni mbali kutoka walipo, kulikuwa na uwezekano wa kuwa intercepted. Na walihitaji precision ya hali ya Juu.
 
Mbona kila kitu unaweka KAMA, KAMA, KAMA?? Yaan wewe kwa akili zako UKRAINE unadhani ni kikundi kama kile cha M23, SELEKA au Boko haram?? Ile ni nchi na zana za kivita za kutosha, hata angeenda marekani kwa vita chini asingetoboa. Hata hao USA wakiwashe na TANZANIA vita ya chini yaan bila ndege na wawe hapa TZ hawatoboi tunawaua kama nzige. You know why?? Sisi tunajua mitaa na kila kitu wakati wao ni wageni watafata barabara inavyoenda na wasijue watatokea wapi.
 
wazungu ni washenzi sana... makabila mengine wanawaona ni vibweka tu visivyo na maana katika dunia... ingawa mimi sipendi vita ila kinachoendelea ukraine hata hao waliopo palestine wanafurahia wazungu nao wanauwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…