LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hivi Ukraine si ni nchi huru?
Sasa mbona kama Russia anawapangia wenzie? Kwani ye hofu yake nini km NATO wakiweka hizo silaha huko Ukraine? Ye si anasifiwa ana nguvu za kivita,na jeshi nk!

Basi km ni hivyo anawaogopa NATO

Cuba pia ni nchi huru mkuu!
Cuba alipo taka kumkaribisha Mrusi kujenga base ya kivita nyumbani kwake Havana,Rais Kennedy akaenda Havana kubomoa kila kitu.
Huwezi ruhusu jirani yako awe na zana kali za kivita tena akisaidiwa na mpinzani wake mkuu kuzi assembly.
Ukraine aondoe wazo lake la kujitanua kijeshi kwa mgongo wa NATO akisaidiwa na USA.
La sivyo Putin atawapiga kila siku,atabadiri ma Rais kila siku
 
Kutoka Marekani Hadi Iraq ni 6800Km. Ilichukua siku 17 Marekani Kupeleka Majeshi yake laki moja na Nusu nchini Kuwait. Vita vilianza siku ya 20 ambapo ndani ya siku 7 Saddam alikuwa kashakimbia. Pia,Sadam Hussein alikuwa na Siraha Nyingi na Jeshi kubwa Kuliko Ukraine.

Kwa upande Mwingine,Russia hata kwa Mguu unaingia nchini Ukraine. Lakini Leo siku ya 3 bado ngoma mbichi. Pia,Jeshi la Ukraine limeshitukizwa make Putin na Lavron walisema ni Propaganda za Marekani wao hawatavamia Ukraine kamwe,badala yake wakavamia.

Yaani,Nchi kubwa Kama Russia inaishitukiza nchi ndogo Kama Ukraine? Hii ni Aibu kubwa Sana.
 
chenobyl ishachukuliwa mkuu ipo chin ya russia upo dunia gani
 
Marekani hakuwa na mpango wa kufika mapema Baghdad. Ukitafuta plans zao hawakuwa wanapiga mbio mbio kuingia mjini ndio maana hukuona popote mwanajeshi wa US anaiba vyakula wala kuishiwa mafuta njiani. Warusi wameanza ishiwa vyakula na mafuta, hawapati supplies that means hawakujipanga kutumia muda mwingi.

Russia haikuwa na upinzani mwanzo, imefyatua makombora na kuingia Ukraine kutokea pande tatu tofauti, imeshindwa kumaliza Ukrainian Airforce moja kwa moja. Ukraine imeanza resistance ikiwa imechelewa. Iraq walikuwa na silaha na wanajeshi wengi zaidi ya Ukraine ilivyo, jeshi lao lilikuwa mbali kuliko la Saudi Arabia, Qatar, UAE au Iran. Sasa hivi Ukraine hana uwezo wa kupiga jeshi lolote hapo nililotaja.

Kuwapa raia silaha sio maajabu wale ni conscripts na nchi inajua iko vitani siku nyingi hivyo mazoezi ya mgambo au JKT kama sisi huku wanayo, wale wengi pale sio kwamba bunduki ndio wamezishika mara ya kwanza. Israel mara zote inatumia conscripts na sijawahi sikia PM wake au kamanda anashtakiwa. South Korea kila mwanaume anapita JKT yao, ikitokea vita usitegemee hawatachukua silaha na vita ikiisha hawatoshtakiwa viongozi. Kinachokatazwa ni kutumia human shield kama wafanyavyo Hamas pale Gaza, unarmed civilians akifa ni tatizo ila mwenye silaha ni mpiganaji kama wengine
 
I don't give a damn nini umelishwa au hujalishwa. Vita is never an option kwenye ulimwengu wa sasa. Never. Putin is a savage thick cuuuunnnnt.
Ni sawa lakini kumbuka Urusi akipeleka makombora Cuba au Venezuela au Argentina Marekani hatakubali.
Hawa wakubwa waheshimiane tu ili dunia iwe na amani basi haya mengine ninporojo tu....
Angalia Iraq, Libya , Syria, Afghanistan....USA wajitafakari sana
 
Let them die,I don't feel sorry!!!waanze kuwaonea huruna Congolese wanaokufa daily
 
Ukraine atashindwa ila Russia atapata hasara pia
 
NATO wakiingia kwenye vita urusi atamlazimu atumie silaha za Nuclear aisambaratishe dunia yote
So hizo nuclear anazo pekee duniani? akiisambaratisha dunia hiyo urusi sio part ya dunia au wao watakua wapo Mars? Punguzeni ushabiki mandazi sio Yanga na Simba hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…