Na hiki ndicho chanzo cha kuaminika cha habari cha Pro Russia wa Jf πRT yashikwa Ugoni ππππ
Cormorants in their repertoire - a piece with "target defeat" was cut from an ancient video from "Stars".
Hii ya astronomia sikuamini. Chuo gani???Najua nachoongea mkuu sababu nimesoma astronomy kwenye chuo kikubwa tu. Amini nakwambia hamna mwanadamu ambaye kashawah tembea kwenye mwezi tunategemea mwanadamu wa kwanza labda mwaka 2027 ila sio sasa usiwekwenye gereza la fikra
Hatar sana[emoji174][emoji174][emoji174]
super power wa buza au? ana muda gani tangu avamie ukraine mbona hatangazi ushindi tu,Huyu rais atawapoteza wanajeshi wake wote +raia wanaotumiwa kama ngao kwa ujinga wake....unashindana na super power! Marekani wenyewe + Nato wanamuogopa huyu mtu, na hao hao ndio wanampa kiburi. Ajisalimishe, na akabidhi nchi kwa warusi, otherwise watamuuwa soon
Upande wa pili upoje?super power wa buza au? ana muda gani tangu avamie ukraine mbona hatangazi ushindi tu,
wanajeshi wake wengi wanatekwa na kuuwawa na wanajeshi wa ukraine
vifaru, na zana nyingne za mashambulizi vimeaharibiwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23]
waulize Russia Today wana majibuUpande wa pili upoje?
Hi roho ya utumwa kati ya Watanzania ni ajabu kidogo. Hawawezi kuamini kwamba kuna watu wa kawaida wanaopenda uhuru wako tayari kujitetea? Na kupigania uhuru wao??Huyu rais atawapoteza wanajeshi wake wote +raia wanaotumiwa kama ngao kwa ujinga wake....unashindana na super power! Marekani wenyewe + Nato wanamuogopa huyu mtu, na hao hao ndio wanampa kiburi. Ajisalimishe, na akabidhi nchi kwa warusi, otherwise watamuuwa soon
Wasomi wa Tanzania mna mbwembwe,si mlete huu ujuzi wenu muikwamue hii nchi katika dimbwi la umaskini,kwa ujuzi wako huu hapana shaka sasa hivi ungekuwa unaongoza kituo kikubwa cha utafiti wa anga kuliko kile cha NASA πNajua nachoongea mkuu sababu nimesoma astronomy kwenye chuo kikubwa tu. Amini nakwambia hamna mwanadamu ambaye kashawah tembea kwenye mwezi tunategemea mwanadamu wa kwanza labda mwaka 2027 ila sio sasa usiwekwenye gereza la fikra
Sio lazima nikwambie mkuu hizo ni taarufa binafsiHii ya astronomia sikuamini. Chuo gani???
Putin mwenyewe na minister wa foreign affairs hajakanusha madai wewe mrussi wa gongo la mboto unajua nini.
Watu kama nyinyi ndio sababu Watanzania wengi hawataki kurudi nyumbaniWasomi wa Tanzania mna mbwembwe,si mlete huu ujuzi wenu muikwamue hii nchi katika dimbwi la umaskini,kwa ujuzi wako huu hapana shaka sasa hivi ungekuwa unaongoza kituo kikubwa cha utafiti wa anga kuliko kile cha NASA π