LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Warusi hawajakubali kushindwa vita na Magharibi!
Walichofanya Wamerakani na Mshirika wao Gorbachev ilikiwa ni kushinda pambano sio Vita!
Ni ngumu sana kuwashinda watu wenye Imani na kitu Fulani!(CCM mjinze kitu hapa)
Bila shaka hiki ni kiashiria kuwa Vita vya Tatu vinawezeka kitokea kabisa !
Kama sio Mgogoro wa Israel na Palestina /Waarabu basi ....kuibuka Tena kwa Vita Baridi!
Kilichotokea Cuban Missile Crisis miaka ya 60 kinaweza kutokea tena!
Na haya yakitokea Afrika tutkuwa tunasubiri tu kufa kama sisimizi,kwenye moto wa nyika!
 
Naona wewe hutaki kujuwa ukweli, wameshtukizwa? acha hizo bwana hata kama chuki basi usipindishe facts watu miezi wanaambiwa jamaa wanaingia unasema umeshtukizwa? hata kama kushtukizwa ndio siku moja watu wanachukua space yote na watu wako mjini Kiev, nenda kafungue Fox news watu wana report ndani ya Kiev unasema wamekomboa? ikiwa Airport tu wamechukuwa. Unashtukizwa basi ndio dhaifu huna hata inteligence poor country. Sasa hivi kaomba pooo kwa Putin tuongee kokote. vita sio propaganda kwenye TV wakubwa wenyewe NATO wamefyata mkia wanatizama kwa mbali.
 
Zelensky said Thursday that "according to our information, the enemy marked me as target №1, my family - as target №2. They want to destroy Ukraine politically by destroying the head of state. We have information that enemy sabotage groups have entered Kyiv."

Hiyo CNN Raisi mwenyewe kakubali jamaa wako Samora Avenue
 

A firefighter walks between the ruins of a downed aircraft in Kyiv on February 25.
 
Kitu kimoja nimeshangaa ni ukraine ni nchi ya vijana .Rais age 44 na members of parliament ni umri kati ya Miaka 20 -45 .Serikali nzima wafanyakazi wa serikali na member of Parliament wote wamevaa nguo za jeshi na bunduki wanaipigania ukraine .Je wewe umejifunza ninj kuhusu Ukraine .
 

The body of a Russian soldier lies next to a Russian vehicle outside Kharkiv, Ukraine, on February 25.
 
Haya sasa NATO hao wanaingia Astonia (NATO's member country) nchi inayopakana na Urusi. Mkuu wa NATO amesema Urusi ikiishambulia tu mwanachama yeyote basi wao hawatasita kuingia rasmi kwenye vita maana vikosi vyote viko standyby
Nikama wana weka "V" Estonia,poland, Romania.
 
Bado una msimamo ule ule?
 
Russia sio iraq, russia sio libyq, russia sio afghanistan......
Narudia tena kibalansi stori angalia western media kama bbc, cnn aljazeera etc kisha angalia pia chaleni za china ma RT ya russia. Ukiangalia upande mmoja utakula sana matango pori
 
Propaganda pia ni mbinu za kijeshi walisema hivyo Ili kumuhadaa ukraine a relax asijiandae
 
Haya sasa NATO hao wanaingia Astonia (NATO's member country) nchi inayopakana na Urusi. Mkuu wa NATO amesema Urusi ikiishambulia tu mwanachama yeyote basi wao hawatasita kuingia rasmi kwenye vita maana vikosi vyote viko standyby
Walivyoingia iraq na libya hao ni wanachama wa NATO?
 
Umejificha ficha mwisho umeonyesha kua una support USA

Wewe mbona wakati US anaua watu huko Afghanistan na Iraq ulikua unachekelea? Au wale sio watu?

Mmarekani wa Buza una hali mbaya sana huko sasa hivi.
Bila kuuwa watu magaidi wa Isisi hali Ingekuwa tete sana.Ilikuwa ni lzm baadhi watolewe kafara Ili wengi wapone.
 
Marekani ana influence mambo mengi sana mfano wewe humpendi marekani lakin unatumia bidhaa zake mfano facebook, Instagram, android, iphone n.k hivyo ni baadhi mmarekani kumeupaka ni kujiondoa kwenye mfumo wa dunia
 
Wanajamii tuanomba tupate update sahihi Vita ya Russia na Ukraine mji mkuu Kiev.
Mnakaribishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…