Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unajua kuna watu hawajawahi hata kwenda nchi tofauti na TZ. Ukiwaambia Russia mawazo yao wanadhani ni kama kigoma ujiji.
Hapa ndio kauli ya Putin kwamba vikwazo vyao vitafanya Russia kuwa na nguvu kubwa sana inaenda kutimia. Russia ana reserve kubwa ya madini karibu yote ambayo si ya kuisha leo wala kesho.

Russia kajiandaa muda mrefu sana, ametengeneza silicon valley huko Siberia ambayo inasemekana ndio itakuwa next hub for technology za kisasa duniani. Hapo kuna MTU anaifananisha Russia na ujinga
 
Ukraine Sought Pegasus Software - Israel Blocked


The Israeli Defense Export Control Agency reportedly rejected attempts by Kiev to gets its hands on the infamous surveillance software. (WaPo citing intel officials)


It's said Israel rejected Ukraine's approach because it feared that access to the NSO software would trigger a negative reaction from Russia. It's believed the rejection happened back in 2019, but the Washington Post article doesn't state an exact period.
 
❗️Summary of the special operation in Ukraine from the Russian Ministry of Defense.

➖Aircraft hit 86 military facilities of Ukraine per day, according to the RF Ministry of Defense. Among them are 6 command posts, 2 MLRS, 3 ammunition depots, 49 areas of accumulation of weapons and military equipment of the Armed Forces of Ukraine.

➖Russian air defense destroyed 9 Ukrainian drones in Izyum, Kyiv, Sumy, Kharkov, Chernihiv.

➖In total, since the beginning of the special military operation, 255 drones, 189 anti-aircraft missile systems, 1,564 tanks, 158 multiple rocket launchers have been destroyed.

➖Units of the RF Armed Forces advanced another 2 km during the day and are fighting against units of the 54th separate mechanized brigade of the armed forces of Ukraine on the southern and southeastern outskirts of the Novomikhailovka settlement.

➖DPR troops inflict fire damage on units of the 25th Airborne Brigade of the Armed Forces of Ukraine and are fighting for Kamenka and Novobakhmutovka.
 
Jamaa hapo juu nimemshangaa sana asee kaleta data na takwimu za US kupenya anga la RUSSIA huko miaka ya 1961 nimeona mpaka mwaka 1980 toka enzi za USSR
Kama keleta post USSR sijaiona ila jamaa anaichukulia RUSSIA kama ZIMBABWE huyi dah
Bwana utumie akili kidogo(angalau jinsi unavyoweza). Kupita kwa ndege juu ya nchi kwa kusudi la kupiga picha za vituo vya kijeshi ni historia ya kale kidogo. Hakuna anayeihitaji. Kuna satelaiti siku hizi. Satelaiti zinazopiga picha kwa kutumia mwanga, kwa infraredi, kwa rada....... Nusu ya satelaiti za upelelezi zinazozunguka ni za MArekani, nusi nyingine ni kati ya Urusi, China, Ufaransa, Uingereza, Uhindi, Japani, Israeli, Korea Kusini na kadhalika.
Usiwe na wasiwasi ni nani anayejenga kamera na satelaiti bora.
(ukisita kujibu - ujiulize simu, kamera na laptop bora zinatoka wapi - hata kama nyingi zinatengenezwa China lakini nani alizibuni na kuandaa pamoja na kuhakikisha ubora wa uzalishaji??)
 
Despite the fact that Greece was one of the first countries to send arms to Ukraine, its citizens disagree with this decision.

Polls show that 67 percent don't support deliveries, and activists are protesting against dragging the country into hostilities: members of the Communist Party of Greece and its youth organisation threw red paint at a NATO frigate in the Port of Piraeus.
 
Nimepitia hapo juu naona jamaa kajibu hoja kadhaa zahao watu hapo juu yakwangu kairuka
Naombeni mumtag bwana T14 Armata aje anijibu hoja zangu
Usitegemee majibu mkuu kwa
huyo jamaa ndivyo alivyo akibanwa kwa hoja huwa ana kimbia.

Juzi alikuwa anasema eti anasema silaha za Urusi vimeonesha udhaifu mkubwa dhidi ya silaha za kimagharibi nchini Ukraine.
Nikamuuliza vipi kuhusu silaha za kimagharibi ambazo zime shidwa kufua dafu mbele ya silaha za kiirani huko Yemen kwa miaka 8?

Nikamuuliza vipi kuhusu silaha za kimagharibi kushindwa kufua dafu mbele ya silaha za Urusi na Iran nchini Syria kwa miaka 10 unaziongeleaje mpaka sasa amekimbia ajanijibu.
 
Mpendwa, propaganda hii ina miguu mifupi mno. Unajua chama cha kikomunisti cha Ugiriki ina wafuasi wangapi?? Nikusaidie: ni asilimia 5,34 % za kura wakati wa uchaguzi.
Serikali imetuma silaha Ukraine.
 
Ukipenda majibu kwa maswali yako ujiulize:
1. Je hao wapiganaji nchini Yemen walipewa silaha gani? Wanatumia silaha gani? (mbali na ndegevita za Waarabu zinazotupa mabomu hovyo) Je ni silaha zillezile zinazoharibu sasa vifaa vya Warusi?

2. Unaweza kuuliza maswali yaleyale kuhusu Syria. Je wapinzani wa Assad walikuwa na silaha gani? Kutoka wapi?

Tafuta jibu halafu utaona pia majibu kwa maswali yako ya juu.
 

Mkuu umetisha sana [emoji110]
 
China yasema Russia kutumia kombora lake la haipasoniki (Kinzhal/Dagger hypersonic missiles) kwa mara ya kwanza kushambulia Ukraine, amewawasha kibao (kofi) cha usoni NATO.

China yasema hii ndio mara ya mwanzo ktk historia ya binadamu kwa kombora la haipasoniki kutumika ktk mapigano.

Ikumbukwe kuwa Marekani pamoja na ujanja wake wote, alifeli mara tatu mfululizo ktk majaribio yake ya kurusha kombora la haipasoniki.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…